Fahamu jinsi ya kupata idadi ya viti maalum vya wabunge Tanzania

MeinKempf

JF-Expert Member
Jun 11, 2013
11,094
7,218
Wengi mmekuwa mkitatizwa na namna ya kukokotoa hesabu ya kupata wabunge wa viti maalumu katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Ifuatayo ni kanuni/namna ya kukokotoa ili upate idadi ya wabunge wa viti maalumu kwa vyama vyote kama ilivyotokea mwaka huu 2015.

IMG_2541.jpg
IMG_2542.jpg
IMG_2543.jpg
IMG_2544.jpg

 
So Tptal ya bunge lote ni 113 +281 = 394

Tukitafuta 1/3 ya 394 unapata 394 x 1/3 = 131.

So ili wapinzani watambe wanhitaji wabunge 131.

nadhani bado kidogo kufikia hapo.

So ukichukua 78 + 46 + 1 + 1 = 126 .
So bado wabunge 5.
Naamini wapo team lowassa waliobakia huko ambao wapo tayari kuungamkono upinzani kwenye hoja zenye mashiko.
 
Kumbuka kuna majimbo nane bado uchaguzi wakiwekeza huko wanaweza kuongeza hata wanne!
 
Back
Top Bottom