Namuombea kura Dkt. Magufuli

Namuombea kura Dkt. Magufuli

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
39,940
Reaction score
51,015
Binafsi nimevutiwa Sana na namna Rais Magufuli alivyoishape na kuiendeleza nchi yetu kwa kipindi cha miaka mitano alichokuwa madarakani.

Kuna mambo mengi Sana ambayo kayafanya na yanaonekana kwa macho ni mambo mema sana.

Tuna kila sababu ya kumpa miaka mingine mitano ili akamilishe kazi yake nzuri aliyoianza.

Namuombea Mh. Magufuli na Mgombea Mwenza mama Samia kwa nafasi Urais.

Tukapige kura za ndio kwao , hao wawili wanaonekana mwanzoni kabisa wa karatasi ya kupigia kura, weka tiki hapo mwanzoni kabisa mwa karatasi yako usijichoshe kuangalia kwingine.

Tanzania inakwenda kushinda tena.

Mitano kwa JPM.
 
Ana tuhuma za mauaji na jaribio la mauaji kwa Lissu. Hafai. Analigawa Taifa letu na hana hekima. Anaamini kwenye mabavu. Hafai. Ni mnafiki anayejifanya anamcha Mungu lakini kizani anafanya maovu!
 
Watanzania sio wajinga, wanasubiri kumpa Asante Rais Magufuli kwa kwa kura 98%
 
Binafsi nimevutiwa Sana na namna Rais Magufuli alivyoishape na kuiendeleza nchi yetu kwa kipindi cha miaka mitano alichokuwa madarakani.

Kuna mambo mengi Sana ambayo kayafanya na yanaonekana kwa macho ni mambo mema sana.

Tuna kila sababu ya kumpa miaka mingine mitano ili akamilishe kazi yake nzuri aliyoianza.

Namuombea Mh. Magufuli na Mgombea Mwenza mama Samia kwa nafasi Urais.

Tukapige kura za ndio kwao , hao wawili wanaonekana mwanzoni kabisa wa karatasi ya kupigia kura, weka tiki hapo mwanzoni kabisa mwa karatasi yako usijichoshe kuangalia kwingine.

Tanzania inakwenda kushinda tena.

Mitano kwa JPM.
Wewe uliyevutiwa mpigie, kuvutiwa kwako sisi kutatusaidia nini. Hata sisi kuna upande tumevutiwa nao, kila mtu atakula alikopeleka mboga.😎
 
Binafsi nimevutiwa Sana na namna Rais Magufuli alivyoishape na kuiendeleza nchi yetu kwa kipindi cha miaka mitano alichokuwa madarakani.

Kuna mambo mengi Sana ambayo kayafanya na yanaonekana kwa macho ni mambo mema sana.

Tuna kila sababu ya kumpa miaka mingine mitano ili akamilishe kazi yake nzuri aliyoianza.

Namuombea Mh. Magufuli na Mgombea Mwenza mama Samia kwa nafasi Urais.

Tukapige kura za ndio kwao , hao wawili wanaonekana mwanzoni kabisa wa karatasi ya kupigia kura, weka tiki hapo mwanzoni kabisa mwa karatasi yako usijichoshe kuangalia kwingine.

Tanzania inakwenda kushinda tena.

Mitano kwa JPM.
Acha kumuombea kura muuaji wewe unataka kushiriki dhambi zake?!
 
Kura yangu na watu zaidi ya 100 ambao na wao wana network kama hiyo yangu anazo.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Binafsi nimevutiwa Sana na namna Rais Magufuli alivyoishape na kuiendeleza nchi yetu kwa kipindi cha miaka mitano alichokuwa madarakani.

Kuna mambo mengi Sana ambayo kayafanya na yanaonekana kwa macho ni mambo mema sana.

Tuna kila sababu ya kumpa miaka mingine mitano ili akamilishe kazi yake nzuri aliyoianza.

Namuombea Mh. Magufuli na Mgombea Mwenza mama Samia kwa nafasi Urais.

Tukapige kura za ndio kwao , hao wawili wanaonekana mwanzoni kabisa wa karatasi ya kupigia kura, weka tiki hapo mwanzoni kabisa mwa karatasi yako usijichoshe kuangalia kwingine.

Tanzania inakwenda kushinda tena.

Mitano kwa JPM.
Tunampa kura Dkt Magufuli kwa mamilioni yetu. Hakuna zaidi yake. Hatumtaki wakala yule wa mabeberu
 
Natokea Msanga Zalala wilaya ya Kisarawe ambayo Suleiman Jaffo ndiye mbunge wake, Ni aibu, barabara Ni mbovu Sana. Kisarawe hakuna maendeleo, je na kwenyewe wanaadhibiwa kwa kuwapigia kura wapinzani?
Uliwahi kutembelea Kisarawe miaka 5iliyopita?
 
Tunampa kura Dkt Magufuli kwa mamilioni yetu. Hakuna zaidi yake. Hatumtaki wakala yule wa mabeberu
Mkuu umezungumza jambo la kupigiwa mfano.

Mitano Tena kwa JPM.

Usiharibu kura yako huko kwingine.
 
Natokea Msanga Zalala wilaya ya Kisarawe ambayo Suleiman Jaffo ndiye mbunge wake, Ni aibu, barabara Ni mbovu Sana. Kisarawe hakuna maendeleo, je na kwenyewe wanaadhibiwa kwa kuwapigia kura wapinzani?
Umesikika na utafikiwa,

Kisarawe tumefanikiwa kutokomeza ziro chini ya DC wetu hodari kabisa,

Serikali kupitia Ilani ya CCM itahakikisha maeneo yote korofi yanapata ufumbuzi katika awamu inayofuata,

Amini kuwa kero yako itatatuliwa.

Usisahau kuweka tiki pale juu kabisa ya karatasi yako ya kura.
 
Hongera jpm kwa kuboresha viroba kwenda kwenye vyupa vya plastic.watu wale pombee
IMG_20201025_165031.jpg
 
Umesikika na utafikiwa,

Kisarawe tumefanikiwa kutokomeza ziro chini ya DC wetu hodari kabisa,

Serikali kupitia Ilani ya CCM itahakikisha maeneo yote korofi yanapata ufumbuzi katika awamu inayofuata,

Amini kuwa kero yako itatatuliwa.

Usisahau kuweka tiki pale juu kabisa ya karatasi yako ya kura.
Mmeshindwa kuujenga ile barabara tangu uhuru na pale hapajawahi kuwa na kiongozi MPINZANI.
Je tuamini kwamba Jaffo anamuhujumu Rais?
 
Back
Top Bottom