Mchelea mwana kulia, hulia yeye. Tulimsifu kwa nyimbo na mapambio mwanetu, leo tunalia

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,706
155,198
Huyu mwana wetu, hatukumwambia alipokosea, aliamua kufanya lolote atakalo, na hata alipofanya mabaya tukamsifu kwamba huo uovu wake aufanyao ndio uanaume wenyewe.

Alianza kwa kuwatumia rafiki zake wa kutoka mbali tusiowajua kupoteza wadogo zake, akaenda mbali akafanya maovu makubwa, tukamsifu Sana kwamba yeye ni kidume.

Lakini Kuna ndugu walikuwa wakituasa na kutushauri kuwa huyu mtoto tunamuharibu, sisi hatukusikia, tukaendelea kupuliza filimbi na nyimbo mpya tukamtungia.

Sasa leo Vyombo vya Dola vimetukamata na kutuweka korokoroni ndipo sasa tunalia na kusaga meno.

Tunapiga magoti, tunaomba, Mungu ametuma ujumbe mfupi tu.

Mithali : Mlango 28​

16 Mkuu aliyepungukiwa na akili huwaonea watu sana;Bali achukiaye kutamani ataongeza siku zake.
 
AFET

Committee on Foreign Affairs

Vote
  • Corporate due diligence and corporate accountability (INL), adoption of amendments - rapporteur for the opinion Raphaël GLUCKSMANN (S&D, FR)
Debates
9.15
  • Connectivity and EU-Asia relations (INI), exchange of views - rapporteur: Reinhard BÜTIKOFER (Greens/EFA? DE)
  • Exchange of views with the EEAS on the situation in Tanzania after the elections

11.00
  • Exchange of views with Dr Bisera TURKOVIĆ, Deputy Chairperson of the Council of Ministers and Minister of Foreign Affairs of Bosnia and Herzegovina
16.45 – 18.45
 
Screenshot_20201120-082717.png

Muda ni wa Afrika Mashariki? Hii si ya kukosa
 
Picha linaanza,; wakashauriana wazuie "SMS ZENYE NENO LISSU/TUNDU LISSU", halafu wakashauriana wazime "INTENRET, WHATSAPP, TWITTER, INSTAGRAM".

Wananchi walivyo hamia kwenye VPN, wakaitisha kikao cha dharura na kuazimia kuzima na "PLAYSTORE".

Ili wakiiba kura, dunia isijue, wananchi wasijue. Dunia iamini CCM imeshinda kwa kishindo. Wakajiona wana akili kuliko dunia nzima aisee.

#Ujuha Uliotukuka.
Jamaa ana lack bold people wa kumshauri aisee

Propaganda za kijinga Sana

Huwa najiulza Sana Ani pale lumumba wamekosa watu wanaotumia logic kabsa

Mfn hizi ishu za uchaguzi hata kama ni uwizi there is a smart way to do so ... Kheee
 
Back
Top Bottom