johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,957
- 141,949
Mwandishi wa habari nguli nchini ambaye pia aligombea ubunge jimboni kwa baba wa taifa huko Butiama Jackton Manyerere amewataka watanzania kumpa ushirikiano wa kutosha Rais Magufuli.
Akizungumza kwenye kipindi cha Kipima Joto runingani ITV Manyerere amewataka watanzania kutoangalia makandokando ya NEC bali waiangalie nia njema ya Rais Magufuli na kumpa ushirikiano ili tulete maendeleo kwa kasi.
Chanzo: ITV
Maendeleo hayana vyama!