Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu wa Tanzania, mim nilie kuwa mwanachama wa chadema tangu nikiwa chuo na mpaka pale chadema ilipo badilika kuwa chama cha wapiga deals. Nimeona nitabiri yakuwa chama hiki kimekosa dira na...
11 Reactions
125 Replies
10K Views
Asalaam ndugu WanaJF wenzangu. Katika tafakari zangu na kujiuliza mambo kadha wa kadha nimeona niwaze kwa sauti na kuishirikisha sauti ya mawazo yangu kwa wanachadema na wali wasio wa CHADEMA...
0 Reactions
4 Replies
994 Views
Naona Watu wengi (Members) hapa tunawasema, tunawacheka, tunawadhihaki hadi kuwatukana huku tukiwaambia sijui wamenunuliwa na wana Njaa sana. Sitaki Kuwakatalia au Kupinga haya Maneno yenu Kwao...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanabodi salama? Kumbe yanayoendelea nyuma ya pazia ndani ya CCM ni makubwa na yanaogofya. Kumbe hata Dkt. Bashiru yalishamshinda kufanya kazi na Magufuli na alitaka kujiuzulu? Huu uchaguzi una...
5 Reactions
16 Replies
4K Views
Sawa tuseme Chadema ni chama kibaya sana! Tuseme kinatetea mabeberu! Tuseme Lissu ni adui wa nchi! Tuseme ni chama cha Mbowe! Hayo mengine tulishasema! Jiwe amepolarise system yote ya CCM! Pale...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Saalam ndugu yangu Lissu, Mimi Mtanzania niliyekuwa na imani na vyam vya upinzani na viongozi wa juu leo hii nimevunjika moyo sana. Nimetambua kuwa kumbe viongozi wengi wa upinzani ni njaa tupu...
7 Reactions
62 Replies
6K Views
Ukitaka kujua msimamo wa mwanasiasa au mtu mwingine yeyote apate majaribu kwanza.Hata mimi ninayeandika ukitaka kujua msimamo wangu katika jambo fulani nipe majaribu. Sijui ni Tanzania tu au na...
1 Reactions
8 Replies
849 Views
Ndani ya CHADEMA, Mbowe wanamwita " MWAMBA" na ni mwamba kweli kweli kama Petro. Hakuna jambo lililetwa na Mbowe au liliamuliwa awali na Mbowe kamati kuu ya CHADEMA ikagoma kulibariki. Hata...
5 Reactions
13 Replies
3K Views
  • Closed
Kamati tendaji ya Baraza la Vijana CHADEMA (BAVICHA) usiku wa kuamkia leo imefanya kikao chake cha dharura kilichoongozwa na Mkiti wake John Pambalu. Leo saa 5 asubuhi kinatarajia kuongea na...
6 Reactions
129 Replies
10K Views
Mada inahusika. Hakuna kurudi nyuma na ni muhimu kusoma alama za nyakati kufikia malengo yaliyokusudiwa. SOMO KUTOKA ZANZIBAR. Huwezi kuzungumzia siasa za upinzani Zanzibar ukamuacha Maalim Seif...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Naongea wazi kabisa hapa. Kwa miaka mingi Serikali imekuwa ikihukumu maisha ya wahitimu wa darasa la saba kimakosa mno. Ipo hivi... Watendaji na wasimamizi wa elimu ya msingi wao ndio viongozi...
24 Reactions
103 Replies
9K Views
TAARIFA KWA UMMA UFAFANUZI KUHUSU WAFADHILI KUJITOA KUFADHILI SHUGHULI ZA UKIMWI TANZANIA Tume ya kudhibiti UKIMWI (TACAIDS) – Tanzania imepata taarifa kutoka kwenye vyombo vya habari...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ofisa mmoja wa chama kiitwacho ACT ambaye mara kadhaa amenukuliwa akiwa ni msemaji wa chama hicho, ameandika na kueneza habari mtandaoni kuwa kada mwandamizi wa CCM Edward Lowassa anahamia...
52 Reactions
115 Replies
22K Views
Leo tarehe 25/11/2020 Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika ameongea na waandishi wa habari mambo mengi yakujibaraguza kuhusu wabunge wa viti maalum walioapishwa siku ya jana tarehe 24.11.2020 na...
12 Reactions
56 Replies
5K Views
Katika uchaguzi huu uliopita wa 2020, CHADEMA walitegemea sana nguvu ya Mwanamke. Cha kushangaza, CCM ambao kwa miaka mingi walituaminisha kuwa Mwanamke wa Kitanzania ana ushawishi mkubwa katika...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kama taifa tuna vita kubwa kupambana na maadui Ujinga, maradhi, umasikini (Ngazi ya Mtu, Kaya, Kijiji, Mtaa na Taifa). Nifafanue kidogo ujinga mbali ya kusoma na kuandika lipo la ustawi na...
-1 Reactions
4 Replies
888 Views
Wengi mmekuwa mkitatizwa na namna ya kukokotoa hesabu ya kupata wabunge wa viti maalumu katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ifuatayo ni kanuni/namna ya kukokotoa ili upate idadi ya...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Kwanza nawapongeza CHADEMA kwa kuwatendea haki Wanawake wa Tanzania kwa sababu viti vile ni mali yao siyo ya chama. Pili shughuli za uendeshaji wa chama zinahitaji fedha na wabunge 19 ni mtaji...
3 Reactions
55 Replies
5K Views
BoT bars Tanzanians from buying Safaricom shares By Mnaku Mbani THE CITIZEN The Bank of Tanzania has barred local investors from buying shares in Safaricom, East Africa�s most...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Kuna vitu vinatufanya sisi wananchi tufanye hitimisho kuwa viongozi wakuu wa upinzani ni wabinafsi wanaojali matumbo yao tu. Twende kwenye swali husika ambalo linavijiswali vidogo ndani yake; -...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom