Je, ni sahihi kumtambulisha Kassim Majaliwa kuwa ni Waziri Mkuu Mstaafu?

Freddie Matuja

JF-Expert Member
Jul 21, 2018
1,036
2,000
EL nadhani atabaki kwenye historia kama PM aliejiuzuru kwa scandal;

John Malecela atabaki kama PM alietimliwa na mzee Ruksa 1994 na Msuya kumalizia ungwe ya pili ya mzee Ruksa 1994-95.

Bila shaka kama atakosa uteuzi toka kwa muajiri wake ambae ni Rais wa JMT, bila shaka ataingia kwenye record ya kutumika miaka mitano kama Joseph Sinde Warioba 1985-90.

Ikitokea akateuliwa tena na kuthibitishwa na Bunge, ataingia kwenye record kama ya Sumaye kuwa PM back to back au Mizengo Pinda aliemalizia awamu ya kwanza ya JK na kuaminiwa kwa awamu ya pili.

Kila la kheri wale wote wenye bahati ya kuchagiliwa kuwa wabunge.maana wana equal chance ya kuteuliwa. PM Majaliwa ana chance kubwa kwa uchapa kazi wake kwenye awamu ya kwanza ya Rais wa JMT.
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
41,747

Kwa hiyo Majaliwa hajastaafu uwaziri mkuu!
 
JF Member

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
3,679
2,000
Rais anapokula kiapo , kwa mda huo nchi inakuwa haina Rais, na hapo hapo mawaziri wote akiwemo waziri mkuu -wanakoma .

Sasa hivi hakuna baraza na mawaziri. Utendaji wa serikali unaratibiwa na Katibu Mkuu kiongozi hadi hapo baraza jipya litakapo tangazwa.
Nawauliza watu wa itifaki kama ni halali kwa kipindi hiki cha mpito kumtambulisha Waziri mkuu wa awamu ya 5 Mh Kassim Majaliwa kama Waziri Mkuu Mstaafu.

Naomba majibu Tafadhali.

Maendeleo hayana vyama!
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
41,747
2,000
Rais anapokula kiapo , kwa mda huo nchi inakuwa haina Rais, na hapo hapo mawaziri wote akiwemo waziri mkuu -wanakoma .

Sasa hivi hakuna baraza na mawaziri. Utendaji wa serikali unaratibiwa na Katibu Mkuu kiongozi hadi hapo baraza jipya litakapo tangazwa.
Kwahiyo mawaziri wote wamestaafu?
 
Mr. Zero

JF-Expert Member
Jun 5, 2007
12,823
2,000
Nawauliza watu wa itifaki kama ni halali kwa kipindi hiki cha mpito kumtambulisha Waziri mkuu wa awamu ya 5 Mh Kassim Majaliwa kama Waziri Mkuu Mstaafu.

Naomba majibu Tafadhali.

Maendeleo hayana vyama!
Kwa ujumla hauna Waziri Mkuu mstaafu Tanzania. Hakuna Waziri yeyote aliyeondoka madarakani kwa kustaafu Bali waliondoka kwa muda wao kuisha. Kwa kingereza they are former Prime Minister and not Retired PMs.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom