Baada ya Bunge zima sasa kuwa ni Bunge la wana-CCM,wenzetu hawa wanaonekana bado kutoridhika na hata kuonekana kuumizwa na uwezekano wa wapinzani kuwaachia hata vile vite 4 au 5 vyote viwe vyao...
Mwamba ana mzigo mzito kipindi hiki. Anatakiwa afanye maamuzi magumu ambayo yatakuwa kufa au kupona kwa Chadema.
Wakubali, wakatae, huu uchaguzi umekwisha na hakuna vikwazo wala matamko ya...
ASKOFU GWAJIMA NA MATUMIZI YA TASWIRA ZA MBWA KUBWEKA NA JABALI.
Naandika Magoda Jr.
📌 Kwa wale ambao hawakuwa wanadharau kipindi cha somo la kiswahili hasa katika mada ya fasihi basi neno...
MHE RAIS MAGUFULI USIKUBALI KUPAKWA MAFUTA NA BUNGE LA 12
Na Emmanuel M. Makalla
+255716605949
Bwana Yesu asifiwe, As-salamu Alaykum!
Naomba kuchukua fursa hii kukupongeza mhe Rais John Pombe...
Ukiachana na kile kitengo cha propaganda cha CCM na ile praise team. Wengine wote hatupaswi kuwa na muono kimo cha mbilikimo. Ni lazima tuwaze zaidi ya mwisho wa uono wa macho yetu.
Nimemuona P...
Hakuna ubishi kabisa watu wengi wanaoneza uongo juu ya Taifa letu ni watumiaji wa mtandao wa Twitter.
Huko kuna watu wabaya sana ambao nafikiri sababu wengi wao wanaishi nje ya nchi basi muda...
Wanangwa,
Jana nilikuwa kanisani, mimi ni m- KKKT, na kama mnavyojua KKKT ni moja kati ya Taasisi kubwa sana hapa Tanzania ya kidini. Sasa wakati Mzee wa kanisa anasoma matangazo kikaja...
Waziri Mkuu wa zamani Mheshimiwa Edward Lowassa amekamatwa na Polisi mkoani Geita. Mh. Lowassa amefika Geita leo akitokea Kagera kwenye ziara, alipofika stendi ya zamani Geita wananchi...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) imetangaza uchaguzi mdogo katika kata tatu za Nyahanga iliyopo mji wa Kahama mkoani Shinyanga, Igumbilo iliyopo Halmashauri ya manispaa ya Iringa mkoani Iringa na...
Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi (SACP), Lazaro Mambosasa amewataka wafanyabiashara kuuza cement kwa bei iliyowekwa na serikali vingiinevyo...
Ingawa hatupewi taarifa za kueleweka lakini yanayoendelea Mtwara kwa uchache yanafahamika. Kuna uwezekano mkubwa kabisa Tayari kile kikundi cha ugaidi kilichokuwa kinasumbua kule Msumbiji Ni rasmi...
Mbunge wa Rorya, Lameck Airo akishirikiana na Namba tatu, Ochele, pamoja na Ongujo wamegeuza halmashauri ya Rorya kama shamba lao. Wanachukua tenda zote, kwa ajili ya makampuni yao. Lameck Airo...
Sote tumesikia tuhuma za bilioni 978.
Ripoti ya CAG imeweka wazi kuwa kuna bilioni 978 zilizoingizwa vote 20 bila kuidhinishwa na bunge na yeye CAG.
Utata uko hapa
Nimesikia mbunge wa upinzani...
Mabibi na mabwana pana taarifa za upepo mwema kuanza kuvuma kule pande za Zanzibar.
Tulikotoka, tulikopita na tulipo kote kunafahamika. Kwamba uchaguzi ule ulikuwa na mzengwe usiofaa kurejewa...
Kwa miaka mingi taifa kubwa la Marekani, linaposimama kutoa misimamo yake juu ya mijadala mbalimbali hasa ya nje ya nchi yao, wamekuwa wanaongelea jinsi mijadala hiyo inavyohusu 'maslahi ya taifa'...
Wakati Tundu Lissu akiondoka nchini kwenda Ubelgiji kwa matibabu leo, amesindikizwa na mabalozi watatu ambao ni balozi wa Marekani, Ujerumani na Ubelgiji.
Washirika hawa watatu kwa hakika upo...
Watanzania tunaumia kuona CAG anavyoshambuliwa bila sababu,CAG ndiye mkaguzi wa kodi zetu , watanzania tuna wajibu wa kusimama nae ili kuwe na usimamizi imara wa fedha zetu (effective finance...
Ninavipongeza vyombo vyote vya Usalama pamoja na mifumo yote ya usalama wa Taifa la Tanzania.
Kazi yetu iliyotukuka na inayoogofya hata kusimuliwa hapa ndio ujasiri wetu kama Taifa.
Kuna Jambo...