Ndugu zangu kama hujuwi kufa kachungulie kaburi. Huyu mkuu wa taifa ameamua maamuzi mazito na maamuzi nikujenga madaraja marefu na mamiradi makubwa yasio zingatia pato la taifa kinachofuwata ni...
Kuna email inasambaa mtandaoni ya kuogopesha. Tunavuliwa nguo uchi.
Hebu soma huu waraka. Wawekezaji wanavyotuchukulia. Kwa mtindo huu, Tanzania inazama
Sakata la Mpina huko kanda ya ziwa ni zaidi ya uovu wa operesheni tokomeza iliyo wang'oa akina Kagasheki. Mwanzo tulisikia mh. Zitto Kabwe akilalamika kuwatetea wavuvi na wafanya biashara wa...
Muda mfupi baada ya Rais John Magufuli kutoa siku tano kwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt Hamis Kigwangalla na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Prof Adolf Mkenda kumaliza tofauti zao vinginevyo...
Huu ni mwaka mbaya kwa aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Iringa kwani baada ya kuondolewa kwenye nafasi ya Umeya sasa analo lingine.
Baada ya diwani huyo kuchapisha picha kwenye mtandao wa Twitter...
ZIARA YA KUSHTUKIZA: Naibu Waziri wa Afya Dk Hamisi Kigwangalla afanya ziara ya kushtukiza kwenye Kliniki ya Dk. Mwaka, asubiri kibali cha polisi ili kufanya ukaguzi.
UPDATES;
Naibu Waziri wa...
Hili ni angalizo tu kwa wanaopewa dhamana ya kuwa mawaziri au manaibu uwaziri kuwa mnapoaminiwa na Mheshimiwa Rais kupewa nafasi ya kuhudumia wananchi kamwe msiweke maslahi yenu mbele bali muweke...
Miongoni mwa hoja za msingi za Halima James Mdee ni kwamba haoni mantinki ya wabunge wa viti maalumu kukatazwa kula kiapo cha kuwatumikia wananchi ilhali madiwani wa chama hicho hicho cha Chadema...
CUF CHAMA CHA WANANCHI
Desemba 20,2020 kitazindua rasmi kongamano la kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
Kongamano hilo litafanyika katika ofisi kuu ya chama BUGURUNI .
MWANACHI...
Hebu Jiulize!
1. Rais Mstaafu Kikwete kwa utashi wake binafsi aliamua watanzania wapate katiba mpya ( suala ambalo halikuwa hata kwenye ilani ya CCM ).
Akatumia mamlaka yake kuunda tume ya...
1. HAKI NA USAWA vikubalike na viongozi waliopo. Wajione ni wananchi wa kawaida katika nchi ya Tanzania na sio wamiliki wa nchi ya Tanzania. Watambue uwepo wa watu wenye mawazo mazuri zaidi ya wao...
Nimeshangazwa sana na kauli aliyotoa Spika Ndugai hivi leo, wakati akiwaapisha wabunge wapya Humphrey Polepole na yule mwanamama Riziki Lulida, kuwa wabunge wa kuteuliwa na Rais katika zile nafasi...
Chungu ya Mabeberu imemfikia Uhuru Kenyatta uzalendo umemshinda ayataka mataifa ya ulaya kuacha kuingilia maswala ya ndani ya nchi yao (Kenya)
'Mtuheshimu ndio tuwaheshimu', Rais Kenyatta aonya...
Shikamoo kiongozi,
Wakristo zanzibar wanapata shida sana naomba hili ulimulike kwasababu ya mambo ya dini.
Mfano ukitaka kujenga shule na wewe ni mkristo yaani utazungushwa mpaka miaka miwili...
ASKOFU KUONGOZA MATEMBEZI YA HIARI YA RAIA KUHAMASISHA UUNDAJI WA TUME HURU YA UCHAGUZI NA UANDIKAJI WA KATIBA MPYA NCHINI TANZANIA!
Wapendwa Watanzania!
Tunapenda kuwajulisha kuwa Askofu...
Mkuu wa wilaya ya Temeke mh Godwin Gondwe amesimamisha ujenzi wa Shule ya Lumo hadi pale kesi iliyopo mahakamani itakapotolewa maamuzi.
Kiwanja cha Shule hiyo kina mgogoro kati ya Wananchi wa...
Wakati wa Dkt. Slaa CHADEMA iliaminika kwa uwezo wake wa kiintellejensia wa kung'amua mambo kabla ya kutokea na kufukunyua mambo yaliyotokea kujua yalitokeaje.
CHADEMA ya Mnyika sijajua inafeli...
Habarini wakuu, Umuofia kwenu!!
Kuna matukio kadha wa kadha ambayo yametokea ndani ya kipindi cha mwezi mmoja uliopita, mengi yakihusiana na kesi mbalimbali za TRA dhidi ya raia na makampuni ya...
Wanabodi,
Kwanza hakuna kitu kinatokea kwenye siasa kwa bahati mbaya. Kila kitu hupanga na wenye akili "Elites" ambao wengi wao hawapo kabisa kwenye siasa ila ndio wanaamua siasa.
Ukiona siasa...