Barua ya haraka kwa Tundu Lissu

Barua ya haraka kwa Tundu Lissu

nguruka wa kig0ma

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2020
Posts
2,943
Reaction score
2,935
Saalam ndugu yangu Lissu,

Mimi Mtanzania niliyekuwa na imani na vyam vya upinzani na viongozi wa juu leo hii nimevunjika moyo sana.

Nimetambua kuwa kumbe viongozi wengi wa upinzani ni njaa tupu na siyo viongozi wa kuwakomboa Watanzania na mkoloni wa ndani.

Hivyo basi, mimi ninaimani na wewe tu kuwa utalikomboa taifa hili na hili shatani kubwa CCM.

Ili mbegu iote lazima itangulie kufa, ni wewe ndiye uliyemwagwa damu kwa ajili ya ukombozi wa nchi hii, maana hakuna ukombozi pasipo kumwaga damu.

Kwa uchungu uleule uliokupata miaka 3 kitandani nakuomba uwashawishi hao wazungu waje watukomboe maana huku hatuna upinzani wala viongozi wenye uchungu kwa mateso tunayopata watanzania.

Leo hii ninaamini mioyo ya wapenda mabadiriko,wapenda haki na maendeleo ya watu mioyo yao inalia na inavuja damu.

Kitendo cha hawa wamama wa BAWACHA kujipeka bungeni kimeua imani zetu.

NAKUOMBA UBAKI HUKOHUKO UWAOMBE HAO WAZUNGU WATUKOMBOLEE TAIFA LETU
Asante
 
Saalam ndugu yangu Lissu!
Mimi mtanzania niliyekuwa na imani na vyam vya upinzani na viongozi wa juu leo hii nimevunjika moyo sana

Nimetambua kuwa kumbe viongozi wengi wa upinzani ni njaa tupu na siyo viongozi wa kuwakomboa watanzania na mkoloni wa ndani.

Hivyo basi,mimi ninaimani na wewe tu kuwa utalikomboa taifa hili na hili shatani kubwa CCM.

Ili mbegu iote lazima itangulie kufa,ni wewe ndiye uliyemwagwa damu kwaaajili ya ukombozi wa nchi hii,maana hakuna ukombozi pasipo kumwaga damu.

Kwa uchungu uleule uliokupata miaka 3 kitandani nakuomba uwashawishi hao wazungu waje watukomboe maana huku hatuna upinzani wala viongozi wenye uchungu kwa mateso tunayopata watanzania.

Leo hii ninaamini mioyo ya wapenda mabadiriko,wapenda haki na maendeleo ya watu mioyo yao inalia na inavuja damu.
Kitendo cha hawa wamama wa bavicha kujipeka bungeni kimeua imani za tu.

NAKUOMBA UBAKI HUKOHUKO UWAOMBE HAO WAZUNGU WATUKOMBOLEE TAIFA LETU
Asante

LISSU alishirikishwa mjadala na mpaka Mbowe anamtania kuwa kina Halima wanatuambia tujitayarishe kuvaa sketi na tueleke Bungini.

Kuridhia suala lingine. Maamuzi ya kikao ni halali kwa wote wenye kupiga kura ya ndio au kukataa.

MBOWE OYEEEEEE, MBOWE OYEEEEEEEE.
 
Wakati ufike muache kuwekeza kwa binadamu msiowajua, ...
Leo mnawakana hamuwajui eeh..?

ila walipowaletea biblia na shule kukuondoeni ujinga mliwapigia makofi na kusema ni kina nani vile?
 
Hakuna mtu mwepesi kama Tundu Lisu kwanza bora hata hao akina Mdee, huyo Tundu sema CCM tu hawana shida naye wala hawamuhitaji lkn ni mwepesi kama unyoya, akiahidiwa kacheo tu kesho hautamsikia tena.

Wakati ufike muache kuwekeza kwa binadamu msiowajua, ...
Magu ulimjua awali?
 
Watanzania sijui huwa mna mawenge gani tu. Leo hii mnaona mmesalitiwa? Mbona mlivyoitwa mkaandamane kutetea maslahi yenu baada ya uchaguzi hamkujitokeza? Yani mmekalia kujificha nyuma ya akina Lissu na Mdee wawapiganie? Mabadiliko ya kweli hayajawahi kuletwa na chama bali wananchi wenyewe. Na mtalalama sana...
 
Saalam ndugu yangu Lissu!

Mimi Mtanzania niliyekuwa na imani na vyam vya upinzani na viongozi wa juu leo hii nimevunjika moyo sana.

Nimetambua kuwa kumbe viongozi wengi wa upinzani ni njaa tupu na siyo viongozi wa kuwakomboa Watanzania na mkoloni wa ndani.

Hivyo basi, mimi ninaimani na wewe tu kuwa utalikomboa taifa hili na hili shatani kubwa CCM.

Ili mbegu iote lazima itangulie kufa, ni wewe ndiye uliyemwagwa damu kwa ajili ya ukombozi wa nchi hii, maana hakuna ukombozi pasipo kumwaga damu.

Kwa uchungu uleule uliokupata miaka 3 kitandani nakuomba uwashawishi hao wazungu waje watukomboe maana huku hatuna upinzani wala viongozi wenye uchungu kwa mateso tunayopata watanzania.

Leo hii ninaamini mioyo ya wapenda mabadiriko,wapenda haki na maendeleo ya watu mioyo yao inalia na inavuja damu.

Kitendo cha hawa wamama wa Bavicha kujipeka bungeni kimeua imani zetu.

NAKUOMBA UBAKI HUKOHUKO UWAOMBE HAO WAZUNGU WATUKOMBOLEE TAIFA LETU
Asante
Wafukuzwe uanachama kina Halima Mdee na genge lake haraka sana.
 
Pole sana!.
P
 
Ubunge wa akina mama usiwatoe relini makamamda.
 
Back
Top Bottom