Serikali ya CCM kuwakamua walimu 50000 kwa ajili ya ujenzi maabara mashuleni

kson m

JF-Expert Member
Jan 24, 2014
6,648
3,003
Kuna tetesi kuwa mkuu wa wilaya ya arumeru ameagiza watumishi waketwe kuanzia shs 50000 toka kwenye mishahara yao kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa maabara mashuleni.hivi ni kweli? kama ndivyo basi ccm kwshney.zile za rada vipi?hamwoni tu hali duni ya mtumishi?hamwoni anavyolemewa na mzigo wa kodi na mshahara mdogo bila kusahau msalaba wa kodi za nyumba?serikali hiyo hiyo imewadhulumu madeni yao inaendelea kuwakamua..usikivu wa ccm wapi??????
 
Mkuu wahenga wamenena bora nusu shari koliko shari kamili maana hapo watakapo kukataa basi watakamatwa na hapo ni mahakamani na kufunguliwa kesi za uhaini na dawa yao ni ile siku ya sanduku la kura basi hapo tena ni majaliwa ni mbivuu au mbichi
 
Baadhi yao walisaidia CCM kuiba kura...acha wachangie Calfonia na Toronto
 
Walimu wengi ndo walikuwa wasimamizi wa uchaguzi, waache wapambambane na hali zao
 
Back
Top Bottom