Kauli ya Mbowe huenda tukaona mengi zaidi ya Viti Maalum

stakehigh

JF-Expert Member
Aug 9, 2019
6,383
3,494
Katika pita pita zangu nikakutana na hii kauli ya Mbowe ambayo inachukuliwa kawaida sana ila ina kufikirisha ndani yake, huenda ikatoa majibu mengi kuhusu swala la Viti Maalum.

Screenshot_20201204-151411.png

 
Mpenda MAgufuli ni mpenda CCM...huwezi tenganisha mambo hayo mawili

Wewe ni CCM sympathizer

Mfuasi wa Magufuli most definitely haipendi Chadema kwa hali yeyote ndio maana mmeiibia kura na kuifuta kisiasa baada ya nyie kujishindia kwa asilimia 100%!

Sasa sidhani kama ninaweza kuamini dunia hii mfuasi wa Magufuli aitakie Chadema zuri lolote,maana Chadema ikikua ni hatari kwa Magufuli..

Siamini haya unayosema,kabisa...ni unafiki!
Acha siasa za vijiwe kijana! mimi nimehesabu kura Arumeru, kura alizopata Lissu ilikua ni aibu ni basi tu ile kubalance. Kwa sasa hata CCM ikisema inaconduct free and fair election i am 100% confident to tell you hata mkiungana vyama vyote vya upinzani bado kuitoa CCM haiwezekani, inshort hakuna chama kinaweza kuitoa CCM! ukiachana na figisu zilizofanyika baadhi ya sehemu lakini hata nnaowafaham waliohesabu sehemu nyingi zingine mfano Hai hakukuwa hata na sababu ya kubisha maaana mlishindwa vibaya!

- ndo maaana lissu saaahv amebaki anagombania haki za binadam badala ya kura zake
 
Acha siasa za vijiwe kijana! mm nimehesabu kura arumeru, kura alizopata lissu ilikua ni aibu ni basi tu ile kubalance. Kwa sasa hata ccm ikisema inaconduct free and fair election i am 100% confident to tell you hata mkiungana vyama vyote vya upinzani bado kuitoa ccm haiwezekani, inshort hakuna chama kinaweza kuitoa ccm! ukiachana na figisu zilizofanyika baadhi ya sehem lakini hata nnaowafaham waliohesabu sehem nyingi zingine mfano hai hakukua hata na sababu ya kubisha maaana mlishindwa vibaya!

- ndo maaana lissu saaahv amebaki anagombania haki za binadam badala ya kura zake
Maandishi kutoka kwa mtu anayejiita si mwanaccm!!
 
acha siasa za vijiwe kijana! mm nimehesabu kura arumeru, kura alizopata lissu ilikua ni aibu ni basi tu ile kubalance. Kwa sasa hata ccm ikisema inaconduct free and fair election i am 100% confident to tell you hata mkiungana vyama vyote vya upinzani bado kuitoa ccm haiwezekani, inshort hakuna chama kinaweza kuitoa ccm! ukiachana na figisu zilizofanyika baadhi ya sehem lakini hata nnaowafaham waliohesabu sehem nyingi zingine mfano hai hakukua hata na sababu ya kubisha maaana mlishindwa vibaya!

- ndo maaana lissu saaahv amebaki anagombania haki za binadam badala ya kura zake
Wewe ni muabudu Magufuli tu wewe
 
Hahahaaa

Inaonesha they are really threat to you...ndio maana huwezi kumwacha

Thats reflection of how scared you are about those nyumbu mpaka unashindwa kuishi na kutawala with happiness!

Kama Chadema wangekua hawakuogopeshi chochote wala usingekua na muda wa kuwatafuta maana washakufa

Ila you are so scared shitlessly!

Thats shows how powerful Chadema is over you!You will never be in peace mamaeeee!

Elimu za kata bana
 
Naona mwana CCM upo sana concerned na what CHADEMA does.

Its really funny

Chama mmeshakiua,hii concern inatoka wapi wazee wa "kishindo"?
Kwani kuna marufuku ya kuizungumzia CHADEMA! Nyie si chama cha demokrasia. Sasa mbona mnakosa vifua vya kupokea maoni tofauti na mnavyofikiri. Kuigiza demokrasia siyo mchezo. Hata Marekani wamejaribu miaka nenda rudi ila mwaka huu wamedondokea pua.
 
Back
Top Bottom