Uchaguzi 2020 Tuseme Ukweli tu: Ikitokea Dkt. Tulia akashindwa mimi nipigwe Ban milele humu JF

Guru Master

JF-Expert Member
Jan 14, 2017
226
594
Hili jambo lipo wazi sana. Nadhani hata Joseph Mbilinyi mwenyewe ameanza kugundua. Sidhani kama atakuwa so naive not to realise that fact. Mbeya Mjini wamejifunza mengi sana katika kipindi cha miaka 5 ya Dkt. Magufuli.

Dkt. Tulia ni msomi, energetic, determined, focused na mwenye uwezo wa kuleta matokeo chanya katika Jiji la Mbeya. Hili halina ubishi. Wanambeya hawatakuwa tayari kufanya makosa.

Ikitokea Dkt. Tulia akashindwa mimi nipigwe Ban milele humu JF lakini pia nitaamua kutokula kwa muda wa mwezi mzima nikifunga kuwalilia Wanambeya kwa kuamua kuangamiza Jiji lao.
 
Back
Top Bottom