Intelijensia ya CHADEMA imefia wapi hadi wanachama wao wanaapishwa Ubunge viongozi hawana taarifa?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
51,073
2,000
Wakati wa Dkt. Slaa CHADEMA iliaminika kwa uwezo wake wa kiintellejensia wa kung'amua mambo kabla ya kutokea na kufukunyua mambo yaliyotokea kujua yalitokeaje.

CHADEMA ya Mnyika sijajua inafeli wapi hadi barua yenye sahihi na muhuri wa katibu mkuu inafika NEC bila uongozi akiwemo KM mwenyewe kujua.

Yaani wanawake 19 wanapanga mbinu tena miongoni mwao wamo Esther Matiko na Sophia Mwakagenda ambao wenzi wao ni viongozi wa CHADEMA halafu intellejensia ya chama imefeli kubaini.

Ina maana yale yaliyoitwa "mapinduzi" yaliyopangwa na Mwigamba Zitto Kabwe na Prof Kitilla ingekuwa ni wakati huu yangeweza kufanikiwa kirahisi sana.

Ukiondoa mbwembwe za mitandaoni na usaidizi wa " kigogo mmoja" CHADEMA ni weupe sana katika intellejensia.

Nawatakia Ijumaa kareem!
 
Magema Jr

JF-Expert Member
Apr 22, 2020
1,301

Kwanza hawajui hata hiyo intelejensia inaumuhimu gani kwa chama chenye mlengo wa kushika dola😂😂
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
53,713
2,000
Wakati wa Dkt. Slaa CHADEMA iliaminika kwa uwezo wake wa kiintellejensia wa kung'amua mambo kabla ya kutokea na kufukunyua mambo yaliyotokea kujua yalitokeaje.

CHADEMA ya Mnyika sijajua inafeli wapi hadi barua yenye sahihi na muhuri wa katibu mkuu inafika NEC bila uongozi akiwemo KM mwenyewe kujua.

Yaani wanawake 19 wanapanga mbinu tena miongoni mwao wamo Esther Matiko na Sophia Mwakagenda ambao wenzi wao ni viongozi wa CHADEMA halafu intellejensia ya chama imefeli kubaini.

Ina maana yale yaliyoitwa "mapinduzi" yaliyopangwa na Mwigamba Zitto Kabwe na Prof Kitilla ingekuwa ni wakati huu yangeweza kufanikiwa kirahisi sana.

Ukiondoa mbwembwe za mitandaoni na usaidizi wa " kigogo mmoja" CHADEMA ni weupe sana katika intellejensia.

Nawatakia Ijumaa kareem!
Kigog2014 hakutoa hiyo orodha mapema au unajitoa akili wewe babu?
 
MIGNON

JF-Expert Member
Nov 23, 2009
3,917
2,000
Wakati wa Dkt. Slaa CHADEMA iliaminika kwa uwezo wake wa kiintellejensia wa kung'amua mambo kabla ya kutokea na kufukunyua mambo yaliyotokea kujua yalitokeaje.

CHADEMA ya Mnyika sijajua inafeli wapi hadi barua yenye sahihi na muhuri wa katibu mkuu inafika NEC bila uongozi akiwemo KM mwenyewe kujua.

Yaani wanawake 19 wanapanga mbinu tena miongoni mwao wamo Esther Matiko na Sophia Mwakagenda ambao wenzi wao ni viongozi wa CHADEMA halafu intellejensia ya chama imefeli kubaini.

Ina maana yale yaliyoitwa "mapinduzi" yaliyopangwa na Mwigamba Zitto Kabwe na Prof Kitilla ingekuwa ni wakati huu yangeweza kufanikiwa kirahisi sana.

Ukiondoa mbwembwe za mitandaoni na usaidizi wa " kigogo mmoja" CHADEMA ni weupe sana katika intellejensia.

Nawatakia Ijumaa kareem!
Umeuliza swali nzuri sana lakini ni lazima uangalie wakati uliopo.Katika awamu hii kwanza watu wameingiwa na uoga na pili watu hawaminiani kabisa.
Katika mazingira kama haya ni lazima hata kama una information huwezi ku disclose na ndicho kinachotokea.Chama cha siasa hata kama kina habari nyeti lakini nani wa kuweza kuiweka hadharani?Ndio maana invisible kama Kigogo wa twitter anapata sifa.
Unapogundua kuwa Patrobas Katambi alikuwa afisa kipenyo utakuwa na ujasiri gani tena hata wa kuweka kitengo cha intelijensia?
Intelijensia ya Iran imefia wapi mpaka nuclear scientist anauawa?(KUZIDIWA)
 
Magema Jr

JF-Expert Member
Apr 22, 2020
1,301
2,000
Umeona umeandika ya maana sana kusomwa na watu wazima na timamu?Jiheshimu nawe utaheshimiwa!
we jamaa nahisi unasababu na chuki binafsi hasa ukiambiwa au kusikia ukweli
Hivi kuwa na akili timamu ni lazma uwe mpinzani??
Au unadhani watu wote humu ndani ni la saba b kama wewe?
Nini sababu ya kujiita mtu mzima ili hali haukubali ukweli??
Unaelewa maana ya kumheshim mtu??😠
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
30,373
2,000
Wakati wa Dkt. Slaa CHADEMA iliaminika kwa uwezo wake wa kiintellejensia wa kung'amua mambo kabla ya kutokea na kufukunyua mambo yaliyotokea kujua yalitokeaje.

CHADEMA ya Mnyika sijajua inafeli wapi hadi barua yenye sahihi na muhuri wa katibu mkuu inafika NEC bila uongozi akiwemo KM mwenyewe kujua.

Yaani wanawake 19 wanapanga mbinu tena miongoni mwao wamo Esther Matiko na Sophia Mwakagenda ambao wenzi wao ni viongozi wa CHADEMA halafu intellejensia ya chama imefeli kubaini.

Ina maana yale yaliyoitwa "mapinduzi" yaliyopangwa na Mwigamba Zitto Kabwe na Prof Kitilla ingekuwa ni wakati huu yangeweza kufanikiwa kirahisi sana.

Ukiondoa mbwembwe za mitandaoni na usaidizi wa " kigogo mmoja" CHADEMA ni weupe sana katika intellejensia.

Nawatakia Ijumaa kareem!
Unadhani Jiwe anajua kila kitu wanachofanya opponents wake?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom