johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,968
- 141,976
Mkuu wa wilaya ya Temeke mh Godwin Gondwe amesimamisha ujenzi wa Shule ya Lumo hadi pale kesi iliyopo mahakamani itakapotolewa maamuzi.
Kiwanja cha Shule hiyo kina mgogoro kati ya Wananchi wa eneo hilo na Manispaa ya Temeke.
Kadhalika Godwin Gondwe amewaomba radhi waandishi wa habari kote nchini kufuatia kitendo cha Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke kumkashifu mwandishi wa habari chipukizi wa ITV Richard Stephen kwamba hana hadhi ya kuongea naye na kwamba yeye hadhi yake ni mkurugenzi wa ITV Joyce Mhaville.
Chanzo: ITV.
cc: Erythrocyte, Gentamycine
Maendeleo hayana vyama!