Ujumbe wa Zitto Kabwe kwa Watanzania kabla hajakamatwa na Polisi

ACT Wazalendo

JF-Expert Member
May 5, 2014
608
1,540
Mtanzania Mwenzangu

Kama Unasoma Ujumbe huu, fahamu kuwa nimeshikiliwa kituo kikuu cha Polisi Dar es salaam. Baada ya Viongozi wenzangu Kukamatwa kwa kudai Uchaguzi Mpya na Tume Huru za Uchaguzi Tanzania na Zanzibar, niliona leo ni vyema kwenda kuwaona, kuonyesha mshikamano nao na kuwafariji kuwa tulioko nje tunaendeleza mapambano.

Kuchagua Viongozi ni haki yetu ya Kikatiba, Haki hii imeporwa na watawala wakishirikiana na vyombo vya Ulinzi na Usalama. Ni wajibu wetu kama Wazalendo wa Taifa hili kuipigania haki hiyo iliyoporwa. Mimi naamini Maandamano ya Amani ni haki ya Kila raia.

Mimi, Kiongozi wenu, SITACHOKA kuipigania haki hiyo mpaka pumzi ya mwisho ya uhai wangu. Nawasihi sana endelezeni mapambano hayo. Kukamatwa kwa Sisi Viongozi wenu kuwe chachu kwenu kuendeleza ya mapambano haya kwa njia za amani (Non Violence Means).

Sisi sio wa kwanza, na wala hatutakuwa wa mwisho kupitia mitihani hii. Mapambano ni ya kwenu na Kizazi chenu. Mapambano Haya ni yetu sote.

#TusiacheKupambana
#AlutaKontinyua

Kabwe Z. Ruyagwa Zitto
Kiongozi wa Chama, ACT Wazalendo
Novemba 4, 2020
Dar es salaam
 
Mtanzania Mwenzangu

Kama Unasoma Ujumbe huu, fahamu kuwa nimeshikiliwa kituo kikuu cha Polisi Dar es salaam. Baada ya Viongozi wenzangu Kukamatwa kwa kudai Uchaguzi Mpya na Tume Huru za Uchaguzi Tanzania na Zanzibar, niliona leo ni vyema kwenda kuwaona, kuonyesha mshikamano nao na kuwafariji kuwa tulioko nje tunaendeleza mapambano...
Mjumbe wa busara kabisa kama alitoa Nelson Mandela akiwa gerezani
 
Mungu awatangulie na kuwajaza Faraja huko mliko. Huu uonevu wa hawa Watu Katili kuna siku Mungu atachoka kuvumilia. Na akatenda jambo fulani kwao.

Mawakala wa hao watu katili wamo pia humu kuwakejeli baada ya kutenda maovu yao. Wapuuzeni.
 
Tatizo upinzani mnawachanganya watanzania, 2015 waliwachagua kwa uwingi wakijua mtawatetea wote mkanunuliwa. Watanzania wanaojielewa mwaka huu hawajapiga kura.
Case closed.
 
Mtanzania Mwenzangu

Kama Unasoma Ujumbe huu, fahamu kuwa nimeshikiliwa kituo kikuu cha Polisi Dar es salaam. Baada ya Viongozi wenzangu Kukamatwa kwa kudai Uchaguzi Mpya na Tume Huru za Uchaguzi Tanzania na Zanzibar, niliona leo ni vyema kwenda kuwaona, kuonyesha mshikamano nao na kuwafariji kuwa tulioko nje tunaendeleza mapambano.

Kuchagua Viongozi ni haki yetu ya Kikatiba, Haki hii imeporwa na watawala wakishirikiana na vyombo vya Ulinzi na Usalama. Ni wajibu wetu kama Wazalendo wa Taifa hili kuipigania haki hiyo iliyoporwa. Mimi naamini Maandamano ya Amani ni haki ya Kila raia.

Mimi, Kiongozi wenu, SITACHOKA kuipigania haki hiyo mpaka pumzi ya mwisho ya uhai wangu. Nawasihi sana endelezeni mapambano hayo. Kukamatwa kwa Sisi Viongozi wenu kuwe chachu kwenu kuendeleza ya mapambano haya kwa njia za amani (Non Violence Means).

Sisi sio wa kwanza, na wala hatutakuwa wa mwisho kupitia mitihani hii. Mapambano ni ya kwenu na Kizazi chenu. Mapambano Haya ni yetu sote.

#TusiacheKupambana
#AlutaKontinyua

Kabwe Z. Ruyagwa Zitto
Kiongozi wa Chama, ACT Wazalendo
Novemba 4, 2020
Dar es salaamView attachment 1618733
Cha ajabu ni kwamba sisi tunasema nyinyi viongozi wa upinzani mnaolazimisha mambo hatuwataki,sasa sijui una wa address watanzani gani .Mkiacha lugha za ovyo za patachimbika,tone ka mwisho la damu na kama hizo,tunaweza kuanza kuwasikiliza vinginevyo HATUTAKI .
 
Mungu awatangulie na kuwajaza Faraja huko mliko. Huu uonevu wa hawa Watu Katili kuna siku Mungu atachoka kuvumilia. Na akatenda jambo fulani kwao.

Mawakala wa hao watu katili wamo pia humu kuwakejeli baada ya kutenda maovu yao. Wapuuzeni.
Mawakala wao wamo wamejazana humu. Kuna mijitu inabebwa kwa pesa za bwerere
yanatamani mambo yawe vile-vile siku zote inajiita ya kitengo, ndio tatizo kubwa la TZ
 
Maisha yaendelee ... TUNAIJENGA NCHI KWA FAIDA YETU WOTE PAMOJA NA WAPINZANI NA CHAMA CCM ... je Hospitali hazitahudumia wote?, treni inahudumia ccm pekee, ndege ni ccm pekee?, shule bure je wanasoma watoto ccm pekee n.k ifike muda Tusiruhusu mambo madogo KUHARIBU HATA HAYA MAENDELEO TUNAYOENDELEA NAYO... kwani shida nini kama udikteta ni upi? Mnajua udikteta nyie?...

Sema ni madhaifu tu ambayo kila mmoja anayo... ila TUMECHELEWA GUYZ TUIJENGE NCHI HII ..MBONA JPM Uchumi anaenda nao speed nzuri tu ... kama BAADHI HATUMPENDI basi potezea ila TUMUACHE AFANYE KAZI lengo letu ni maendeleo...
 
Mtanzania Mwenzangu

Kama Unasoma Ujumbe huu, fahamu kuwa nimeshikiliwa kituo kikuu cha Polisi Dar es salaam. Baada ya Viongozi wenzangu Kukamatwa kwa kudai Uchaguzi Mpya na Tume Huru za Uchaguzi Tanzania na Zanzibar, niliona leo ni vyema kwenda kuwaona, kuonyesha mshikamano nao na kuwafariji kuwa tulioko nje tunaendeleza mapambano.

Kuchagua Viongozi ni haki yetu ya Kikatiba, Haki hii imeporwa na watawala wakishirikiana na vyombo vya Ulinzi na Usalama. Ni wajibu wetu kama Wazalendo wa Taifa hili kuipigania haki hiyo iliyoporwa. Mimi naamini Maandamano ya Amani ni haki ya Kila raia.

Mimi, Kiongozi wenu, SITACHOKA kuipigania haki hiyo mpaka pumzi ya mwisho ya uhai wangu. Nawasihi sana endelezeni mapambano hayo. Kukamatwa kwa Sisi Viongozi wenu kuwe chachu kwenu kuendeleza ya mapambano haya kwa njia za amani (Non Violence Means).

Sisi sio wa kwanza, na wala hatutakuwa wa mwisho kupitia mitihani hii. Mapambano ni ya kwenu na Kizazi chenu. Mapambano Haya ni yetu sote.

#TusiacheKupambana
#AlutaKontinyua

Kabwe Z. Ruyagwa Zitto
Kiongozi wa Chama, ACT Wazalendo
Novemba 4, 2020
Dar es salaam
Wazee hivi na Membe anaandamana au yeye ameyakubali matokeo ?
 
November 4th😮 kweli siasa ninoma... nina mashaka hata zile kura feki zilipangwa na hawahawa...
 
Tuingie barabarani kuwapigania halafu kesho tuone kwenye vyombo vya habari mmeunga juhudi mnakaribishwa na Polepole.
Hili ni la kwenu pambaneni nalo tu
IMG-20201102-WA0014.jpg
 
Mtanzania Mwenzangu

Kama Unasoma Ujumbe huu, fahamu kuwa nimeshikiliwa kituo kikuu cha Polisi Dar es salaam. Baada ya Viongozi wenzangu Kukamatwa kwa kudai Uchaguzi Mpya na Tume Huru za Uchaguzi Tanzania na Zanzibar, niliona leo ni vyema kwenda kuwaona, kuonyesha mshikamano nao na kuwafariji kuwa tulioko nje tunaendeleza mapambano.

Kuchagua Viongozi ni haki yetu ya Kikatiba, Haki hii imeporwa na watawala wakishirikiana na vyombo vya Ulinzi na Usalama. Ni wajibu wetu kama Wazalendo wa Taifa hili kuipigania haki hiyo iliyoporwa. Mimi naamini Maandamano ya Amani ni haki ya Kila raia.

Mimi, Kiongozi wenu, SITACHOKA kuipigania haki hiyo mpaka pumzi ya mwisho ya uhai wangu. Nawasihi sana endelezeni mapambano hayo. Kukamatwa kwa Sisi Viongozi wenu kuwe chachu kwenu kuendeleza ya mapambano haya kwa njia za amani (Non Violence Means).

Sisi sio wa kwanza, na wala hatutakuwa wa mwisho kupitia mitihani hii. Mapambano ni ya kwenu na Kizazi chenu. Mapambano Haya ni yetu sote.

#TusiacheKupambana
#AlutaKontinyua

Kabwe Z. Ruyagwa Zitto
Kiongozi wa Chama, ACT Wazalendo
Novemba 4, 2020
Dar es salaam

Sinaga Imani na huyu snitch, hakika na sema sina imani naye narudia sina imani naye.
 
Madikteta wote hawaamini katika Sanduku la kura.
Lakini wengi wameishia pabaya kulingana na matendo yao.

Itawafaa nini CCM hata wakibaki peke yao Bungeni.

Ruyagwa mapambano yanaendelea dhidi ya mkoloni mweusi tupo pamoja.
 
Back
Top Bottom