Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimewiwa kutoa tahadhari kwa Chama tawala na pendwa! Cha CCM juu ya nguvu hii kubwa inayotumika kuwavuta ndani ya chama viongozi au wanachama wenye ushawishi kutoka katika Vyama vya upinzani. Kwa...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Amesema amerudi CCM kwasababu nyingi na ya kwanza ni kuwa Rais Magufuli ni msikivu na atakaposikiliza hoja yake atakuwa msikivu. Amesema “Mwaka 2015, Rais alinikuta nje akaniuliza nafanya nini...
4 Reactions
45 Replies
9K Views
Wawili hao: Pole pole na Lulida leo wameteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa mujibu wa nyaraka iliyotoa uteuzi wao...
3 Reactions
41 Replies
4K Views
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali dogo tuu kuwa uchaguzi wa 2015 tulikuwa na chaguo, jee uchaguzi wa 2020 tutakuwa na chaguo?. Declaration of Interest: Mimi Pascal Mayalla ni mshirika mkubwa wa...
10 Reactions
126 Replies
11K Views
Assume we ni Mahabusu hujui kinachoendelea unaambiwa haya "Vaa Mkanda, Shika simu yako" Saini hapa, Unakuja baadae kugundua kuna mizengwe, Ungekuwa wewe ni Mmoja wapo ndani ya Kamati kuu...
2 Reactions
87 Replies
7K Views
Wakuu muda ni mchache sana na mambo ni lukuki, bila kupoteza muda Kamati kuu ya CHADEMA baada ya kutimua wasaliti, imeagiza mchakato wa kujaza nafasi zao uanze mara moja, jambo ambalo naliunga...
14 Reactions
175 Replies
16K Views
Ni mkutano wa kutathmini yaliyojiri katika uchaguzi mkuu wa 2020 na kuweka mikakati thabiti ya maandalizi ya Uchaguzi. Katibu Mkuu, Dkt. Bashiru amesema sasa wanayo kazi moja kubwa ya kujaza...
4 Reactions
63 Replies
6K Views
Kongamano kubwa la kitaifa la kumpongeza Rais John Magufuli kwa ushindi aliupata, Lililokuwa limeandaliwa na Taasisi ya dini ya kiislamu ya Twariqa Qaadiriyah, lililokuwa lifanyike jijini Arusha...
2 Reactions
41 Replies
4K Views
Sisi sote ni mashahidi sakata la akina Komu, Mwambe, Lijualikali,n.k Kesho wanaweza kufukuzwa uanachama akina Mdee lakini baadaye "hao" waliowateua wakapeleka "zuio" huko mahakamani na "Monita"...
7 Reactions
45 Replies
4K Views
Wasalaam! Moja kwa moja kwenye mada, Tanganyika baada ya kupata Uhuru, tulikuwa kwenye mfumo wa chama kimoja (TANU) , baadae ikazaliwa CCM, kadri siku zilivyokwenda mwaka 1992 tukaingia rasmi...
6 Reactions
105 Replies
6K Views
CCM kwa kiasi kikubwa ni chama kilichobobea katika mikakati ovu na chenye ufanisi uliopitiliza katika utekelezaji. Chama hiki kwa kadiri ya miaka inavyozidi, na aina ya viongozi inaowapata...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
MTAKA AELEZA NAMNA MIKAKATI YA KUKUZA ELIMU SIMIYU ILIVYOZAA MATUNDA Sekta ya Elimu Mkoani Simiyu imekuwa ikifanya vizuri katika kipindi hiki cha karibuni. Katika matokeo ya darasa la saba...
8 Reactions
35 Replies
5K Views
Ndugu wana COVID-19, nawasilimu Kwa sisi tuliowatangulia huku kitaa, Tunajuwa maisha yalivyo magumu kwa Sasa, na tunafahamu Ni kwa kiasi gani mmepata ugumu pale mlipohakikishiwa kuwa mnarudi...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwako Dada Halima Mdee. Sikupi pole kwa misukosuko iliyokukuta kwa sababu naamini unaistahili kutokana na kitendo ulichokifanya. Nitakuwa mnafiki kujifanya nakuonea huruma, wakati kiukweli...
9 Reactions
33 Replies
4K Views
Barabara hiyo ya Wissmannstraße inatarajiwa kubadilishwa jina mwaka ujao Madiwani katika mji mkuu wa Ujerumani , Berlin wamepiga kura ya kuondoa jina la barabara moja linalompatia heshima gavana...
6 Reactions
79 Replies
12K Views
Ni haki ya CHADEMA kama chama kuwa na msimamo wa kisiasa ili kutimiza malengo yao ya kisiasa. CHADEMA kutotambua matokeo yaUchaguzi Mkuu 2020 ni haki yao ya kisiasa lakini haki hiyo lazima iende...
27 Reactions
113 Replies
11K Views
WAMILIKI wa hospitali na zahanati binafsi mkoani Mwanza wameingia katika mvutano mkubwa na mfuko wa taifa wa bima ya afya (NHIF) kuhusu makato ya fedha wanazokatwa kila mwezi zinazotokana na...
10 Reactions
71 Replies
10K Views
Kesho Jumatano, Novemba 25, 2020, CHADEMA kupitia uongozi wa juu wa Chama, kitazungumza na Umma wa Watanzania kupitia waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari, katika mkutano utakaofanyika Ofisi...
13 Reactions
164 Replies
16K Views
Tulisafirishwa usiku wa manane kama mateka wa kikoloni tukiwa tumefungwa pingu mikononi, tukapandishwa kwenye Tipa la wazi la kubebea kokoto kutoka Gereza la Singida hadi Gereza Kuu la Isanga...
7 Reactions
30 Replies
5K Views
Nasisitiza kuwa Halima Mdee na wenzake maarufu kama Covid 19 hawajawahi kuwa wabunge wa bunge la 12. Kwa mujibu wa ibara ya 78 ya katiba ya nchi, kipengele cha 3, majina ya watu yaliopendekezwa...
17 Reactions
38 Replies
4K Views
Back
Top Bottom