Hii ni baada ya ACT Ku-Surrender kwa ma CCM.
Maalim kwa sasa na kwa nafasi yake anatakiwa ndio awe KC na Zitto atafute nafasi nyingine.
Sababu iliyo wazi kabisa ni kuwa Mara baada ya Zitto...
Kwa namna mambo yanavyoendelea hivi sasa hapa nchini ni wazi kuwa hakuna dhuluma iliyofanyika kwenye uchaguzi mkuu Oktoba 28 2020.
Ushahidi pekee wa picha zilizopigwa kihuni na watu kuchoma kura...
Huyu ni Mkuu wa Wilaya ambae ukimsikiliza, unaweza kuhoji aliwezaje kuwa mkuu wa wilaya katikati ya Watanzania wengi wenye sifa na wenye busara za uongozi.
Awali alipoandikwa humu wengi tuliamini...
Kila kona ya Tanzania naona watu wengi sana wamefurahia Dkt. Kigwangalla kuachwa katika Baraza la Mawaziri. Walioko kwenye sekta ya utalii wamefurahi sana. Cha ajabu hata ambao hawako kwenye sekta...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi kesho Disemba 8 atamuapisha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad.
Hafla ya kumuapisha Maalim...
Nakumbuka uliwahi kututangazia mali na madeni yako kulingana na katiba ya chama chenu cha ACT inavyowataka. Binafsi leo hii nakuomba utueleze hali ya madeni yako, na ikiwezekana utueleze...
Niwazi kampeni zimeisha na Rais Dr. JPM amechukua ofisi kwa awamu ya pili, sasa kinachofuata ni utekelezaji wa Illani ya CCM.
Pamoja na ukweli kwamba ilani inayotekelezwa ni ya CCM lkn...
Pamoja na Mkuu wetu wa nchi kutuambia kuwa watanzania tutembee vifua mbele, kwa kuwa uchumi wa Tanzania unazidi kupaa na tupo katika RIGHT TRACK, lakini kiuhalisia ni kuwa kama nchi tunapita...
Hivi karibuni Rais ametangaza baraza la mawaziri ambalo binafsi mimi naona kwamba ni kubwa sana na litakuwa mzigo kwa sisi walipa kodi wa nchi hii.
Kuna baadhi ya wizara zinapaswa kuunganishwa...
Hatimaye Chuo chetu cha UDSM kimepata kuwa na professor mtoto kuliko wote, amepata ubalozi.
huyu professor ni kijana mdogo sana na ana akili za ziada.
Magufuli anajua kutafuta vichwa, pongezi...
Nafasi ya Godbless Lema ya mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini itajazwa lini?
Kama tujuavyo Lema amekimbia nchi kwa madai ya changamoto za kisiasa na kuelekea Kenya kupata hifadhi.
Naomba...
Siasa za nchi hii ukizivamia bila kujua vizuri historia yake lazima zitakupeleka sehemu ambayo ulidhani haiwezekani!
Wanasiasa wanaozijua vizuri siasa za nchi hii kwa sasa wako na familia zao...
Mnaipaka matope nchi yenu mnasema eti ni nchi isiyothamini wawekezaji je hii ni kweli?
Mmechukia kutopata Ubunge je kwani Ubunge ni ajira? Hapana.
Kwa muktadha huu ni kuwa watanzania wameridhika...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi amemteua Maalim Seif Shariff Hamad, kuwa Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar kuanzia leo Disemba 06, 2020.
=====...
Mbilinyi: CCM na Serikali yake ni vurugu
Asema zipo CCM mbili, serikalini uwenzetu upo
Afikiria Unguja ingekuwa mkoa na Pemba wilaya
Aonya kujiunga OIC ni mawazo finyu na uvivu
Na Sarah...
ADO SHAIBU: Kamati kuu ilikutana jana jijini Dar es Saalam Tarehe 5 Disemba katika hoteli ya Onomo ambayo iko Posta kwa ajili ya kutafakari hali ya kisiasa inayoendelewa nchini kwetu.
Tumetoka...
Kwenye nchi yoyote ya kidemokrasia kunapokuwa na Katiba iliyoandikwa hiyo katiba inakuwa na mamlaka makuu juu ya Taifa zima. Sio Spika, Rais hata Jaji mkuu anaweza kuwa na mamlaka dhidi ya Katiba...
Maalim Seif alikuwa mwanasiasa wa upinzani ambaye ameleta na kukuza upinzani huko visiwani Zanzibar na inasemakana ameshinda Mara kadhaa ingawa chama tawala hakikuwa tayari kumtangaza kuwa ndiye...
Serikali imesema idadi ya walimu wa shule za msingi na sekondari walioajiriwa ni 8,000 pekee tofauti na 13,000 inayolalamikiwa na wadau. Katibu Mkuu,Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma...
Kumekuwa na maoni mengi hasa baada ya ACT-Wazalendo na MAALIM kukubali yaishe kwa Serikali ya mapinduzi Zanzibar, kumekuwa na na majibu hasa kutoka kwa ACT-Wazalendo wakitetea walichokifanya...