Kuna jambo la kujitafakari kama Taifa

Kuna jambo la kujitafakari kama Taifa

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,952
Reaction score
9,472
Nimekaa najiuliza maswali hasa baada ya Rais Yoweri Kaguta Museveni kuitaja Tanzania kama nchi iliyoongoza ukombozi Kusini mwa Afrika! Kwa maana inao marafiki wengi, shida imekuja leo kuona Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anaapishwa kuna Marais 3!

Je, hizi nchi kwanini hazijaleta Marais wao? Rwanda, Kenya, Zambia, Malawi, Burundi japo wametuma mwakilishi na Rais mstaafu, Hata marais wa nje ya Afrika? au tunaaminishwa ni kwakuwa nchi zao zina Corona? Any way nikujiuliza tu.
 
Aisee!

Utashangaa sana hadi inafika 2025 mnakomaa na mada kama hizi hizi badala ya kuhangaika na upatikanaji wa tume huru.

Tuliwashauri ile 2015 kwamba sasa jiandaeni kutaka tume huru badala yake mkaishia kujadili kingereza cha Magu.
 
Hata Magu haendagi kwao mara nyingi huwa anatuma wawakilishi
 
.......au tuna aminishwa ni kwakuwa nchi zao zina Corona? Any way nikujiuliza tu.
Hilo ndio jibu mkuu.

Hukumsikia muwakilishi mmoja aliyesema rais wake Kashindwa kuja sababu akirudi nchini kwake atatakiwa kuwa quarantine!?
 
Aisee!

Utashangaa sana hadi inafika 2025 mnakomaa na mada kama hizi hizi badala ya kuhangaika na upatikanaji wa tume huru.

Tuliwashauri ile 2015 kwamba sasa jiandaeni kutaka tume huru badala yake mkaishia kujadili kingereza cha Magu.

Kazi za Magufuli zinawapeleka kasi wanakosa cha kusema wanabaki kuongelea Kiingereza chake.
😁😁
 
[emoji16][emoji16]
We acha tu hawa jamaa hovyo sana!

Ndio maana mgombea wao alipofungiwa na tume kufanya kampeni, badala ya kutumia huo muda kuwapanga vizuri mawakala wake yeye akawa anautumia kwenda kariakoo kununua nyanya.
 
Mgombea urais alikuja na pesa zake toka kwa wafadhili
Mgombea urais aligoma kuziingizà pesa mlizokula nazo kwenye chama
Mgombea urais aliamua pesa zake atembee nazo kwenye wallet yake mwenyewe
Mgombea alitaka kushinda urais lakini hakutaka kujua gharama za mawakala wake
Mgombea aliishia kulalamika mawakala wake kufanyiwa figisu bila kukumbuka hajawapa pesa
Mgombea alisema akiibiwa kura lazima wataingia barabara na wananchi
Mgombea alitangaza kuibiwa kura kwa tweets za kutosha
Mgombea hakuingia barabarani
Mgombea amenyamaza kimya ghafla
 
Aisee!

Utashangaa sana hadi inafika 2025 mnakomaa na mada kama hizi hizi badala ya kuhangaika na upatikanaji wa tume huru.

Tuliwashauri ile 2015 kwamba sasa jiandaeni kutaka tume huru badala yake mkaishia kujadili kingereza cha Magu.
Yaani hawa watu ni hopeless hawajui mikakati na hapa CCM ndio wanawatandika bakora sana...wanadiscuss watu badala ya issues.

Uchaguzi umeisha sasa tuijenge nchi

CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Kwani wewe huihitaji tume huru?

Au una mkataba wa kudumu kuwa sehemu ya watawala?
Au una uhakika hatatokea mtawala mbaya zaidi kutoka CCM?
Au wewe ni raia wa Ghana?
Aisee!

Utashangaa sana hadi inafika 2025 mnakomaa na mada kama hizi hizi badala ya kuhangaika na upatikanaji wa tume huru.

Tuliwashauri ile 2015 kwamba sasa jiandaeni kutaka tume huru badala yake mkaishia kujadili kingereza cha Magu.
 
Aisee!

Utashangaa sana hadi inafika 2025 mnakomaa na mada kama hizi hizi badala ya kuhangaika na upatikanaji wa tume huru.

Tuliwashauri ile 2015 kwamba sasa jiandaeni kutaka tume huru badala yake mkaishia kujadili kingereza cha Magu.
Kwani Tume huru ni hitaji la wapinzani pekee ?
 
Ndiyomaana wakaishia kutangaza kwa nguvu zote kuwa Tb Joshua atakuwepo na mabalalozi 83 🤣🤣🤣
 
Nimekaa najiuliza maswali hasa baada ya Rais Yoweri Kaguta Museveni kuitaja Tanzania kama nchi iliyoongoza ukombozi Kusini mwa Afrika! Kwa maana inao marafiki wengi, shida imekuja leo kuona Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anaapishwa kuna Marais 3!

Je, hizi nchi kwanini hazijaleta Marais wao? Rwanda, Kenya, Zambia, Malawi, Burundi japo wametuma mwakilishi na Rais mstaafu, Hata marais wa nje ya Afrika? au tunaaminishwa ni kwakuwa nchi zao zina Corona? Any way nikujiuliza tu.
Jiwe hakubaliki.
 
Aisee!

Utashangaa sana hadi inafika 2025 mnakomaa na mada kama hizi hizi badala ya kuhangaika na upatikanaji wa tume huru.

Tuliwashauri ile 2015 kwamba sasa jiandaeni kutaka tume huru badala yake mkaishia kujadili kingereza cha Magu.
Ila mkuu una roho mbaya. Hivi ulishawahi kufikiria siku ukifa roho yako itakuwa wapi? Kila andiko lako ni la kumkejeli Lissu. Lissu hakuzaliwa kilema ila binadamu wamemsababishia kilema cha maisha. Hivi huwa huna hata chembe ya huruma?
 
Back
Top Bottom