Mbunge wa Rorya, Lameck Airo akishirikiana na Namba tatu, Ochele, pamoja na Ongujo wamegeuza halmashauri ya Rorya kama shamba lao. Wanachukua tenda zote, kwa ajili ya makampuni yao. Lameck Airo...
Sote tumesikia tuhuma za bilioni 978.
Ripoti ya CAG imeweka wazi kuwa kuna bilioni 978 zilizoingizwa vote 20 bila kuidhinishwa na bunge na yeye CAG.
Utata uko hapa
Nimesikia mbunge wa upinzani...
Mabibi na mabwana pana taarifa za upepo mwema kuanza kuvuma kule pande za Zanzibar.
Tulikotoka, tulikopita na tulipo kote kunafahamika. Kwamba uchaguzi ule ulikuwa na mzengwe usiofaa kurejewa...
Kwa miaka mingi taifa kubwa la Marekani, linaposimama kutoa misimamo yake juu ya mijadala mbalimbali hasa ya nje ya nchi yao, wamekuwa wanaongelea jinsi mijadala hiyo inavyohusu 'maslahi ya taifa'...
Wakati Tundu Lissu akiondoka nchini kwenda Ubelgiji kwa matibabu leo, amesindikizwa na mabalozi watatu ambao ni balozi wa Marekani, Ujerumani na Ubelgiji.
Washirika hawa watatu kwa hakika upo...
Watanzania tunaumia kuona CAG anavyoshambuliwa bila sababu,CAG ndiye mkaguzi wa kodi zetu , watanzania tuna wajibu wa kusimama nae ili kuwe na usimamizi imara wa fedha zetu (effective finance...
Ninavipongeza vyombo vyote vya Usalama pamoja na mifumo yote ya usalama wa Taifa la Tanzania.
Kazi yetu iliyotukuka na inayoogofya hata kusimuliwa hapa ndio ujasiri wetu kama Taifa.
Kuna Jambo...
Naona haya ni mabadiliko ambayo watanzania wengi wanataka...
1. Kuvunja Muungano..
Huu Muungano na uvunjwe Tu kuliko kutumia Damu za watu kuulinda..
2. Kuifuta CCM..
Hiki chama hakiwezi kabisa...
Muda mchache kabla ya kuondoka nchini, Aliyekuwa mgombea uraisi wa kupitia Chama cha demokrasia na Maendeleo Chadema Tundu Lissu alifanya mahojiano mafupi na vyombo vya habari na kuseama kuwa...
Moja kati ya wasaidizi wa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe ameripotiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha kwa siku 22 hadi leo.
Taarifa...
Wanabodi,
Huu ni uzi wa swali kuhusu Serikali Yetu Kuitwa "Sinister" na "Authoritarian", Jee ni Kweli?. Kama Sii Kweli, inamaanisha ni uongo!, Tusikubali Uongo Huu!, Tuukanushe, maana uongo...
Wanabodi
Kama kawaida yangu kunapotokea mitanzuko kati ya kauli za viongozi, sheria na katiba, watu wote wenye mapenzi mema na taifa hili lazima wajiulize what will happen hiyo tarehe 21/1 maana...
Kila mtu anajua umuhimu wa CAG, hata Katiba yetu ya mwaka 1977 inatambua hilo na ndio maana imeweka kinga na heshima ya madaraka hayo ili afanye kazi kwa uhuru na bila woga.
Sio kwetu tuu bali...
Nazipa pole media za Tanzania hasa zile zisizopokea ruzuku ya serikali zinaweza kufa kibudu.
Sababu hivi nani atanunua magazeti ya kusifu na kuabudu ayasome sasa hivi.
Kama mlipigwa pini mitano...
Wanabodi,
Hii ni just info tip. Baada ya minong'ono ya Kuwasilishwa leo kwa Ripoti ya CAG kuenea.
Natoa wito kwa wana JF wenye nafasi, tujitokeze kwa wingi kushuhudia tukio hili litakalo...
Wengi wamefafanua kwamba iwapo Rais hataipeleka ripoti bungeni basi CAG ataipeleka.
Kumbe kuna uwezekano Rais asiipeleke hivyo CAG akalazimika kuipeleka.
Katika kupekuwa haraka sijaona utaratibu...
Wanabodi,
Niko hapa Dodoma kwenye ukumbi wa mikutano ya waandishi wa habari Bungeni, ambapo CAG, Ludovick Uttouh, anazungumza na waandishi wa habari, kuhusu ripoti yake.
Kubwa kuliko ni...
Wanabodi
Leo naendelea tena na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", Jee Azimio la Bunge kutofanya kazi na CAG Prof. Mussa Assad, ni uamuzi halali au batili?, na jee una maslahi gani kwa...