sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,325
- 2,486
Upinzani ni jicho la pili la Serikali, hii ni kauli iliyotolewa na mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro mama Anna Mgwihra alipokuwa anahojiwa na shirika la Taifa TBC mapema Leo alipotakiwa kuzungumza chochote kuhusu nafasi ya upinzani kwa serikali na matokeo ya uchaguzi mkuu uliomalizika.
My take:
Kama upinzani ni jicho la pili la serikali, maana yake sasa serikali haina jicho la pili hivyo tuna serikali CHONGO inayotumia jicho moja.
Kwahiyo kila MTU ajue serikali ya awamu ya sita ni serikali chongo.