WATUHUMIWA 14 WAKAMATWA KUSHAWISHI MAANDAMANO YASIYO HALALI.
Dar es Salaam- 03Novemba, 2020
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linaendelea na oparesheni kali ya kukamata watu...
Katika mojawapo ya mahojiano aliyowahi kufanya miaka ya nyuma, Rais Yoweri Museveni wa Uganda alipata kuulizwa anadhani nini hasa ilikuwa siri ya Baba wa Taifa la Tanzania, Julius Nyerere, kudumu...
3 November 2020
Ofisi ya Makao Makuu
Chama cha NCCR-MAGEUZI
Dar- es Salaam, Tanzania
#LIVE NCCR MAGEUZI WATOA MSIMAMO WA CHAMA JUU YA UCHAGUZI MKUU
NCCR-MAGEUZI ina uthibitisho kuwa mchakato...
Mtanzania Mwenzangu
Kama Unasoma Ujumbe huu, fahamu kuwa nimeshikiliwa kituo kikuu cha Polisi Dar es salaam. Baada ya Viongozi wenzangu Kukamatwa kwa kudai Uchaguzi Mpya na Tume Huru za Uchaguzi...
Kiongozi wa Chama, cha ACT Wazalendo ndugu Zitto Kabwe amekamatwa na kushikiliwa na Jeshi La Polisi baada ya kufika Kituo cha Polisi Oysterbay kuwaona Viongozi wa Vyama vya Upinzani waliokamatwa...
Kuna taarifa zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai aliyekuwa mgombea Ubunge katika Jimbo la Nachingwea kwa tiketi ya CHADEMA, Dkt Mahadhi Mmoto ameuawa.
Usahihi: Kwa mujibu wa Kiongozi wa...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametembelea Bandari ya Malindi Jijini Zanzibar pamoja na eneo la Maruhubi kwa ajili ya kutafuta muwarubaini wa...
Maajabu ya uchaguzi yanaendelea, Lipumba akiwa anaongea na vyombo vya habari ameshangazwa na kitendo cha mgombea ubunge jimbo la Temeke kupitia chama anachokiongoza cha CUF, Zainab Mndolwa...
Binafsi nimevutiwa Sana na namna Rais Magufuli alivyoishape na kuiendeleza nchi yetu kwa kipindi cha miaka mitano alichokuwa madarakani.
Kuna mambo mengi Sana ambayo kayafanya na yanaonekana kwa...
HII CV INAJADILIWA KWENYE JUKWAA MOJA LA WASOMI. HEBU TUSHIRIKIANE NAO KIDOGO HAPA, IANGALIE KWA MAKINI
Name: Hussein Mwinyi
Surname: Mwinyi
First Names: Hussein Ali
Alternate Name
Title: Dr...
Vyama halisia vya upinzani vipeleke maombi Jumuiya za Kimataifa na wahisani, watoe mbinyo wa kutosha ndani ya miezi michache uanze mchakato rasmi shirikishi. Kwa umoja na ustawi wa taifa letu...
Ndugu zangu,
Baada ya Watanzania kutafsiri kwa vitendo umuhimu wa maendeleo ya watu na vitu kumeibuka mjadala mpya wa eti kwa sababu wagombea wa ACT na CHADEMA hawajachaguliwa basi hakuna...
Takribani siku nne sasa huduma ya mawasiliano ya Internet imekuwa inapatikana kwa shida sana na wakati mwingine inakulazimu utumie visaidizi kama VPN n.k cha ajabu mamlaka zinazohusika zimekuwa...
Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, ACP Lazaro Mambosasa amesema wamewashika watu watatu zaidi kwa tuhuma za kuwashawishi watu kuandamana.
Walikamatwa ni pamoja na Baunsa wa aliyekuwa...
Andiko langu limechagizwa na habari hii ya gazeti la The Economist.
How to save Tanzania Start by containing President John Magufuli.
=================
Uchaguzi mkuu ujao ni kipimo na 'mtego'...
Anaandika...
Troubled by events in #Tanzania. Serious allegations of irregularities and low number of observers undermine credibility of elections. Reported arrests of opposition leaders are...
Kuna tetesi kuwa mkuu wa wilaya ya arumeru ameagiza watumishi waketwe kuanzia shs 50000 toka kwenye mishahara yao kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa maabara mashuleni.hivi ni kweli? kama ndivyo basi...
Mimi nadhani itakuwa ni busara kwa Serikali kuwaachia Lissu na Hamad kufanya maandamano yao, tena iwape ulinzi mzuri na thabiti kusudi maandamano hayo yasiharibu mali za watu wengine.
Ikiwezekana...
Karata mlioicheza sasa itazaa matunda, ilikuwa ni ngumu kuiaminisha jumuiya ya kimataifa kuwa uchaguzi uliofanyika Tanzania mwaka huu uligubikwa na kasoro nyingi, ukizingatia waafrika wote...
Taarifa za hivi punde ni kuwa Vyombo vya Dola jijini Dar vinamshikilia Ndg. Tundu A. Lissu.
Lissu amekamatwa muda mchache uliopita jijini Dar akiwa ameenda Ubalozi wa Ujerumani (amekamatiwa mbele...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.