Chama kiliniamini kikarudisha mamlaka kwa wananchi na wananchi wamenipa mamlaka. Kama niliapa Chadema siwezi isaliti hali kadhalika siwezi wasaliti wananchi wa Nkasi Kaskazini.
Naomba nitoe...
Katika jambo muhimu la kulielewa DOLA CHADEMA haiwezi kufa wakati bado ipo moyoni mwa Watanzania.
Unaweza kutumia kila njia kumshawishi mwanamke umuoe kama kuna mtu ambaye yeye anampenda huwezi...
LISSU AMEKIMBIA AU ANAENDELEA KUFANYA SIASA?
Na Elius Ndabila
Aliyekuwa mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wakili Tundu ANTIPAS MUGWHAI LISU baada ya...
Ukiangalia katika wageni waliohudhuria Hafla ya Kumwapisha Rais, utagundua kuwa hakukuwa na wageni wowote wa maana kwenye shughuli hiyo kutoka kwenye nchi zingine za Afrika, hii inaashiria nini...
Ndugu, kama kichwa cha habari kinavyosema hivi Baraza la Mawaziri linaundwa lini baada ya Rais kuapishwa na je muda wa kuunda Baraza umeainishwa kikatiba au Rais anajiamulia?
Hii nchi tumefika hapa tulipofika ni kwakuwa kumekuwa tayari na tabaka.
Toka tumeanza mchakato wa Uchaguzi kuna matukio mengi mengi na mengi sana, wahanga wa matukio haya ni vyama vyote vya...
Unastahili heshima;
Wewe ni kiongozi imara;
Utashi wako wa kisiasa na uthubutu utaiweka Tanzania kwenye ramani ya nchi zenye uchumi imara
Una maono na malengo chanya ya maendeleo
Wewe ni...
Habari wajumbe,
Hivi karibuni Marekani kupitia kikao cha 116 cha Bunge la Congress ilipitisha Azimio la kuitaka Tanzania kufanya uchaguzi huru na haki.
Azimio hili lilibeba kichwa cha habari...
Kolabo la wasanii wa bongo fleva kumpongeza Mh Rais, limetiwa doa na maneno ya Masanja Mkandamizaji.
1.Eti JPM ndiye Rais pekee duniani anayemuamini Mungu 100%. Hivi ana takwimu gani na Imani za...
Neno "Mwelekeo" ndio sababu kuu ya Vyama vya upinzani kutokubalika na kuaminiwa kupatiwa Nchi na watanzania.
Uchaguzi wa mwaka 1995 upinzani chini ya NCCR Mageuzi ilibaki kidogo kuchukua nchi...
Kazi anazozifanya Rais Dr Magufuli kwa sasa ipo siku tutakuja kumkumbuka kwenye maisha yetu pamoja na dhihaka za kila siku ambazo inaandikwa katika mitandao ya kijamii.
Rais Dr John Magufuli...
The way things are going on in this part of the world, the horror of the dictatorial regime, we the people of Tanzania have no choice except to vote out president Magufuli in the forthcoming...
"Nasema kuanzia leo nilipo apishwa UCHAGUZI UMEISHA") (" NASEMA UCHAGUZI UMEISHA") (" NASEMA UCHAGUZI UMEISHA" ). Sasa tuendelee kujenga nchi na mimi nawahakikishia kiapo nilicho apa hapa na...
Esteemed Great Thinkers,
As the subject matter seek to be professionally clarified by the seasoned constitution experts I appeal interpretation offered to our understanding as the normal synonym...
Kamati Kuu ya CCM imempendekeza Job Ndugai kuwa mgombea wa nafasi ya Spika wa Bunge lijalo la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Dk Tulia Ackson akipendekezwa kwa nafasi ya Naibu Spika
Kwa udhibiti huu wa Internet, mapato kwa makampuni ya simu yatashuka sana, hivyo kiasi cha kodi kushuka pia. Kwa sasa mobile companies wanauza sana data kuliko voice. So kwa kuwa siku hizi huwezi...
Kiongozi wa Chama cha ACT- Wazalendo, Ndugu Zitto Zubeir Kabwe kesho Novemba 7, 2020 anatarajia kuzungumza na vyombo vya habari kuhusiana na masuala mbalimbali yaliyojili kwenye Uchaguzi Mkuu...
Jana tarehe 05/11/2020 kwenye hutoba yake fupi sana Mheshimiwa Rais John Magufuli, alisema jambo moja tu, tunaenda kukabiliana na ufisadi.
Ndugu wananchi ni lini Rais atatoa hutuba ya Taifa ya...
Walifikiri hataenda kwenye sherehe za kumuapisha JPM.
Sasa nashauri waanze kujipanga kwa 2025
===
"Bado nasumbuka sana na mwenendo wa uchaguzi uliofanyika Octoba 28 na ukiukaji wa haki za...
Je, Kassim Majaliwa ni Waziri Mkuu? Jibu ni HAPANA
Waziri Mkuu, mawaziri na naibu mawaziri leo wamefikia kikomo cha uwaziri wao. Asubuhi ya leo waliamka wakiwa mawaziri, lakini kabla ya mchana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.