Mbowe alimleta Lowassa, akamleta Dkt. Mashinji, akampa Bulaya "unadhimu" Bungeni na Kamati Kuu ikabariki baadaye, hata Wabunge watabarikiwa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,897
141,832
Ndani ya CHADEMA, Mbowe wanamwita " MWAMBA" na ni mwamba kweli kweli kama Petro.

Hakuna jambo lililetwa na Mbowe au liliamuliwa awali na Mbowe kamati kuu ya CHADEMA ikagoma kulibariki.

Hata kesho tarehe 27/11/2020 siku ya Ijumaa saa 3.00 asubuhi Halima James Mdee akiithibitishia kamati kuu kwamba uteuzi wao una baraka za mwenyekiti Mwamba Mbowe, kamati kuu itaunga mkono baraka za mwenyekiti Mbowe na wabunge wote wa viti maalumu wataendelea na shughuli za bunge.

Mzee Shibuda alikuwa mbunge kupitia CHADEMA huku akiitumikia CCM lakini CHADEMA hawakuwahi kumfukuza hadi alipoondoka yeye mwenyewe.

Cecil Mwambe na David Silinde kadhalika.

Siasa ni sayansi, mwamba Mbowe pale CHADEMA ni kama MO Dewji pale Simba yaani ni zaidi ya kamati kuu.

Maendeleo hayana vyama
 
Watatakiwa kuomba radhi hadharan na blaa blaaa za kuwasimamisha Uanachama kwa muda then maisha yataendelea kama kawaida

Mbowe namkubali sana kwa 'hekma' zake
 
Unahangaika sana na Chadema, hizo kazi mnazojitapa kuzifanya mnazichapa saa ngapi?!

Au kazi yenu ndio kuijadili Chadema kutwa kucha?
 
Katika hili chadema wawe wapole tuu kwa kweli.
Maana kwa kipindi Cha miaka mitano bila kutajina mahali au uwepo wa mwanachama wa chadema katika sehemu yoyote ingewapelekea kupotea katika ramani za siasa.
Wakubali tuu hao wakina mama kuwepo pale bungeni hata ijulikane tu kwamba chadema bado ipo.
 
Ndani ya CHADEMA, Mbowe wanamwita " MWAMBA" na ni mwamba kweli kweli kama Petro.

Hakuna jambo lililetwa na Mbowe au liliamuliwa awali na Mbowe kamati kuu ya CHADEMA ikagoma kulibariki.

Hata kesho tarehe 27/11/2020 siku ya Ijumaa saa 3.00 asubuhi Halima James Mdee akiithibitishia kamati kuu kwamba uteuzi wao una baraka za mwenyekiti Mwamba Mbowe, kamati kuu itaunga mkono baraka za mwenyekiti Mbowe na wabunge wote wa viti maalumu wataendelea na shughuli za bunge.

Mzee Shibuda alikuwa mbunge kupitia CHADEMA huku akiitumikia CCM lakini CHADEMA hawakuwahi kumfukuza hadi alipoondoka yeye mwenyewe.

Cecil Mwambe na David Silinde kadhalika.

Siasa ni sayansi, mwamba Mbowe pale CHADEMA ni kama MO Dewji pale Simba yaani ni zaidi ya kamati kuu.

Maendeleo hayana vyama
Napita
 
Katika hili chadema wawe wapole tuu kwa kweli.
Maana kwa kipindi Cha miaka mitano bila kutajina mahali au uwepo wa mwanachama wa chadema katika sehemu yoyote ingewapelekea kupotea katika ramani za siasa.
Wakubali tuu hao wakina mama kuwepo pale bungeni hata ijulikane tu kwamba chadema bado ipo.
katiba ya chama lazima ifatwe.
huo upole kaeni nao huko CCM.
 
Back
Top Bottom