Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,617
- 34,062
Hebu Jiulize!
1. Rais Mstaafu Kikwete kwa utashi wake binafsi aliamua watanzania wapate katiba mpya ( suala ambalo halikuwa hata kwenye ilani ya CCM ).
Akatumia mamlaka yake kuunda tume ya Warioba na wakafanya vizuri sana.
Likatokea genge likaona linapokonywa keki ya taifa, likapora mchakato mpaka leo katiba mpya ni kitendawili.
2. TidoMhando alitoka BBC akaja, alifanya maboresho makubwa sana kutoka TVT, Radio Tanzania mpaka TBC International.
Ni nani hakumbuki Mchakato majimboni. CCM wakaanza kwa kuwazuia wagombea wake kushiriki midahalo na kilichomkuta Tido mpaka leo ni kitendawili.
3. Kila mwenye akili timamu anajua CCM haiwezi kushinda uchaguzi Zanzibar, wamekuwa wakipora kila uchaguzi ila baada ya kutokea machafuko na watu kuuawa ndio CCM wakakubali kukaa mezani na CUF kuunda SUK ( Yaani siyo atakayeshinda apewe nchi NOOOOO, Mshindi wa kwanza na wa pili lazima waunde serikali. )
Ilimradi kwenye serikali na wao lazima wawemo.
Yaani hapakwa lugha rahisi ni kwamba CCM kukubali kuandika katiba mpya nyakati hizi za amani ( kama alivyopenda Kikwete hawatai,mpaka yatokee machafuko watu wafe ndio CCMwakae mezani )
Hebu Jiulize na hili !!
1. Kwanini watu wenye akili wote serikali haiwataki,inataka watu kama Musukuma, Babu Tale, Mlinga, Kibajaji, Mwigulu Nchemba
2. Kwanini kila zao ambalo likionesha dalili za kutaka kumkomboa mkulima kutoka kwenye umasikini serikali inaliingilia na kulipiga sana vita mpaka linakufa ?
Iko wapi Kahawa, Mbaazi, Korosho na katani ?
Tafakari