Uganda pamoja na matatizo yao yote ya Museveni kuwepo kwa muda mrefu Uchaguzi wao umekuwa huru kuliko wetu wa 2020.
Pamoja na matatizo yao wana wabunge wengi wa upinzani kuliko sisi, hakuna tatizo kwenye kujumlisha kura, hakuna mabox ambayo yameshikwa na kura feki.
Ni ajabu lakini ndiyo ukweli Tanzania sio nchi ya kidemokrasia tena kuanzia mwezi huu. Kibaya zaidi sasa viongozi wa serikali na majeshi wanaona kazi yao ni kuhakikisha CCM wanachaguliwa kama hao viongozi wanataka kubaki madarakani!.
Hivyo bila watu kupigania uhuru sheria za ajabu zitaanza kutungwa lakini vilevile tukipata rais mkabila, mdini au mlarushwa nchi yetu kwa miaka michache tu inaweza kurudi nyuma sana.
Demokrasia ni muhimu sana lakini vilevile viongozi ambao hawajachaguliwa na watu kwa upendo hawataweza kupata heshima kwenye majimbo yao.
Magufuli watu watamtumia kwa manufaa binafsi hasa kwenye kubadilisha sheria kabla hajaondoka. Vilevile kuna ambao watataka aongezewe muda au raisi wa maisha kama Musevi lakini mioyo ya Watanzania wanaoenda uhuru .