Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

kwa kipi hasa alichokifanya!? :confused: Hawa wanafiki wa CCM kwa kujibaraguza!! Mbona hawajaandamana kumpongeza Slaa aliyeibua uozo mkubwa ndani ya BOT uliosababisha wizi wa mabilioni ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Sasa ni wazi, kuna jitihada za chini chini kupunguza kura za urais za Dr. Slaa. Wazalendo ambao ni wasimamizi wa uchaguzi katika majimbo 5 wametuthibitishia kuwa, wamekuwa katika wakati mgumu huku...
0 Reactions
52 Replies
7K Views
Ndugu wana-forum hivi viongozi wetu watajua kuwajibika kwa wananchi lini? Au ndiyo yale yale ya kudanganyana majukwaani? Walalahoi na wenye uchungu na ile nchi nafikiri mtaniunga mkono kwa hili...
0 Reactions
166 Replies
32K Views
Mwalimu wangu wa Sayansi ya Siasa na Utawala Prof .Horace Camble alikuwa anatumbia kuwa ili DEMOKRASIA imee Ni lazima kuwe na Civic competence' yaani misingi ya DEMOKRASIA inafaa tu pale ambapo wa...
0 Reactions
0 Replies
747 Views
LISSU(Opening Remarks) Lissu: Chama chetu cha CHADEMA na chama dada cha ACT-Wazalendo tumekataa kuyatambua matokeo ya uchugazi huu, tumekataa kushiriki kwenye bunge au serikali za mitaa kwani...
32 Reactions
179 Replies
21K Views
Huyu mwanasheria mkuu wa CHADEMA eti anadai kuwa anapinga mfumo uliomweka rais Magufuli madarakani. Cha ajabu ni kwamba hicho chama chake kimeshiriki chaguzi zote za vyama vingi tokea 1995 na...
52 Reactions
345 Replies
26K Views
Last time niliandika thread: Je tuna wanasiasa wanaopigania demokrasia au wako kwaajili ya kujinufaisha wenyewe...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Kuna watu wenye mitazamo tofauti kuhusu wabunge wa viti maalumu, CHADEMA, ambao wameenda kuapa kuitumikia nchi yao, bungeni! Kuna wenzangu wa CHADEMA wenye maoni kwamba; huu ni usaliti, au...
0 Reactions
10 Replies
984 Views
Tunaomjua Zitto vizuri na Mbowe hawatuchanganyi kabisa. Mwaka 2010 baada ya UCHAGUZI mkuu wabunge wa upinzani walikusudia kususia bunge kwa sababu kama hizi hizi. Wakati huo Tundu Lissu, Heche na...
6 Reactions
57 Replies
4K Views
Hii ndio taarifa iliyotufikia usiku huu, kwamba Mhamasishaji wa BAVICHA Twaha Mwaipaya na Katibu Mkuu wa Bavicha Mh Nusrat Hanje , leo wameachiwa huru na Serikali ya Tanzania , huku ikidai haina...
28 Reactions
78 Replies
9K Views
ESTHER MATIKO ASUSWA NA VIONGOZI CHADEMA MKOA NA WILAYA Ni Lucas Ngoto Mwenyekiti Mkoa, na Hamisi Nyanswi Mwenyekiti Wilaya. Sababu kubwa ni dharau, kiburi na malingo. Pia wanajiepusha na lawama...
3 Reactions
57 Replies
9K Views
Baada ya mbilinge mbilinge za uchaguzi mkuu na kutokea yaliyotokea, wale wote waliokua na hamu ya kuona mabadiliko tulibaki na mfadhaiko. Ila kwa hili la Halima Mdee na BAWACHA ndio limekuja...
0 Reactions
2 Replies
663 Views
Anguko na kifo cha Chadema kilitabiriwa tangu mwaka 2015 pale wanasiasa wanaotanguliza matumbo yao mbele, walipomuweka mgombea ambaye kwa wakati huo alikuwa hakubaliki hata kwa kutumia pesa na...
3 Reactions
7 Replies
844 Views
Wanabodi, Kipenga cha kuanza kwa kampeni za Uchanguzi Mkuu ujao kimepulizwa leo na fungua dimba amekuwa Chadema. Nimeangalia kidogo kupitia live ya TBC, kiukweli nilichoshuhudia, ndicho...
42 Reactions
184 Replies
17K Views
Katika mahojiano aliyofanya leo na VOA, Lissu amekiri kuwa Watanzania wamempuuza kwa kutokuandamana pamoja na yeye kutoa wito huo kwa nguvu zote. Amesema hata kabla ya uchaguzi aliwahimiza...
51 Reactions
240 Replies
24K Views
Moyo wa mwanamke ni dhaifu sana!! Kuliko Wa Mwanaume!! Hebu tuishi na hilo andiko kuanzia leo. Tunachokosea huwa ni kuwaona wanasiasa kama malaika waliotumwa kutuokoa tunasahau kwamba wao pia...
1 Reactions
7 Replies
706 Views
Tanzania imeteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Hati za Utambulisho ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, New York, kwa mwaka 2020/2021 Uteuzi huu ulipendekezwa na Ofisi ya Rais wa Baraza Kuu la...
16 Reactions
48 Replies
8K Views
Kuna jambo sio la kawaida linaendelea kwa sasa. Baraza la Mawaziri kwa Serikali yeyote ndio timu ya nchi katika utawala na chombo muhimu sana katika maendeleo ya nchi. Lakini jambo la ajabu ni...
21 Reactions
117 Replies
11K Views
Mkuu wa wilaya na mkurugenzi mtendaji wa wilaya ya nyan'gwale mkoa wa geita, tatueni tatizo la barabara ya kutoka njia kuu ya msalala mwanza kwenda kijiji cha ifugandi. Hakuna sababu ya wananchi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, ameshauri kufanyika kwa mazungumzo ili kupata mwafaka wa kitaifa utakaoliwezesha taifa kwenda mbele baada ya kuwapo kasoro mbalimbali katika...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…