Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Watalaamu wa Sheria wanasema anayetoa shutuma ndie anayethibitisha. Iwe ni kwenye kesi ya aina yoyote ile. CHADEMA na ACT-Wazalendo mnasema kuwa mmeibiwa kura. Na madai haya yamekuja baada ya...
3 Reactions
93 Replies
5K Views
Umoja wa Ulaya (EU) umesikitishwa na kitendo cha kuiminya mitandao ya kijamii kabla na baada ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 28 ambao umelalamikiwa kuwa na viashiria vya udanganyifu. Pia...
6 Reactions
92 Replies
9K Views
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), leo inatarajia kufanya kikao chake jijini Dodoma kwa ajili ya kupitisha jina la atakayegombea nafasi ya Spika wa Bunge la Tanzania na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Salaam, Kama kuna mwanasiasa ambaye amelipa gharama kubwa za kutetea upinzani hapa Nchini, basi Mbowe anaongoza kwa nyakati hizi. Tangu wakati wa Jakaya Mbowe ametumia sana rasilimali zake...
28 Reactions
27 Replies
3K Views
Asalamaleykum, Nashauri Waislamu kwa umoja wao na wote wapenda haki dunia nzima kuanza mchakato wa kushinikiza Serikali ya Tanzania na Zanzibar kuwatoa waislamu walioko magerezani. Tunajua...
9 Reactions
80 Replies
7K Views
Rais anayeongoza muhula wa 2020 – 2025 anakuwa ni Rais wa kwanza kuapishwa katika Makao Makuu ya nchi, ambayo ni Dodoma. Miaka ya awali marais waliokuwa wakichaguliwa katika Uchaguzi Mkuu...
13 Reactions
131 Replies
9K Views
Kichwa cha habari chajieleza! Kwanza, tofauti Na wengi mnavyodhani Na kuichukulia "kawaida" ziara hii.. Hii ni moja ya ziara muhimu na ya kimkakati kuliko wakati wowote ule! Kama ilivyokua Kwa...
4 Reactions
43 Replies
5K Views
Nimejaribu kusoma maoni ya watu wengi na kuona JPM anaenda kuokota embe chini ya mwarobaini na kujizolea umaarufu kwa wananchi kwa kuchagua kupeleka taarifa ya CAG bungeni na kuamuru ijadiliwe...
11 Reactions
59 Replies
8K Views
Ninakila sababu ya kuamini katika ili ikiwemo... - Naamin Wabunge wote machachari wa Upinzani hawatorudi bungeni sababu Tume si huru, lakin wenzao Walishaahidi kutumia Dola kubaki madarakani. -...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Ushauri wangu kwa Wabunge wa Upinzani. Waachane kupoteza muda kuvutana juu ya bunge kuwa laivu bali waangalie plan B .Kwa kuwa hata wafanyaje hiyo itakuwa hivyo kutokana na uchache wao ndani ya...
5 Reactions
25 Replies
3K Views
Nimekuwa nafuatilia hotuba na mahojiano na vyombo vya nje na mh Lissu toka arudi toka ughaibuni. Katika vyote hivyo nimemsikia akitumia muda mwingi kutoa kasoro na mapungufu ya uongozi wa JPM...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Hata kama mtakuwa na wabunge watano au 10 (mmoja wa kuchaguliwa na wengine viti maalum) kubalini kwenda bungeni. Kwanini? 1. Mtapata ruzuku na pesa kidogo ya kuendesha hadi 2025. Kumbuka...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Ni kweli hata katika Biblia wameandika upendo uvumila yote, upendo haukosi kuwa na adabu, upendo uamini yote, upendo hauhesabu mabaya. Hii ndiyo hali ambayo wabunge watiifu Kwa Freeman Mboe...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Kutokana na ukweli usiofichika ndani ya nchi ya Tanzania kwamba, Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni miongoni mwa Chama Kikubwa cha Siasa na pia ndio Chama kilichoshika madaraka mpaka sasa na ambacho...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Baada ya kumalizika kwa Uchaguzi wowote huwa ni maandalizi kwa mwingine unaofuata.Na siku zote ili kushinda vita yoyote lazima utumie mapungufu ya adui/mshindani wako. Kuna mapungufu mengi...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Kufuatia kauli aliyotoa bwana Polepole kuwa CHADEMA walichapisha kura fake ili kuchafua uchaguzi, ni vyema CCM ikawashtaki hawa CHADEMA kwa kutenda kosa hilo la jinai. Kama ambavyo CCM imekuwa...
11 Reactions
42 Replies
5K Views
The pandemic-induced economic crisis is set to leave deep scars. Human capital erosion from prolonged high unemployment and school closures, value destruction from bankruptcies, and constraints on...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Miaka zaidi ya 10 uliyokuwepo kwenye kiti inatosha pisha damu mpya kuja kuleta ari mpya kasi mwenendo utaofaa kwa maslahi ya upinzani Tanzania Wapo wanaoweza kuuvusha upinzani vizuri tu kuna...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
Kweli Mnaingia kwenye uchaguzi bila Tume huru ya Uchaguzi? Kweli! Mnaingia na Tume iliyoteuliwa na mmoja wa wagombea! Mnawezaje hata kuwaza kuwa mtashinda? Nawasikia mkisema mtashinda kwa nguvu...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Utafiti wa wabunge 300 kutoka nchi 19 umegundua kwamba vitendo vya uvunjaji wa haki za binadamu, mkiwemo mateso ya kimwili, ubakaji, mateso na ukamataji kiholela wa wabunge wa upinzani...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom