Tuache Siasa, Rais Magufuli ameijenga Dar es Salaam kuliko mkoa wowote Tanzania

GUSSIE

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
3,866
11,100
Ni "Shikwambi" au Shinda kwa mbinu zilizoboreshwa na za kisasa zaidi kwa kutekeleza ilani ya ccm kwa kishindo

Tumeshawapiga Shikwambi sasa tunajenga nchi
Ni dhahiri shahiri uchaguzi umekwisha sasa,Sasa ni wakati wa kujenga Taifa na kula mema ya nchi yenye madini na wanayama adimu

Jana nimetoka Dodoma baada ya kushuhudia Jemedari mwenye maono JPM akiapa kuendeleza nchi kwa miaka mitano hakika ilikuwa shangwe na nderemo kubwa kwa sisi wafuasi wa ccm na wapigania chama hapa JF

Yafuatayo ndio yamenifanya niandike haya nitakayoandika ,Hii ni kutokana kwa zaidi ya miaka 20 sijawahi pita Mwananyamala au Manzese Dar es Salaam,Jana Ijumaa niliamua kuingia ndani huko nikajionee maisha ya watu na miundombinu nikiwa natokea Dodoma

Mosi,Hakika ni barabara za lami za kisasa zimetandazwa maeneo yote ya mwananyamala ,Si mwananyamala niliyopita mwaka 2000 yenye tope na uchafu ,Ni mwananyamala mpya na ya kisasa chini ya Jemedari JPM

Pili,Ni full taa au mwanga sehemu zote hii hata baadhi ya mikoa hakuna,Taa zimetandazwa mwananyamala na manzese yote ,JPM ametisha sana kwa hilo

Tatu,Nilipita maeneo ya Mbezi Beach muda wa saa tatu usiku ,Mambo yamebadilika Mbezi Beach iliyopoa ya wakati huo miaka ya 2000 sasa watu kila hatua nne kuna club Hii si Mbezi Beach ya miaka ya 2000 niliyopita,Pub za mziki na kumbi za kula bata za maana sana hii ni baada ya vipato kuongezeka ,Zamani miaka ile Bar kubwa ilikuwa ni Top Garage na Triple 7 .Lakini jana nimejumuika na wana ccm wezangu kula bata kwa bei rahisi na maeneo mazuri na makali sana,Hongera JPM

Lakini kikubwa tukutane 2025 tutashinda kwa kishindo na Shikwambi kuu

Kwa hali hii Chadema itabaki facebook na Twitter

Hapa tunaandaa "Shikwambi" kuu au shinda kwa mbinu za makombora kuliko ya 2020

2025 kutakuwa hakuna kampeni tena wala siasa ni ccm tu
 
Kwa Mpalange kajenga Nini? Barabara za Manzese, na Mwananyamala na Makumbusho Ni mradi wa Benki ya dunia. Hata Don Nalimison a.k.a Deogratius Kisandu angepewa autekeleze, angeukamilisha vizuri sana
Ahaa sasa Benk ya dunia waliomba chadema au

Mnajifariji kipumbavu sana sana

Mimi binafsi hakuna watu nawadharau kama watu wa Mbeya hasa Bujibuji,Mnaogopa uchawi na kurogwa hamrudi Mbeya kwenu kabisa

Unafahamu Ndyeki wewe

Ugonile twa masiku

Mbulo ngati sekwa

Ikitutufu rwanda

Wanyakyusa walikuwa akina John Mwakangale wengine photocopy
 
Miradi mingi kaiacha JK na mingi ni ufadhili wa WorlBank, na nchi wahisani kama Korea( flyover zote ni msaada) . Kama shukrani ashukuriwe JK kwa kutumia diplomasia yake kuomba kuungwa mkono na wadau wa Maendeleo
 
Ahaa sasa Benk ya dunia waliomba chadema au

Mnajifariji kipumbavu sana sana

Mimi binafsi hakuna watu nawadharau kama watu wa Mbeya hasa Bujibuji,Mnaogopa uchawi na kurogwa hamrudi Mbeya kwenu kabisa

Unafahamu Ndyeki wewe

Ugonile twa masiku

Mbulo ngati sekwa

Ikitutufu rwanda

Wanyakyusa walikuwa akina John Mwakangale wengine photocopy
Ahaa sasa Benk ya dunia waliomba chadema au

Mnajifariji kipumbavu sana sana

Mimi binafsi hakuna watu nawadharau kama watu wa Mbeya hasa Bujibuji,Mnaogopa uchawi na kurogwa hamrudi Mbeya kwenu kabisa

Unafahamu Ndyeki wewe

Ugonile twa masiku

Mbulo ngati sekwa

Ikitutufu rwanda

Wanyakyusa walikuwa akina John Mwakangale wengine photocopy
Ukabila umeingiaje hapo? jibu hoja kwanza
 
Ndiyo, anaweza kufanya yote hayo bila kudhuru uhai wa wanao tofautiana naye. Sijuwi anakwama wapi huyu mzee.
 
Dar inang'aa kilakukicha.serikali ya CCM inajenga nchi bana asikwambie mtu.

achana na Chadema kelele nyiingi hata kujenga makao makuu ya chama awawezi pamoja na kupewa ruzuku miaka yote na michango ya wabunge ikiwemo.
 
Ahaa sasa Benk ya dunia waliomba chadema au

Mnajifariji kipumbavu sana sana

Mimi binafsi hakuna watu nawadharau kama watu wa Mbeya hasa Bujibuji,Mnaogopa uchawi na kurogwa hamrudi Mbeya kwenu kabisa

Unafahamu Ndyeki wewe

Ugonile twa masiku

Mbulo ngati sekwa

Ikitutufu rwanda

Wanyakyusa walikuwa akina John Mwakangale wengine photocopy
Weee endelea kumdharau Bujibuji usiyemjua, hujui asili yake, hujui atokako, hujui aendako, hujui sura yake.
Mdharau sana, mchukie, halafu mchukie zaidi tuone ni nani atapata peptic ulcers
 
Ahaa sasa Benk ya dunia waliomba chadema au

Mnajifariji kipumbavu sana sana

Mimi binafsi hakuna watu nawadharau kama watu wa Mbeya hasa Bujibuji,Mnaogopa uchawi na kurogwa hamrudi Mbeya kwenu kabisa

Unafahamu Ndyeki wewe

Ugonile twa masiku

Mbulo ngati sekwa

Ikitutufu rwanda

Wanyakyusa walikuwa akina John Mwakangale wengine photocopy
lukobha lwa nyoko
 
Watanzania ni wajinga kwa mijitu ya aina hii

Yaani kodi zetu zimetumika alafu unakuja kusifia mtu mmoja?

Ebooh!
 
Mbona sasa kwenye kampeni alitembelea magoti na kwenye uchaguzi alitengeneza kura za wizi badala ya kuwashawishi wapiga kura kwa haya "mafanikio" makubwa unayoyataja?
 
Dar inang'aa kilakukicha.serikali ya CCM inajenga nchi bana asikwambie mtu.

achana na Chadema kelele nyiingi hata kujenga makao makuu ya chama awawezi pamoja na kupewa ruzuku miaka yote na michango ya wabunge ikiwemo.
Dar ni nchi? Maendeleo hayataikiwi ku concetrate kwenye mkoa mmoja tu.
 
Tanzania imejaa wananchi misukule wasiojua lolote.

Barabara na taa unazoziona dar es salaam ni pesa ya world bank chini ya mradi wa Dar Es Salaam Metropolitan project (DMDP) na mradi ulienziwa tangu chini ya kikwete ila kwasababu ya umbumbumbu wa wananchi shukrani anaepewa mtu mmoja.

Ingia hapa usome Dar es Salaam Metropolitan Development Project
 
Soma hapo acheni kupelekeshwa
IMG_20201108_091029.jpeg
IMG_20201108_091101.jpeg
 
Back
Top Bottom