Natabiri: Godwin Gondwe atakuwa mkuu wa Mkoa Dar baada ya uchaguzi

bituu Kaskas

JF-Expert Member
Dec 13, 2017
206
250
Lissu akishinda naomba ieleweke kwamba itakuwa ngumu maendeleo kupatikana, hili kila mtu anajua
Atashindia wapi huyo pompoma ambaye hata ajui anataka nn hatutaki harakati bila utendaji kwanza atuambie alifanya nini kwa muda wote aliokuwa Singida kama mbunge
 

Pohamba

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
23,920
2,000
Hakuna wa kuziba pengo la Makonda

Rais anafanya Mkutano wa Kampeni Uwanja wa Taifa hakuna amsha amsha wala rabsha rabsha wala heka heka za kusimamisha Jiji

Angekuwa Makonda tungesikia mbwembwe
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom