Badala ya kulalamika na kutukana na vilevile waandishi wetu kuogopa na kukaa chini sisi...Tumefanya utafiti mdogo kwanini ghafla Bunge na mfumo mzima wa uongozi wa serkali ya Tanzania ghafla...
Najaribu kujiuliza kwa uchungu mkubwa eti kuna watoto wamefutiwa matokeo ya darasa la saba(7) mwaka huu kwa makosa ya ulaghai yaliyofanywa na wamiliki wa shule zao bila kuwahusisha watoto kwa...
Habari wana JF...
Kweli siasa ni tamu hasa kwa wenye kipaji cha ushawishi wa hoja.
Leo asubuhi nimebahatika kuona kipindi cha mjadala star tv kikiwa mwishoni pakiwa na mada inayohusiana na...
WABUNGE WA CUF WASHINDA MAPINGAMIZI YALIYOWEKWA NA MWANASHERIA WA SERIKALI NA LIPUMBA DHIDI YA KESI YAO:
MAHAKAMA YAKUBALI KUSIKILIZA HOJA DHIDI YA MCHAKATO NA UADILIFU WA SPIKA WA BUNGE JOB...
Imeandikwa na Malisa Godlisten
Katiba ya nchi ibara ya 55 inataja mchakato wa uteuzi wa mawaziri na manaibu waziri. Ibara ya 55(1) inasema Rais atateua mawaziri baada ya kushauriana na Waziri...
Hivi karibuni kuliibuka kundi la ma-CCM yakihoji utendaji kazi wa Halima Mdee jimbo la Kawe. Leo wamepewa makaburi na bwana Gwajima. Jisomee mwenyewe hapa chini Gwajima akiuthibitishia umma kwamba...
Wanabodi, kila jambo na wakati wake, Kuna wakati wa ubabe na wakati wa kuwa dhoofu yaani taabani ,ndembendembe, chakali kabisa yaani tila lila na kuweweseka.
Kwa maslahi ya Taifa mimi kama mwana...
Wabunge wanane wa viti maalumu wa CUF waliovuliwa wadhifa huo na Bunge baada ya kufukuzwa uanachama na upande wa mwenyekiti anayetambuliwa na Msajili wa Vyama vya Siasa, Profesa Ibrahim Lipumba...
UPDATES FROM HIGH COURT: 16 MARCH, 2018
KUHUSU SHAURI LA MSINGI NAMBA 143/2017 WABUNGE WA CUF DHIDI YA LIPUMBA NA WENZAKE;
LEO MBELE ya Mheshimiwa Jaji Mwandambo ilipangwa kutajwa na kuwekwa...
Ameandika hivi kupitia twitter:
Kwa Mateso na Maumivu haya niliyopitia Siwezi kusaliti chama Changu na Wananchi wa Serengeti walioniamini na Kunipa Heshima Kubwa Kama Msubhati wao.
Kuna dhana imejengeka kwa baadhi ya wana chama katika chama chetu cha chadema kuwa viongozi wamekijenga chama zaidi kuliko ya wanachama hii si kweli, chama chetu kimejengwa na kila mwanachama kwa...
Habari wanaJF,
Poleni kwa majukumu
Nimeona mijadala kuhusu uchaguzi wa mwaka huu 2020 ni kama inaelekea ukingoni na ukweli usio na shaka ni kuwa tumeshindwa
Hadi sasa hatujui nini cha kufanya...
Wewe ni msimamizi mzuri na ukiamua kitu kinafanyika mifano ipo hai kama Makao makuu yetu kuhamia Dodoma wengine hawakuamini na walifikiri ni usanii lakini sasa hivi Mji wetu Mkuu Kikatiba kabisa...
Wanabodi mnaoshangilia nchi yetu kuwa ya kijamii peke yake mjue anayefaidika na mfumo huo wa chama kimoja ni rais tu
How!
Miswada yote ya serikali itakuwa inapita bila kupingwa au rais akitaka...
Jana Baraza la Vijana Chadema (BAVICHA) walifanya kikao cha dharura kupitia mtandao (zoom). Pamoja na kulaani hatua ya wanachama 19 wa Chadema kuapishwa kama wabunge wa Viti Maalum walienda mbali...
Tanzania: U.N. Working Group on Arbitrary Detention Issues Decision in Case of Detained Tanzanian Human Rights Lawyer, Tito Magoti
Human rights activist Tito Magoti speaks during an event in...
Mabibi na mabwana inafahamika kuwa safari kuelekea uhuru haijawahi kuwa rahisi.
Wala safari ya kuelekea huko haijawahi na wala haitakuja kupungukiwa wasaliti.
Kwamba pana mbunge bungeni...
Eti huyu ni Mtumishi wa Mungu, hivi Mungu ni simple kiasi hiki hadi awe na watumishi sampuli ya Gwajima? Mtu anayetumika na utawala wa Dunia hii ktk kukandamiza haki za watu eti naye ni Mtumishi...
Amewaonya Wafugaji hao kuacha mara moja tabia ya kulisha mifugo yao kwenye hifadhi ya Arusha kwani kufanya hivyo ni kosa kisheria
Wafugaji hao walipoteza ng' ombe wao 16 waliouawa baada ya...
Kutoka Jimbo la Vunjo
Ikiwa ni takribani mwezi mmoja tangu kuchaguliwa kuwa mbunge wa jimbo la Vunjo Mhe Dkt Charles Kimei ameanza utekelezaji wa ahadi zake kwa kasi kubwa.
Siku ya leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.