Serikali msiwafutie Watoto matokeo, toeni matokeo yao haraka. Hawana hatia. Tatizo ni Mfumo

blogger

JF-Expert Member
Mar 13, 2012
10,448
12,599
Naongea wazi kabisa hapa. Kwa miaka mingi Serikali imekuwa ikihukumu maisha ya wahitimu wa darasa la saba kimakosa mno.

Ipo hivi...

Watendaji na wasimamizi wa elimu ya msingi wao ndio viongozi wa kuratibu cheating. Hili liko wazi kabisa na NECTA wanalijua.

Walimu wakuu wa shule za msingi hupigwa mikwara na ma RC, RAS, REO, DED, DEO, DAS, WARATIBU WA ELIMU etc. Wafanye vyovyote iwezekanavyo KUWAFAULISHA watoto. Nasisitiza KUWAFAULISHA. Na mbinu zote za kuwafaulisha huratibiwa na Walimu Wakuu na Waratibu wa Elimu katani. Wanafunzi hupokea tu maelekezo. Hawana hatia.

That being said, nawaambia NECTA na namwabia Rais Magufuli. Achieni matokeo ya vijana hao haraka. Hawahusiki.

Wajibisheni mamlaka husika, nimezitaja hapo juu. Vigezo vyote vilivyoandikwa/semwa na NECTA kuwafutia matokeo vijana hao hakuna hata kimoja kilichosababishwa na mwanafunzi. Kumbukeni hawa ni watoto wadogo sana na hufuata orders toka kwa walimu wao.

Ni muda muafaka sasa umefika, kuacha tabia ya kumfurahisha mkuu wenu. Yote haya yanafanyika kumfurahisha MAGUFULI. HII SI SAWA.

Shule zotee za uma hufake/hucheat ili tu kumpemdezesha mkuu wenu.

OMBI.

Rais Magufuli iamuru NECTA itoe matokeo ya vijana hawa 1059. Then deal with your SYSTEM.
 
Darasa la saba ana hatia gani? Kama vp wawape mtihani tofauti wawapime kivyao hao wanaofutiwa.
Kuna mambo ya hovyo sana yanatokea nchini humu.

Hivi Mwl. Anakaa chooni na Majibu alafu wanawapanga watoto waende chooni kwa zamu kuchukua majibu.

Hivi hapo Kwanini tumuhukumu kijana huyu mdogo kabisa.

Lakini kwa nchi hii ilivyo ya kijinga. Hili nalo litapita. Na kamati ya ulinzi na usalama ya mitihani mkoa wataendelea kula mshahara.

Hili mimi silikubali.

MATAGA najua mpo happa. Mwambieni RAIS alitazame hili.
 
Hivi huko Danganyika Republic hakunaga mahakama?

Maana huwa mnanishangaza.... kila mtu anampigia magoti magufuli.

Magufuli fanya hivi, magufuli fanya vile, magufuli tunaomba choo....

Leo wewe unamuomba magufuli aiamuru NECTA?

Hizo mahakama zenu huwa ziko kwa ajili ya nini?

Ni mahakama BUTU kiasi cha kushindwa kutoa amri za kuzuia na kuagiza maafisa wa NECTA?
 
Naongea wazi kabisa hapa. Kwa miaka mingi Serikali imekuwa ikihukumu maisha ya wahitimu wa darasa la saba kimakosa mno.

Ipo hivi...

Watendaji na wasimamizi wa elimu ya msingi wao ndio viongozi wa kuratibu cheating. Hili liko wazi kabisa na NECTA wanalijua.

Walimu wakuu wa shule za msingi hupigwa mikwara na ma RC, RAS, REO, DED, DEO, DAS, WARATIBU WA ELIMU etc. Wafanye vyovyote iwezekanavyo KUWAFAULISHA watoto. Nasisitiza KUWAFAULISHA. Na mbinu zote za kuwafaulisha huratibiwa na Walimu Wakuu na Waratibu wa Elimu katani. Wanafunzi hupokea tu maelekezo. Hawana hatia.

That being said, nawaambia NECTA na namwabia Rais Magufuli. Achieni matokeo ya vijana hao haraka. Hawahusiki.

Wajibisheni mamlaka husika, nimezitaja hapo juu. Vigezo vyote vilivyoandikwa/semwa na NECTA kuwafutia matokeo vijana hao hakuna hata kimoja kilichosababishwa na mwanafunzi. Kumbukeni hawa ni watoto wadogo sana na hufuata orders toka kwa walimu wao.

Ni muda muafaka sasa umefika, kuacha tabia ya kumfurahisha mkuu wenu. Yote haya yanafanyika kumfurahisha MAGUFULI. HII SI SAWA.

Shule zotee za uma hufake/hucheat ili tu kumpemdezesha mkuu wenu.

OMBI.

Rais Magufuli iamuru NECTA itoe matokeo ya vijana hawa 1059. Then deal with your SYSTEM.
Acha utopolo wewe kijana kwani kufutiwa matokeo imeanza wakati wa Magufuli tu? Pia kama unajua inavyoratibiwa kwanini hukuripoti mapema ili washughulikiwi. Acha sheria ichukue mkondo wake kama ambavyo watz wamekubaliana.
 
M/Mungu ni mpole sana pia ni mkali sana,
 
Naunga mkono hoja. Mtoto wa miaka 12 anawezaje kuiba mtihani shuleni Kama mission haijafanywa na Walimu? Na akiambiwa majibu haya hapa mtoto kama huyo ana utashi wa kukataa?
 
Acha utopolo wewe kijana kwani kufutiwa matokeo imeanza wakati wa Magufuli tu? Pia kama unajua inavyoratibiwa kwanini hukuripoti mapema ili washughulikiwi. Acha sheria ichukue mkondo wake kama ambavyo watz wamekubaliana.
Mtanganyika mwenzio amemwangukia magufuli kwanini unamzuia? muache atoe ya moyoni ati!?

Huko Danganyika Republic mahakama zote zimetiwa kwenye kapu la mfalme. Mambo yote yanaamuliwa na mfalme kwenye geto lake.

Hii ingelikuwa ni nchi halisi (a true republic) ungeona wananchi wanachacharika kwenda mahakamani kuweka ZUIO na kuiomba mahakama IWAAMRISHE maafisa wa NECTA kutoa matokeo.

That is called "checks and balances". Mihimili ya nchi inatizamana na kuwekana sawa.

Sasa huko Tanganyika, mahakama zote ziko kwenye kapu la mfalme. Ukikohoa unapigwa rungu la utosi.
 
Mtanganyika mwenzio amemwangukia magufuli kwanini unamzuia? muache atoe ya moyoni ati!?

Huko Danganyika Republic mahakama zote zimetiwa kwenye kapu la mfalme. Mambo yote yanaamuliwa na mfalme kwenye geto lake.

Hii ingelikuwa ni nchi halisi (a true republic) ungeona wananchi wanachacharika kwenda mahakamani kuweka ZUIO na kuiomba mahakama IWAAMRISHE maafisa wa NECTA kutoa matokeo.

That is called checks and balances.

Sasa huko Tanganyika, mahakama zote ziko kwenye kapu la mfalme. Ukikohoa unapigwa rungu la utosi.
Kufutwa matokeo ipo tangu mkoloni mkuu kawadanganye watoto wenzako!
 
Kufutwa matokeo ipo tangu mkoloni
Mambo ya mkoloni yametoka wapi mbona unahorojoka kama mwendawazimu?

Huyo mkoloni ndiye aliyewafundisha kuziweka mahakama kwenye kapu la mfalme?

Unaona sasa linchi linavyoenda kilevi?

Mwenzio huyu hajui hata kama kuna mahakama! Kaamua kumpigia magoti magufuli ili ampe HISANI!

Huyo mfalme wenu amsaidie basi! Ampe hiyo HISANI.... si nilisikiaga anajiita mtetezi wa wanyonge sijui?
 
Back
Top Bottom