Lubuva kushitakiwa mahakama ya Tanzania
Wakati kesi ya kupinga kuchaguliwa kufuli ikifunguliwa katika mahakama ya ICJ kwani matokeo ya Urais hayapingwi katika mahakama za Tz,
But Lubuva anaweza kushitakiwa katika mahakama za Tz kwa kupuuza ukweli wa kura zilizopigwa na kushirikiana na Masisiem katika kutangaza takwimu za uongo, na hivyo kupelekea kutangaza Mshindi wa Uongo. Jambo hili ni hatari mno kwani linaweza kuwa chanzo cha za uvunjifu wa amani katika nchi. Hii itakuwa ni fundisho kwa wasimamizi wa uchaguzi kusimamia haki next time.
Namshukuru Mungu amenijalia ufahamu. Siwezi kusikiliza wajinga wakati najua fika kwamba uamuzi wa mahakama ya kimataifa ndio wa mwisho. Mlivyokuwa mnaiba kura mlizani nyie ni wajanja kumbe wajinga wakubwa nani kakuambia kuwa wenzio wameshindwa kuonyesha tofauti ya kura za majimbo na tume? Ulitaka wa kuletee wewe kama nani? Kwa taarifa yako wenzio ni wasomi na wameshapeleka ushahidi wao wote mahakama ya kimataifa jiulize hao majaji 6 mliokwenda nao the huge ni wa nini kama kweli mmeshinda? Tusubirie hukumu tuache kujazana ujinga.
unafahamu kuwa50%ya wabunge wa ccm wameshinda kwa kura za wizi au kutangazwa na wasimamizi hata waliposhindwa
Yaani watu wazima mnakaa na kuihadaa jamii na uongo ulio wazi.
ICJ haina mamlaka yoyote ya kuamua matokeo ya kesi ya uchaguzi tanzania na Lowassa na kundi lake hawana uhalali wa kisheria (locus standi) wa kufungua pale.
ICJ inashughulika na migogoro kati ya mataifa (states) au taasis za UN na si watu binafsi au vikundi vya watu. Kama wewe si mwanasheria google basi hata hiyo mahakama uone mamlaka yake.
Huku kujazana upepo kwa uongo wa makusudi ni upumbavu na wafuasi wa ukawa tuache ujinga wa kufuata mkumbo bali tutafute ukweli na kuthibitisha mambo kabla ya kujaza hewa chafu jamvini ili tu kujipoza machungu.
Yaani katika hili Ukawa inaonyesha ni waongo kuliko hata ccm. Wanadanganya wafuasi wao wenyewe tena hadharani bila aibu.
Baada ya kushindwa uchaguzi wanadanganya watu kuwa wanao ushahidi na wamepeleka mahakama kubwa kubwa.
Tuache uongo na kupotosha watu.
Kaeni mtulie dawa iingie. Matusi kwa Silaa na Mzee Mwanakijiji sasa ndo mtajua utamu wake na raha ya mafuriko feki ya kujijazisha watu.
Na jambo moja la mwisho, kesi za kupinga matokeo huwa hazifunguliwi dhidi ya Tume ya Uchaguzi (au watendaji wake) bali dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa serikali.
Acheni ulongo na kujifurahisha. Kweli hili genge linahitaji elimu.