Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Walifikiri hataenda kwenye sherehe za kumuapisha JPM. Sasa nashauri waanze kujipanga kwa 2025 === "Bado nasumbuka sana na mwenendo wa uchaguzi uliofanyika Octoba 28 na ukiukaji wa haki za...
10 Reactions
88 Replies
9K Views
Je, Kassim Majaliwa ni Waziri Mkuu? Jibu ni HAPANA Waziri Mkuu, mawaziri na naibu mawaziri leo wamefikia kikomo cha uwaziri wao. Asubuhi ya leo waliamka wakiwa mawaziri, lakini kabla ya mchana...
4 Reactions
8 Replies
5K Views
"Ninawashukuru watumishi wa sekta ya Afya na Maendeleo ya jamii wa ngazi zote kwa ushirikiano mzuri walionipatia katika kutekeleza majukumu Nawashukuru kwa imani na upendo wao mkubwa kwangu.Siku...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Tokea nizaliwe, sijawahi kupiga kura wala kua upande wowote wa chama cha siasa, lakini kwa sasa kutokana na uchaguzi huu uliopita wa 2020 nimevutiwa sana na mimi niwe mwanachama kindakindaki wa...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Yaani alizoea hata asipokwenda kituo cha kazi ruzuku inaingia chamani a/c ya ofisi yake inatuna ni yeye na kwenda Asia na Dubai,S.A kula bata lakini kwa hili lililotokea naona kila kitu kimefutika...
5 Reactions
38 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA mh.Mbowe jana aliripoti kituo cha polisi cha Oysterbay pamoja na watuhumiwa wenzake akiwemo Godbless Lema na Boniface Jacob. Mbowe aliwaambia waandishi wa habari kuwa wao...
3 Reactions
41 Replies
5K Views
Matokeo yameonyesha kuwa ACT Wazalendo imepata wabunge 3, CUF imepata wabunge 3 na CHADEMA imepata mbunge 1. Hata hivyo kuna uwezekano wabunge wa CHADEMA kuongezeka baada ya uteuzi wa wabunge wa...
3 Reactions
88 Replies
8K Views
The United States commends the Tanzanian people for attempting to exercise their right to vote in the October 28 general elections. However, we remain deeply concerned by credible reports of...
41 Reactions
280 Replies
26K Views
Leo wakati viongozi wakiondoka viwanja vya Dodoma alianza kuondoka Rais Magufuli akafuatiwa na Rais Museveni! Wakati Museveni akisubiri gari nilimuona Kabudi akisogea eneo ambalo kulikuwa na...
18 Reactions
32 Replies
5K Views
Nawauliza watu wa itifaki kama ni halali kwa kipindi hiki cha mpito kumtambulisha Waziri mkuu wa awamu ya 5 Mh Kassim Majaliwa kama Waziri Mkuu Mstaafu. Naomba majibu Tafadhali. Maendeleo...
4 Reactions
87 Replies
9K Views
Niseme bila kumung'unya maneno Tundu Lissu anafaa sasa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA na Salumu Mwalimu awe Makamu Mwenyekiti. Mnyika aendelee kuwa Katibu mkuu na mwanaJf kutoka Kyela Ethrocyte awe...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Ni wakati sasa wa kushuhudia vipaji vya uigizaji na sanaa ya kuzungumza katika bunge letu. Kama mtu alikuwa akitofautiana kidogo tu kwa hoja dhidi ya zile za serikali,anaonekana muasi, tena...
2 Reactions
5 Replies
775 Views
Mabibi na mabwana kutokea taarifa za habari jana na pia baada ya kujiridhisha: He! Kumbe yule mgeni wetu mpendwa kabisa, mwalikwa tokea pande za pale Burundi aliingizana nchini kwa kutumia moja...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Mwanasiasa anaposhinda uchaguzi anatakiwa azungumze kwa namna itakayoteremsha joto la uchaguzi. Hii ni hotuba aliyoitoa Bill Clinton wa Marekani baada ya kushinda uchaguzi. Nilitaka niweke...
4 Reactions
30 Replies
3K Views
Nimeuliza ili kupata majibu baada ya tetesi kunifikia, naomba mwenye kujua zaidi atueleweshe. Na wala haishangazi, hii ni kwa vile uongozi ni kama mbio za kupokezana vijiti, anayeanza siyo...
7 Reactions
122 Replies
12K Views
Wana JF Kilichofanya vyama vya upinzani kupigwa chini, ni matokeo mabaya ya uongozi wa Mbowe na kundi lake tiifu. Ndani ya chama chao ilianza fukuzana fukuzana. Ikaja susia susia watu walioona...
7 Reactions
30 Replies
4K Views
Nimekaa najiuliza maswali hasa baada ya Rais Yoweri Kaguta Museveni kuitaja Tanzania kama nchi iliyoongoza ukombozi Kusini mwa Afrika! Kwa maana inao marafiki wengi, shida imekuja leo kuona Rais...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Amani iwe kwenu wajumbe! Tunaposema upinzani katika nchi hii bado sana ieleweke kwamba bado mbichi kweli kweli hata uwezo wa kuendesha nchi bado. Mbowe kama kiongozi Mkuu wa kambi Rasmi ya...
9 Reactions
39 Replies
4K Views
Vigogo walioteuliwa na Rais, Dkt. JPM awamu iliyoisha (2015 - 2020) hawaelewi hatma ya nafasi zao hasa baada ya Mhe. Rais kuapishwa leo Jijini Dodoma. Kwa kawaida lazima aunde safu mpya. Wapo RC...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom