digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 7,894
- 14,353
Wakuu habari zenu,natumai hamjambo.
Naomba niende kwenye maada yangu,nidhahili kuwa mwenyekiti wa chadema maji kwa sasa yako shingoni na kuna namna anajutia kwanini aligombea uenyekiti wa CHADEMA kwa awamu nyingine, Maana kwa mapigo anayoyapata ya kukimbiwa na wanachama kila uchwao ni lazima aweweseke,imefikia kipindi anageuka kuwa mpiga ramli, pale anapodai kuwa kuna wanachama wengi watamfuata aliyekuwa katibu mkuu wake Dr.Mashinji.
Eti hawezi kuwafukuza ila wataondoka wenyewe, kama ameshaona kuna viashiria hivyo na anawajua wale wote wanaotaka kuunga juhudi za serikali ya awamu ya tank,kwanini asikae nao na kywauliza kwanini wakikimbie chama? Badala yake anakuja na porojo za kujidai ni mtabiri ,poor Aikael Mbowe.
Nidhahiri kuwa baada ya uchaguzi wa Oct.2020 ,chadema itakosa uwakilishi katika nyanja zote za udiwani na ubunge maana kila uchwao lazima tusikie kilio cha kukumbiwa na wanachama,na dalili zi wazi kuwa mwenyekiti wa CDM lazima atakitelekeza chama baada ya kukosa ruzuku.ili kuepuka aibu hii ni bora akaunga juhudi za serikali ya awamu ya tano mapema kama wanavyo Fanya wafuasi wake.
Ni hayo tu, mjumbe hauawi.
Sent using Jamii Forums mobile app