Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 15,302
- 24,143
Katika dunia hii ya teknolojia, alternatives to communication zinajitokeza kila uchao. Kwa sababu za kisiasa tu TCRA imeamua kuminya upatikanaji na upashanaji wa habari kwa waTanzania. Hili ni kosa la kimsingi, kwa sababu yoyote ile.
Teknolojia hailali, watu wamekwisha anza kutumia njia mbadala kuwasiliana. TCRA imezifunga njia za upashanaji inazozifahau, lakini si zile njia mbadala.
Mbaya zaidi hata ufanyaji kazi wa kibiashara kama e-banking, e-TRA na hata e-government kwa kiasi fulani imeathirika. TCRA mwisho wa siku itakuwa irrelevant maana litakuwepo lakini si kwa ajili ya huduma kwa wananchi.