Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ukweli ni kwamba bunge lijalo halina madhara. Ni bunge kibogoyo. Kwahiyo hata likirushwa live redioni au kwenye tv, bado halitakuwa na effect mbaya kwa serikali. Kwasababu wale wakosoaji/waibua...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Kwa yaliyotokea katika Uchaguzi huu, wananchi wengi sana wataacha kwenda kupiga kura kuanzia wana-CCM wenyewe,wasio na vyama na zaidi wafuasi wa upinzani. Hali hii itaanza kujitokeza katika...
16 Reactions
40 Replies
3K Views
Jeshi la Polisi @tanpol wamevamia Ofisi ya ACT -Wazalendo Kata ya Vingunguti ili kumkamata Kiongozi wa Chama, Zitto Kabwe aliyekuwa Ofisini hapo kuratibu Maandamano kwa Njia ya Buguruni kuelekea...
8 Reactions
98 Replies
10K Views
Mwenyekiti wa Tume ya Maridhiano Tanzania, Sheikh Alhad Mussa Salum amewasihi Watanzania kuendelea kumshukuru Mungu kwa wema aliowatendea baada ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania kufanyika kwa amani...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Nimeona uchanguzi wa Marekani ulivyofanyika, unatia raha maana nusu kwa nusu maana yake nini maendeleo hayakwepeki. Hakuna mahali maendeleo yataacha kwenda kisa wamechagua upinzani, watakuona...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Akihojiwa na Idhaa ya Kiswahili ya Ujerumani mwanaharakati wa siku nyingi wa haki za binadamu ndugu Daktari Hellen amesema Watanzania wengi bado hawapendelei kuitumia haki yao ya kuandamana kudai...
10 Reactions
42 Replies
5K Views
Napenda kuwaleza mapema juu ya utabiri wangu huu ili yakianza kutokea msishangae na pengine kufadhaika bali mjipange kuyapokea yatayotokea. Katika kutekeleza makakati/mpango huo,wanaoweza kuwa...
10 Reactions
34 Replies
3K Views
Habari za humu wanajamii, Kwanza nipende kumshukuru Mungu kutufikisha hapa mpaka leo. Ni wazi kabisa katika uchaguzi uliopita haki ya Watanzania imedhulumiwa na kuporwa na watu wasio na utu hata...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Mimi ni Mwana CHADEMA ila msema ukweli na ukweli unampa mtu uhuru. Uchaguzi umeisha ila tumeshuhudia mambo mabaya sana hasa huko Zanzibar Pemba. Tumeshuhudia picha za maiti zikiwa zinatisha na...
3 Reactions
49 Replies
4K Views
Kuna tetesi kwamba James Mbatia (Mwenyekiti NCCR-Mageuzi) atateuliwa na Mh. Rais Magufuli kuwa Mbunge. Huyu bwana alishaonekana kuwa upande wa Serikali ya CCM toka alipomtembelea Rais Ikulu...
3 Reactions
35 Replies
4K Views
Ikiwa imebaki masaa kidogo tu Rais Magufuli kwenda kuapishwa tena kuwa Rais kwa awamu ya pili mkoa wa Dodoma.( 2020 - 2025)
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Kwenye uchaguzi uliofanyika 28/Oct kweli nilikua natarajia Magufuli atashinda japo siyo kwa % nyingi kama alizokua anatamka Polepole na zilizotangazwa kumpa ushindi. Hivyo sijaona maajabu hapa kwa...
11 Reactions
32 Replies
4K Views
Sijajua utaratibu wa Nccr mageuzi ukoje namna ya kumchagua KUB kama watafanikiwa kuwa chama kikuu cha upinzani. Kama wanatumia utaratibu kama wa Chadema basi Mbatia akishinda ubunge ndiye atakuwa...
4 Reactions
53 Replies
5K Views
Habari Wanabodi Kwanza ningependa kuwapongeza CCM kwa kutwaa viti vingi vya ubunge. Na Kile kiti kikubwa kabisa cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Visiwani Zanzibar. Bila shaka...
10 Reactions
14 Replies
2K Views
Amani ya bwana iwe kwenu wandugu! Nimesikitishwa sana na viongozi wa madhehebu mbali mbali nchini kukaa kimya bila kutamka chochote juu ya hali ya uchaguzi ilivyo mpaka sasa. Viongozi hawa...
20 Reactions
57 Replies
5K Views
1. Vyama vingi kama sio vyote vya upinzani havina mizizi ngazi za chini badala yake vina majina makubwa ya viongozi pale juu wanaofanya propaganda kubwa. 2. Hakuna tafiti za kina zinazofanyika...
4 Reactions
35 Replies
3K Views
Nyumbani tuna amani. Tuna furaha isiyo kifani kwa sababu yule mbwa mbwekaji aliyekata usingizi wetu tumemuua! Hatutaki kelele. Wezi waje au wasije- hilo halituhusu. Raha ya familia ni pana kweli...
7 Reactions
5 Replies
922 Views
Mtafiti Mkuu Tanzania kupitia taasisi ya Redet Prof Mukandara amesema uangalizi wa taasisi yake umegundua uchaguzi ulikuwa huru na wa haki. Prof Mukandara amesema 44% ya waangalizi wake wamesema...
7 Reactions
78 Replies
8K Views
Ifike mahala Watanzania tujifunze kitu kutokana na chaguzi zetu na tukubaliane katika mambo ya msingi ili kuepuka madhara yanayoweza kutokea kwa kusababishwa na kukosekana kwa muafaka wa kitaifa...
1 Reactions
3 Replies
798 Views
Hapo mwanzo ilikuwa ukisema CHADEMA itakufa kifo cha mende walikuwa wanabisha lakini leo watu wanamaliza tanga ndugu kwa kuandaa maandamano ya kumsindikiza marehemu ambaye alianza na Mungu na...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom