Kuna wakati Mbowe ananichekesha sana

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
977
1,000
Alianza kwenye kupata wajumbe wa bunge la katiba . akamfunga mdomo Tundu Lissu akasema funika kombe mwanaharamu apite. raisi akateua wajumbe 201. baaadae CHADEMA ikaachwa solemba CCM wakafanya yao.

Kaja kwenye SCROW eti upinzani na serikari wamekaa wakakubaliana!! maamuzi yafanywe na mamlaka za uteuzi.(watuhumiwa namba moja) tena kwa Usanii wako sasa ukamtoa waziri mkuu kwenye watuhumiwa "Waziri mkuu kuwa mkali kidogo" ndio hivyo bwana ela zishaliwa hakuna cha kurudishwa tunafunika kombe pia

Uchaguzi serikali za mitaa sasa takribani wagombea 3000 wa CHADEMA walienguliwa. Hapa naushaidi wa kutosha viongozi wa wilaya wakakupia simu wakati wa rufaa ukawa hujari. Wengine tulipanda magari hadi dar kuja kuonana nawe mwenyekiti. Ukatulea usanii wako tena. Ukasema umeongea na Mizengo Pinda YULE uliyemuokoa kwenye ESCROW tukakuamini. kampeni zimeanza za uchaguzi we upo kimya na wagombea hawajarudishwa. pale ulipomtoa kwenye watuhmiwa kwa kumwambia awe mkali . akakuthibitishia pingamizi zote zitafutwa ukaachwa solemba.

Sasa Nauliza haya maswala MBOWE HUJUI AU UNATUZUNGUKA?

Tunajua wazi kuwa siasa ni kuvutana kisha mnakubaliana sasa kwanini makubaliano mengi mwisho wake ni CHADEMA KUUMIZWA TENA KWA MAKUBALIANO UNAYOYARATIBU WEWE.

Yapo mengi sana tunayoyaona sisi wachunguzi wa ndani kabisa wa mambo kama ulipata ngao wa esrow Rudisha jua CHDEMA NDIO KIMBILIO LA WANYONGE
 
Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,871
2,000
Hakuna makubaliano kati ya Pinda na Mbowe. CHADEMA tafuteni mlipojikwaa
 
Msulibasi

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
4,656
2,000
shida ni pale napoanza ubishi na mivutano badala ya kujiandaa kwa mfano jamaa wanatangaza .uchaguzi serekali za mitaa tarehe flani kabla ya kutafakari kesho yake utasikia hatushiriki sababu--------utasikia tena kura za maoni katiba tarehe flani kabla ya kikao chochote utasikia hatushiriki mpaka---------kisha tunashiriki bila maandalizi.sisi mapingamizi ya mdomo wao ya karatasi kimyakimya. Kisha haya makubaliano siyaelewi hata warioba anashangaa ingalikuwa ccm ndo wamewaweka ukawa kwenye kamba mngepigwa hadi mkome nyie mnakuwa laini wakati ccm walikuwa wameshika makali pale ilikuwa mnaforce ko. cha tatu nikisikia mnaashiriki kile kikao cha vyama vya sisa aneongoza mzirai nachukua kadi yangu namkabidhi kinana lazma muwe smart na firm siasa za uungwana bado kwa ccm cijui mbowe utajifunza lini hata ile kutoka nje kuna mjumbe alikustua kwa kupaza sauti tutoke njeeeeee wa cuf yule ndo ganzi ikakuisha ukakumbuka kumbe kweli mi mda wote yule mama anazingua niliwaza mbowe atalianzisha nashangaa amekaa tu. maandamano hatutaki ila bungeni mbwai iwe mbwai tunaunga mkono kama mama yenu atazingua
 
jebibay

JF-Expert Member
Nov 3, 2012
1,413
1,225
Nyie CCM ni mi-pumba-vu sana !.

Kwa muda mrefu najua kwamba nyie CCM ni wa-pumba-vu...ila kila siku zinavyokwenda ninajishangaa kwa jinsi ambavyo nimekuwa nina-under-estimate u-pumba-vu wenu !

Hivi bado tu hamjajifunza kwamba hamuwezi kuishinda CDM kwa propaganda za kipuuzi na kitoto ?!

unajua kaka unaona mbaliii sana. tunahitaji greater thinker kuifikisha nchi tunapopataka. Sio watu wanaotumia akili za kuazima
 
William Mshumbusi

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
977
1,000
Nyie CCM ni mi-pumba-vu sana !.

Kwa muda mrefu najua kwamba nyie CCM ni wa-pumba-vu...ila kila siku zinavyokwenda ninajishangaa kwa jinsi ambavyo nimekuwa nina-under-estimate u-pumba-vu wenu !

Hivi bado tu hamjajifunza kwamba hamuwezi kuishinda CDM kwa propaganda za kipuuzi na kitoto ?!
tukosoane kwa hoja na sio matusi na kashfa mkuu. kama huwa unatembea na akili zako zote na hujamwachia mtu basi jaribu kuutafuta ukweli kwa kuutafakari na kisha mpigie simu Mbowe. muulize vizuri tu kunawatu walikuja dar ukawaambia utaongea na mizengo pinda?

najua atakujibu ndio kisha uje humu unipmbe radhi kwa kuniita mi CCM
 
mpinga shetani

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
3,238
2,000
Mkiambiwa Kiasi cha fedha alichopewa Mbowe wakati wa MARIDHIANO ya Escrow mtazimia. Yule ni mchaga kwenye pesa hakuna hiyana. Ndio Maana anaiuzia CHADEMA Bedford chakavu kwa mabilioni
 
gollocko

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
2,950
2,000
Alianza kwenye kupata wajumbe wa bunge la katiba . akamfunga mdomo Tundu Lissu akasema funika kombe mwanaharamu apite. raisi akateua wajumbe 201. baaadae CHADEMA ikaachwa solemba CCM wakafanya yao.

Kaja kwenye SCROW eti upinzani na serikari wamekaa wakakubaliana!! maamuzi yafanywe na mamlaka za uteuzi.(watuhumiwa namba moja) tena kwa Usanii wako sasa ukamtoa waziri mkuu kwenye watuhumiwa "Waziri mkuu kuwa mkali kidogo" ndio hivyo bwana ela zishaliwa hakuna cha kurudishwa tunafunika kombe pia

Uchaguzi serikali za mitaa sasa takribani wagombea 3000 wa CHADEMA walienguliwa. Hapa naushaidi wa kutosha viongozi wa wilaya wakakupia simu wakati wa rufaa ukawa hujari. Wengine tulipanda magari hadi dar kuja kuonana nawe mwenyekiti. Ukatulea usanii wako tena. Ukasema umeongea na Mizengo Pinda YULE uliyemuokoa kwenye ESCROW tukakuamini. kampeni zimeanza za uchaguzi we upo kimya na wagombea hawajarudishwa. pale ulipomtoa kwenye watuhmiwa kwa kumwambia awe mkali . akakuthibitishia pingamizi zote zitafutwa ukaachwa solemba.

Sasa Nauliza haya maswala MBOWE HUJUI AU UNATUZUNGUKA?

Tunajua wazi kuwa siasa ni kuvutana kisha mnakubaliana sasa kwanini makubaliano mengi mwisho wake ni CHADEMA KUUMIZWA TENA KWA MAKUBALIANO UNAYOYARATIBU WEWE.

Yapo mengi sana tunayoyaona sisi wachunguzi wa ndani kabisa wa mambo kama ulipata ngao wa esrow Rudisha jua CHDEMA NDIO KIMBILIO LA WANYONGE

We ni wa CHADEMA kweri, au umedandia gari kwa mbele? Hembu weka ushahidi hapa kuwa huyu jamaa kala fedha za Escrow. Maana katika yote uliyoandika lengo lako lilikuwa ni hilo la escrow tu
 
frema120

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
5,100
1,195
Mkiambiwa Kiasi cha fedha alichopewa Mbowe wakati wa MARIDHIANO ya Escrow mtazimia. Yule ni mchaga kwenye pesa hakuna hiyana. Ndio Maana anaiuzia CHADEMA Bedford chakavu kwa mabilioni
Angalia nyuma yako, limetoka tayali au?
 
jebibay

JF-Expert Member
Nov 3, 2012
1,413
1,225
Mtu akikwambia wewe ni m-pumba-vu hajakutukana....kaangalie kamusi !. Mtu m-pumba-vu ni yule asiyeelewa hata akielimishwa sana !

Sasa nyie CCM baada ya miaka yote ya propaganda za kitoto na kipuuzi (mfano hizi unazoifanya hapa) kama mmeshindwa kuelewa kwamba hazisaidii kuibomoa CDM mimi nina makosa gani kuwaita nyie ni wa-pumba-vu !. Maana yake ni wagumu kuelewa - watu ambao mnashindwa kuelewa the obvious hata baada ya uzoefu wote huo !.

Wa-pumba-vu wakubwa nyie !

tukosoane kwa hoja na sio matusi na kashfa mkuu. kama huwa unatembea na akili zako zote na hujamwachia mtu basi jaribu kuutafuta ukweli kwa kuutafakari na kisha mpigie simu Mbowe. muulize vizuri tu kunawatu walikuja dar ukawaambia utaongea na mizengo pinda?

najua atakujibu ndio kisha uje humu unipmbe radhi kwa kuniita mi CCM
 
William Mshumbusi

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
977
1,000
We ni wa CHADEMA kweri, au umedandia gari kwa mbele? Hembu weka ushahidi hapa kuwa huyu jamaa kala fedha za Escrow. Maana katika yote uliyoandika lengo lako lilikuwa ni hilo la escrow tu
kaka nimeongelea mengi sana na yote yanaumuhimu sawa acha mawazo mgando kabisa bro. katuambia kaongea na pinda juu ya mapingamizi sasa yupo kimya anafanya yake
 
William Mshumbusi

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
977
1,000
Mtu akikwambia wewe ni m-pumba-vu hajakutukana....kaangalie kamusi !. Mtu m-pumba-vu ni yule asiyeelewa hata akielimishwa sana !

Sasa nyie CCM baada ya miaka yote ya propaganda za kitoto na kipuuzi (mfano hizi unazoifanya hapa) kama mmeshindwa kuelewa kwamba hazisaidii kuibomoa CDM mimi nina makosa gani kuwaita nyie ni wa-pumba-vu !. Maana yake ni wagumu kuelewa - watu ambao mnashindwa kuelewa the obvious hata baada ya uzoefu wote huo !.

Wa-pumba-vu wakubwa nyie !
da matusi kejeri na kashfa hazitatujenga kamwe
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom