Nimesubiri Press ya wakina Halima Mdee kuleta mapigo juu ya maamuzi ya Kamati Kuu mpaka nimechoka

5525

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
5,412
6,273
Nimekuwa nikishinda hapa JF usiku na mchana muda tena sasa nasubiri press ya kina Halima Mdee na wenzake kujibu Maamuzi ya Kamati kuu ya CHADEMA ya kufukuzwa kwao uanachama mpaka nimechoka., Sasa nimekata tamaa naomba ni logout labda hawakuwa na majibu. Lakini je, tuseme:

1. Wamekubali kwamba wametenda kosa?

2. Ubunge wao ambao waliapa umebatilika ama watahudhuria bungeni kama kawaida.

3. Wataenda Mahakamni kupinga kufukuzwa kwao uwanachama?

4. Wana mpango wa kuomba radhi na hawataenda tena bungeni watarudi kutoka Dodoma kuja kujenga chama chao?

5. Wana mpango wa kujiunga na CCM rasmi ili kuitikia wito wa Bashiru?

6. Wameshindwa kutoka nje wanajisikia aibu kwa walichofanya?
 
Simple and clear. Si wanachama tena wa CHADEMA mengine watajua wao na mawakala wa CCM!

Pamoja na kuwa na akili wamekubali kutumika kwa malimbukeni na watu wa hovyo wasiojua hata namna ya kupanga sinema ikaeleweka!!

Kayafa ni mtu wa hovyo sana kuwahi kutokea ktk makuhani wote waliopata kushika hatamu.

Sikutegemea Halima angekuja kudhalilika kwa mipango ya watu wa hovyo namna hii.
 
Natabiri watakua wabunge kwa miaka yote mitano kwa namna yoyote ile...sahiv wanamalizia process za kuwaweka salama tu huko walipo....
Huna hata haja ya kusubiria press yao
 
Habari wana JF . Naendelea kuwaletea kile kinachoendelea huko gizani. Waliokuwa wabunge viti maalum wanatajwa na wanaowatumia kama watu wasiotaka kuamua haraka.

Wanaonekana kuwa wagumu kutekeleza mipango kadhaa iliyopo mbele kwa kile kinachoonekana kutaka kulinda status. Wale Viti maalum Wakubwa wanawatuma wadogo kwenda mbele ya media kufunguka, na wadogo nao wanataka staha ya maneno hasa kwa mwenyekiti wao.
 
Wanasubiri akili iliyowaambia msihofu tuna dola hakuna atakayewasumbua iwapangie cha kufanya au kusema.

Hawa akina Msekwa wanasababisha mazingira magumu, ngojea tuone akili za Chato zitaamua nini ndipo utawasikia akina Mdee
 
Hao si Wabunge tena ila kuna tetesi kwamba wanavurugana baadhi wakitaka waombe samahani ili warudi Chadema na wengine wakidai hakuna kurudi nyuma. Wengine wanadai wanakamilisha usajili wao rasmi ili siku wakitoka hadharani wawe ndani ya magwanda ya kijani. Naamini wiki hii haitakwisha kabla ya kuwasikia COVID19, tuvute subira.
Nimekuwa nikishinda hapa JF usiku na mchana muda tena sasa nasubiri press ya kina Halima Mdee na wenzake kujibu Maamuzi ya Kamati kuu ya Chadema ya kufukuzwa kwao uanachama mpaka nimechoka., Sasa nimekata tamaa naomba ni logout labda hawakuwa na majibu., Lakini je tuseme...
 
Nimekuwa nikishinda hapa JF usiku na mchana muda tena sasa nasubiri press ya kina Halima Mdee na wenzake kujibu Maamuzi ya Kamati kuu ya Chadema ya kufukuzwa kwao uanachama mpaka nimechoka., Sasa nimekata tamaa naomba ni logout labda hawakuwa na majibu., Lakini je tuseme...
Kesho wanaongea asubuh
 
Mzee Mdee alidhalilika sana kwenda kuapa kwenye stoo za bunge
1606741008981.png
 
ni nani alikwambia watafanya press?
hao wameshakua wabunge,wanasubiri kutekeleza majukumu yao.hawana muda wa kujibishana na genge la wahuni
Wamekosa hoja, dhambi ya usaliti inawatafuna sasa wiki inaisha Halima mdee hajaandika chochote kwenye twitter yake ambapo sio kawaida., tutawatambua kwa jina la Covid-19
 
Wamekosa hoja, dhambi ya usaliti inawatafuna sasa wiki inaisha Halima mdee hajaandika chochote kwenye twitter yake ambapo sio kawaida., tutawatambua kwa jina la Covid-19
hata ukiwapa jina la ukimwi haisaidiii kitu,halima amefukuzwa unapita kwenye mitandao yake kutafuta nini?
 
Back
Top Bottom