Lissu, anzisha chama tupate Chama cha Upinzani cha kweli

Hakuna mkate mgumu mbele ya chai, njaa isikie tu kijana. Hata Lissu akianzisha bado yatakuwa yaleyale tena chake kitakuwa kama ile CCK
 
Haya ya Halima Mdee kama hawakufukuzwa basi nakushauri Tundu Lisu anzisha chama . Nina imani Kwa risasi 16 hutatusaliti.

Pasua pasua mpaka itoke CDM CCM ya Mbowe na Mnyika na CDM Og ya Tundu Lissu tuachane na hawa wahuni wa kisiasa....ndio maana hawakumfukuza yule mbunge feki wa Chadema
 
Haya ya Halima Mdee kama hawakufukuzwa basi nakushauri Tundu Lisu anzisha chama . Nina imani Kwa risasi 16 hutatusaliti.
Naunga mkono hoja, CHADEMA imeniumiza moyo kuliko mapenzi.
Tundu Lissu anzisha Chama chako ma followers tupo.
Mtu anauza ramani ya vita ili apate ruzuku.
Hayupo tayari kwa mabadiliko ndio maana hata wakati was kampeni walikuacha upigane mwenyewe.
 
Kwenye nia kuna njia! Mbona Zitto ameweza and is doing fine!
Act ina safari ndefu sana, sasa hivi ni kama chauma. Chama ni wfuasi na itikadi na misimamo. Unafiki hauna nafasi, lissu mnafiki, zitto mnafiki, hivyo vyama vyao ni kujaza idadi ya vyama vya siasa ila havina impact. Anaweza anzisha chama ila sio lelemama! Kama ni wafuasi wa kwenye keyboard atawapata ila hao keyboard heros hawfiki laki tano kwenye chaguzi robo yao ndio hupiga kura.
 
Chama ni wfuasi na itikadi na misimamo. Unafiki hauna nafasi, lissu mnafiki, zitto mnafiki, hivyo vyama vyao ni kujaza idadi ya vyama vya siasa ila havina impact
Sasa nikwambie chama chenye unafiki grade 1 ni CCM.... watu wako mule kwa maslahi ya ULAJI.... angalau CDM ina wafuasi kutoka mioyoni mwao na si kutaka kuteuliwa maana hakuna nafasi za kuteuliwa
 
Back
Top Bottom