Kesi tano zinazomsubiri Mahakamani Tundu Lissu

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,224
Dar es Salaam. Wakati aliyekuwa mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu akidai yupo ubalozi wa Ujerumani, ameomba kupatiwa hifadhi ya kisasa kwa maelezo ya kuwa ametishiwa maisha.

Kauli hiyo imekuja wakati Mahakama ya Hakimu ya Hakimu Mkazi, ikitoa hati ya wito kumtaka Lissu afike mahakamani Novemba 30, Desemba 3, 10 na Desemba 17, kusikiliza kesi zake tano zinazomkabili.

Hii ni mara ya nne, kwa Lissu kushindwa kufika mahakamani kuhudhuria kesi hiyo, tangu aliporejea nchini Julai 29, 2020, akitokea Ubelgiji alipokuwa anapatiwa matibabu baada ya kupigwa risasi na watu ambao hadi sasa hawajafahamika.

Hadi sasa, Lissu anakabiliwa na kesi tano za jinai, zote zikiwa na mashtaka ya uchochezi na zipo kwa mahakimu tofauti.

Kesi hizo ni ya jinai namba 208/2016; 233/2016; 279/2016; 236/2017 na 123/17 zote zikiwa katika hatua ya kutajwa, kusomewa hoja za awali( PH) na usikilizwaji.
 
Hizo kesi haramu za kubambikiwa na CCM kishetani hazina uhalali wowote hata akiamua kuondoka pasipo kufika mahakamaccm Duniani kote watamuelewa tu maana kuwa na kesi kwenye mahakamaccm ni vigumu upate haki
 
Haya maisha ni rahisi sana kuombea mtu mwingine mabaya wewe ukiwa umepewa wakati mwema na Mungu.

Ila jua pia unachomuombea mtu kiwe kizuri ama kibaya ni energy itakayokurudia wewe binafsi ama uzao wako.Malipo ni hapa hapa duniani
Asipoenda itolewe arrest warrant akamatwe popote aonekanapo na walinyime dhamana jinga kabisa hilo
 
Kama wana nia ya kutafuta vurugu waendelee kuwachokonoa hawa watu. Watanzania wamekaa kimya sio kwa sababu wamekubali
Wapiga kura wamedhurumiwa haki zao na wakurugenziccm NECCCM Tumeccm na Polisiccm wamekaa kimya lakini moyoni wanaandamana kwa kwenda mbele wanamlilia mungu dakika zote
 
Asipoenda itolewe arrest warrant akamatwe popote aonekanapo na walinyime dhamana jinga kabisa hilo
Huu ujinga upumbavu roho mbaya uchawi wenu wa kishetani kishamba ndiyo umewafanya CCM mkakosa kura za watanzania ndipo mkaamua kuwatumia Polisiccm na NECCCM Tumeccm wakurugenziccm na Polisiccm kuubaka kuunajisi kuulawiti uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani
 
Serikali ya kaburu Mkoloni mweusi na polepole chini ya ushauri wa cyprian Musiba imekuwa ni Serikali penda penda kesi kesi za kubambikiwa kuliko maendeleo, hawataki maendeleo kabsa mda mwingi wanawaza kesi na jinsi ya kuwakomoa kuwafanyizia wapinzani tu, ni vigumu Taifa kupiga hatua kimaendeleo katika mfumo huu haramu wa kishetani
 
Sidhani if it's possible atokee ubalozini aende mahakamani arudi ubalozini tena... Pale anahesabika Yuko ujerumani...ubalozi una haki ya kumtoa au kutomtoa bila sharti lolote..
 
Akili mbovu kabisa. Mnaiba uchaguzi halafu mnataka kumuua mliyemwibia ushindi. Lissu alipigwa risasi 16 mchana kweupe. Miaka 3 baadae hakuna hata mtuhumiwa mmoja amekamatwa. Leo anatishiwa maisha yake, nyie mnaongelea kesi. Eti kesi za uchochezi kwa kumwita Magufuli dikteta! Lissu kaomba kuhakikishiwa usalama wake. Serkali na vyombo vyake viko kimya. Pelekeni ujinga wenu huko. Mnapenda sana damu za wenzenu. Roho inawauma kuwa ana hifadhi ya Ubalozi.
 
Asipoenda itolewe arrest warrant akamatwe popote aonekanapo na walinyime dhamana jinga kabisa hilo
Then ww na familia yako ndio mnapata maji masafi ya kunywa

Na hata salary yako kazini inaongezeka
 
Mithali 14:34
"Haki huinua taifa; Bali dhambi ni aibu ya watu wo wote"

Mbinu chafu na haramu zilizotumika kukipa ushindi chama tawala ni dhambi kubwa juu ya nchi yetu. Dhambi hii haitawaacha watu dhalimu waliohusika kufanikisha uovu huu hata wakabaki salama, itawatafuna mmoja baada ya mwingine.
tapatalk_jpeg_1521037927414~2.jpg
 
Hizo tarehe ulizozitaja zimeshapita!? Kama bado, hoja ya kutofika mahakamani inatoka wapi!?

Serikali inakwepa jukumu la kumhakikishia usalama wake, halafu anakuja propaganda nyepesi za kesi za kishamba, shame on you primitive creatures!
 
Hizo kesi haramu za kubambikiwa na CCM kishetani hazina uhalali wowote hata akiamua kuondoka pasipo kufika mahakamaccm Duniani kote watamuelewa tu maana kuwa na kesi kwenye mahakamaccm ni vigumu upate haki
Sasa ataondoka vipi, si ni lazima apite barabarani aende airport au aende border ya Kenya kote huko ubalozi hauwezi kumlinda.

Unakumbuka kesi ya Miguna wa Miguna wa Kenya jinsi serikali ya Kenya ilivyodili nae?
 
Sinema zimeanza tena!
Sio sinema..sheria inachukua mkondo wake...yeye si anajifanya mwanasheria haya Sasa atumie sheria yake kupambana na kesi zake..au amwite mwanasheria wake lile shogaa Amsterdam aje amtetee....
 
Hizo tarehe ulizozitaja zimeshapita!? Kama bado, hoja ya kutofika mahakamani inatoka wapi!?
Serikali inakwepa jukumu la kumhakikishia usalama wake, halafu anakuja propaganda nyepesi za kesi za kishamba, shame on you primitive creatures!
Wakati anapiga kampeni akizunguka nchi nzima Nani alimhakikishia usalama wake..labda atuambie..kwann asiende kwa huyohuyo aliyemhakikishia usalama huo amwakikishie na huu wa sasa
 
Back
Top Bottom