Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

IFAHAMU SIKU YA UAPISHO WA RAIS. MATUKIO YANAYOFANYIKA. Katika hafla ya uapisho kunakuwa na matukio mbalimbali kama ifuatavyo; ✍🏽Kupigwa kwa mizinga 21. ✍🏽Ukaguzi wa gwaride. ✍🏽Salaamu kutoka...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Tunajua sera za China kwa nchi za Africa,concern yake ni fursa ya kukuza uchumi wake kwa kupata tenda kubwa kubwa za ujenzi na soko la uhakika la bidhaa zake!Taifa hili huwa halijihusishi na mambo...
2 Reactions
5 Replies
824 Views
The Commonwealth Secretary-General, The Rt Hon Patricia Scotland QC, has strongly urged authorities to investigate allegations regarding the recent general election in the United Republic of...
27 Reactions
153 Replies
18K Views
Habari wanaJF, Leo kuna jambo nataka kulizungumzia, issue ya matokeo ninapenda kumpa pole Lissu. Lakini kuna hili jambo lingine ambalo sijalipenda hata kidogo. Lissu kwa sasa anaishi kwenye...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Ni mapendekezo tu kutokana na viwango vyao vya elimu na uzoefu wao katika kutumikia watanzania. 1. Askofu Dr Gwajima........ Waziri wa mambo ya ndani 2. Dr Kimei........Waziri wa Fedha 3. Mh...
5 Reactions
72 Replies
7K Views
Ndugu zangu, Mara baada ya uchaguzi wa mwaka 2015 viongozi wa CHADEMA wakiongozwa na Mbowe, Lissu et al waliitangazia dunia kuwa hawakubaliani na matokeo ya uchaguzi kwani kulikuwa na "ukiukwaji...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Wanabodi. Nimebahatika kuupitia ukurasa rasmi wa Facebook wa Rais wa Zambia ndugu Edgar Lungu hasa pale alipotoa pongezi za kuapishwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Magufuli...
6 Reactions
14 Replies
1K Views
Ambassador's Message on the General Elections 2020 / Ujumbe kutoka Balozi kuhusu Uchaguzi Mkuu 2020 2020/11/4 I am troubled by the information of widespread irregularities and wrongdoings during...
34 Reactions
153 Replies
15K Views
Mwandishi wa habari nguli nchini ambaye pia aligombea ubunge jimboni kwa baba wa taifa huko Butiama Jackton Manyerere amewataka watanzania kumpa ushirikiano wa kutosha Rais Magufuli. Akizungumza...
4 Reactions
39 Replies
46K Views
Taifa litaloshindwa kuwajibika kwa raia wake linakaribisha milango yote ya kutawaliwa na mataifa yanayoweza kutawala (aka mabeberu) iwe ndani ya Afrika au nje. Tanzania katika utawala wa CCM...
9 Reactions
24 Replies
2K Views
Shirikisho la Vyama vya Walemavu Mkoa wa Dodoma (SHIVYAWATA) limeishukuru Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kuwawezesha kuwaondolea vikwazo watu wenye ulemavu kwenye upigaji kura katika uchaguzi...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
..interview kati ya Cyril Chami na gazeti la Raia Mwema. ..nimewaletea sehemu tu ya mahojiano hayo. ..habari nzima inapatikana hapa. Raia Mwema: Wewe ni mchumi, mhadhiri, umefanya kazi Ikulu...
0 Reactions
95 Replies
19K Views
Polisi mkoani Lindi imewakamata watu zaidi ya 34 wanaodaiwa kuwa ni wanachama na wafuasi wa vyama vya upinzani kwa tuhuma za kuchoma nyumba, ofisi za serikali, magari na zahanati kabla ya Oktoba...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwanini mlizima intaneti nchi nzima? Kama mlishinda kwa haki na hamkuiba kura kwanini mlizima mtandao? Je si ushindi wenu ulipaswa kuwa baraka na furaha kwa taifa sasa kwanini mligeuza ushindi...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Mbunge pekee wa CHADEMA, Aida Khenan wa Jimbo la Nkasi Kaskazini ahudhuria sherehe za kuapishwa kwa Dk John Magufuli kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye Uwanja wa Jamhuri, Dodoma...
6 Reactions
60 Replies
8K Views
Uganda pamoja na matatizo yao yote ya Museveni kuwepo kwa muda mrefu Uchaguzi wao umekuwa huru kuliko wetu wa 2020. Pamoja na matatizo yao wana wabunge wengi wa upinzani kuliko sisi, hakuna...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Seneti ya viongozi wakuu wa chama cha NCCR-Mageuzi leo inakaa makao makuu ya chama hicho jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kutafakari yaliyotokea katika uchaguzi mkuu October 28, ikumbukwe mkuu wa...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Kwa wale wapenzi na wakeleketwa wa upinzani na hawataki taarifa zao ziende pembeni kuna program ya Chadema App ili kuipata rahisi sana Umuhimu wa wewe mwanachadema na mwenye mapenz ya kweli na...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Tanzania ni nchi inayoamini katika Demokrasia. Demokrasia ni mfumo unaoambatana na Uhuru wa kusema, Uhuru huo wa kusema umewekewa mipaka na sheria pamoja na katiba na hakuna mtu mwingine mwenye...
7 Reactions
32 Replies
2K Views
Chama cha ACT- Wazalendo, kinapenda kuvijulisha vyombo vya habari kuwa mkutano uliopangwa kufanywa na Kiongozi wa Chama (KC) Ndugu Zitto Zubeir Kabwe kesho Jumamosi Novemba 7, 2020 saa 5:00...
6 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom