Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jaji Sinde Warioba (Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania) amesema Tasnia ya Habari kwa sasa imekua sana lakini hana uhakika kama imekomaa kiasi cha kutosha kutoa habari za kila aina kwa Wananchi...
18 Reactions
66 Replies
7K Views
Katika taarifa ya habari ya Channel 10 ya usiku wa jana tarehe 20 Novemba 2020, Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji na Mwakilishi wa Tanzania kwenye Umoja wa Ulaya Mhe Jestas Abuok Nyamanga...
11 Reactions
109 Replies
11K Views
Hakuna mapigano, hakuna mfalme sote tunaishi vizuri na hili lote lina julikana sote ni ndugu tunahitaji zaidi amani kuliko vita au uadui. Lakini serikali tunaiomba iwe makini Zaidi na suala la...
2 Reactions
7 Replies
849 Views
Tanzania na Kenya zilipata uhuru mapema miaka ya 1960s. Leo zinakaribia miaka 60 tangu zipate uhuru. Nchi hizi mbili ni kama makaka wawili waliozaliwa tumbo moja ila kila mmoja kachukuwa njia...
25 Reactions
155 Replies
11K Views
Hakuna MTU awaye yeyote alidhania au aliwahi hisi Eti Hitler siku moja angekimbia kiti nakujificha na mwisho kupotezwa kama alivyo poteza wenzake. Vitabu vinasema Hitler alitafutwa mithili ya...
8 Reactions
25 Replies
2K Views
Tunashuhudia kampeni za mgombea urais kupitia CHADEMA ndugu Tundu Lissu kila anapopanda jukwaani lazima atamtaja Magufuli kwa jambo lolote lile kwa kifupi kipaumbele cha kwanza kwenye hotuba za...
10 Reactions
154 Replies
14K Views
Kuna Watu wanajimwambafai kuwa kukatwa misaada haiwasumbui. Nawakumbusha kuwa baada ya kutunga Sheria ya Takwimu isiyokubalika Benki ya Dunia ilizuia Fedha zake. Serikali ya Magufuli iliufyata na...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Rais Hussein Mwinyi afuata nyayo za John Pombe Magufuli, ameshtukiza ziara ya hospitali ya mnazi mmoja Zanzibar na kukutana na madudu. Asema pesa ipo lakini huduma ni mbovu, aahidi kushughulikia...
9 Reactions
45 Replies
7K Views
Nauliza tu maana pamekuwepo na ushirikiano usio rasmi kati ya Chadema na ACT wazalendo. Kwa sasa uongozi wa ACT wazalendo unaitafakari barua ya mwaliko wa kujumuika na CCM kwenye serikali ya...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Serikali ijikite Zaidi kwenye matokeo; jambo flani likisemwa linatimia. Mfano, zamani mifuko ya rambo ilikuwepo lakini serikali ikajifunza ukweli kuhusu madhara yake na hatimaye ikaja na solution...
1 Reactions
8 Replies
846 Views
Salaam wana JF, Nianze andiko hili fupi kwa kusema Tanzania ni taifa imara kwa misingi ya siasa, uchumi, utamaduni na utawala bora, Tanzania kama yalivyo mataifa mengine ulimwengu tunayo misingi...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Naona nchi hii sasa imegawanyika vibaya mno kisa siasa. Nachotaka kusema hapa uchaguzi umepita na ulikuwa na machungu mengi maumivu mengi kisa tu chama fulani wabaki madarakani, yote na yote...
7 Reactions
141 Replies
10K Views
Ogopa sana kumfanyia Unyangindo (Uhuni) Mtu ambaye anakujua vyema kuliko hata Wewe unavyojijua halafu hata ukiwa tu na shida unamkimbilia. GENTAMYCINE nimekula 'Pesa' ya Mzungu tena ambaye ni...
20 Reactions
84 Replies
6K Views
Tanzania: Killings, arbitrary detention and torture of opposition members in aftermath of elections 20 November 2020, 12:00 UTC Tanzanian authorities must launch a prompt, thorough and...
18 Reactions
83 Replies
8K Views
Madelo ga wiza mkaya, Wanajamvi nimekuwa mashuhuda wa chaguzi mbalimbali tangu enzi za akina mbowe wa helkopta, akapigwa chini na jk. Akaja padre mstaafu ndugu Slaa, akapigwa tena Akaja Ngoyai...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Uchaguzi umeisha na serikali iliyochaguiwa na Wananchi imeshaanza kuchapa kazi, Wananchi wa Tanzania wapo kimya wakisubiri kula matunda ya kile walichoahidiwa. Kinachoshangaza baada ya kupigwa...
18 Reactions
128 Replies
10K Views
Kupitia hili suala la Mbunge wa Nkasi pamoja na wabunge wa viti maalumu, CHADEMA wamejitanabaisha ni kiasi gani wamekua wanafiki kwa watanzania na wapenda Haki na amani wote. Uchaguzi wa mwaka...
16 Reactions
67 Replies
5K Views
Hii ni kama strategy ya UKAWA kujenga mgombea wake kwa mwaka 2020, baada ya kuone appointment ya Katibu mkuu kukosa mwito ndani na nje ya muunganiko huo. Kauli na matendo ya Lissu yanaonyesha...
6 Reactions
1K Replies
95K Views
Naam, miaka 4 ya nenda - rudi kortini imehitimishwa leo baada ya hukumu ya mwisho kusomwa mahakamani. Nachukua fursa hii kumshukuru Mungu kwa ulinzi wake katika safari hii; nawashukuru ndugu na...
130 Reactions
100 Replies
12K Views
Ubalozi wa Tanzani Ubelgiji umekanusha habari za uongo zinazoenezwa mitandaoni kuwa Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia kuifutia Tanzania misaada na kuiwekea vikwazo. Ubalozi umeeleza kuwa ni...
30 Reactions
279 Replies
24K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…