Ndugu wa Tanzania, mim nilie kuwa mwanachama wa chadema tangu nikiwa chuo na mpaka pale chadema ilipo badilika kuwa chama cha wapiga deals. Nimeona nitabiri yakuwa chama hiki kimekosa dira na ushawishi kwa vijana na hata wazee bila kuwasahau wapenda mabadiliko wote wa taifa hili.
Nimtu mjinga au mwenye fikra finyu anaweza kufikiri na kusifia eti chama bora tanzania tena cha upinzani ni chadema. Mim nasema hakuna kitu kama hicho, labda niwakumbushe yakuwa Mh Lowasa alipo ingia chadema ali ingia kwa ajenda ya siri tena siri kubwa sana.
Mchezo wa siasa ni mchezo wa hatari na wana ccm wanaujuwa kuliko mtu awaye yeyote ktk vyama vya upinzani na ndio maana cc tulio bahatika kujuwa haya tunasema chadema inaenda kumeguka kama sii vipande vitatu basi viwili. Mfano mzuri ni team Lissu ndan ya hiki chama na team Mbowe.
Uzuri nikwamba mbowe ni kijana mdogo tangu darasani mpaka kwenye siasa hawezi kumfikia Lissu hata chembe, nguvu ya Mbowe ni uchama ulio jikita ktk pesa na famil histor. Hiki sio chama cha watu ni chama cha mtu ndani ya Watu, nahili nijambo la hatari limekuja kujulikana.
Mh Lowasa hana mapenz yoyote ya hiki chama ila nataka kuwahakikishia huyu mzee angetaman kuona hiki chama ambacho kilitumika kumchafuwa taifa lote siku moja kinakuwa either chama chake au anakigawa kuwa vipande wote wakose. Nahii ndio siri nzito inaendelea. Usione thread zimeandikwa eti ccm wamepagawa kwa uteuz wa Vicent kuwa katibu mkuu. Huo ni uongo mkubwa nikinyume chake maana ccm ni majemendari wasiasa na wanajuwa mahal pakushika kwa kila chama. Kwa kumalizia chadema lazima isambaratike bila shaka ktk wakat ambao mim na wewe hatuto amini.
Mara nyingi mimi sipendi ubishi ila napenda kusema kile kinaweza kutokea wakati wowote ule kuanzia sasa, hili taifa lina historia nzito amabayo mimi na wewe huwenda hatujawahi kuisikia ama kuiona ktk fikra zetu au macho yetu, ikumbukwe kuwa hakuba chama chochote duniani kisicho kuwa na dira ambayo inakiongoza chama hicho kufikia malengo. Watanzania wote walikipenda chadema kwa umahiri wake wakutumbua mafisadi na isitoshe umahiri na ugwaji mkono wa chama hiki ilikuwa kuzima mafisadi ambao walikuwa ndani ya ccm. Lakini ktk hali yakushituwa mara chadema akazima hija ya ufisadi nakuwapaka mafisadi mafuta ya marashi mazuri, ccm wakaisoma namba wakabadilika na sasa chadema anapumulia machine maana icu karibia machine zizimwe mzimaji anahesabu tu ikifika kumi atazima yule mgonjwa aliopo icu lazima atangazwe marehemu.
Dhambi zote waweza kusamehewa ila sio usaliti usaliti ni dhambi inayo angusha mataifa, vyama na watu, chadema imewasaliti wanjonge na wafuja jasho wa taifa hili,chadema imesaliti marehem walio kufa ktk uwana harakati laity wangefufuka leo wangetembea taifa lote kuitukana chadema tena pasipo kutumia gari ila miguu.
usaliti ni dhambi mbaya kuliko zote chadema lazima iwe historia