Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 52,699
- 119,333
Wanabodi,
Naomba kwanza kukiri kuwa mimi sio mchumi, ila ninasoma tuu hoja za wachumi katika economical direction of our nation, the opportunities we have and how do we grab them for our advantage we are not on the right track! .
Japo sisi ni ka nchi masikini as beggars as we are, na kuna msemo unaosema "beggars can not be choosers" hivyo kazi ya omba omba ni kuomba tuu na kupokea chochote atakachopewa, akiisha pewa kazi yake ni kusema "hewala" tuu, hata kama amepewa masharti magumu kiasi gani!.
Jee sisi kama nchi, tuendelee tuu kuomba na kupokea kwa kusema hewala, au sasa tubadilike,kama ni kuomba, tuombe kwa malengo? na tukipewa tuwe na uwezo wa kusema sharti hili sawa, na sharti hili hapana?. Maana Waturuki nao sasa ni super power, nao wanatoa misaada na masharti, sisi ni kufuata tuu? .
Tanzania tuna makabila mengi. Kuna makabila ya watafutaji na kuna makabila ya omba omba. Yale ya omba omba wao kuomba omba wanaona sifa, na kuna makabila ni masikini jeuri, makabila hayo hata ukiwa huna chakula, kuliko kuomba na kudhalilishwa, kwa makabila haya yata opt kulala njaa!. Hivyo Tanzania katika baadhi ya miradi, lazima tukomae, tuwe masikini jeuri, tusikubali tuu kila kitu kwa sababu ya umasikini wetu, mfano hili la Waturuki na ujenzi wa KM 400 tuu za SGR, tusiwakubalie unless tumejiridhisha ni nani ata fund the rest.
Jee katika uteuzi wa madereva wa uchumi wetu, jee tuendelee kujiteulia mtu yoyote ali muradi ana Ph.De tuu hata bila track record yoyote ya delivery, hata kama tukiteua omba omba alimuradi ana Ph.D? .
Case Study ni SGR.
Tanzania tuna reli mbili kuu, Reli ya Kati na Tazara. Both of them are under utilized. Kama tumeshindwa tuu kutumia hizi reli zilizopo to the full capacity, why construct a new SGR along the same lines za reli ya Kati, wakati the biggest cargo traffic ni mizigo inayo cross Tunduma Border, ndio the busiest border, kwa nini hii SGR ipite mule mule kwenye reli tulioshindwa kuitumia ipasavyo sasa tunajenga mpya?. Hii sio a white elephant project?.
Kwa nini tusingeimarisha kwanza hiki kilichopo na kukitumia to the full capacity hadi kikazidiwa ndipo kitafutiwe usaidizi? .
Juzi juzi nilitembelea Central Corridor na kushuhudia jinsi bandari kavu ya Isaka ilivyo a white elephant, TRL wanashindwa kupeleka mizigo kwa sababu hakuna crane ya kushusha containers! . Ghala la Isaka limekodishwa kuwa ni storage facility kwa mizigo ya Azam! . Yaani tumeshindwa kupeleka mizigo Isaka kwa vijisabu vya kijinga kabisa halafu leo tunazungumzia kujenga reli nyingine along side hii iliyopo ambayo tumeshindwa kuitumia!.
Reli ya kati ilikuwa na branch inakwenda Tanga, Moshi na Arusha, what happened tumeshindwa kukitumia leo tunazungumzia kujenga reli mpya kwa mkopo? .
Sisi Watanzania Ni Wazima Kweli Kwenye Kupanga Vipaumbele Vyetu?.
Wachumi hebu tusaidieni, are we OK kwenye kuchagua na kupanga vipaumbele vyetu?, mbona kwenye bomba la mafuta la Uganda tumeweza?. Mbona bomba la gesi tumeweza?, mbona kununua ndege mpya kwa cash kupitia mtindo wa kupiga tanchi tumeweza, kwenye reli tunashindwa nini?!.
Wachumi wetu humu tusaidieni, Tanzania ni nchi inayotegemea kilimo kwa asilimia 80%, hii maana yake, kama nchi yetu inahitaji maendeleo ya kweli ya taifa as a nation, then priority number moja katika juhudi za kuleta maendeleo, ni kuinua sekta ya kilimo. Just imagine kwa kufanya a comparative analysis, fedha zilizotumika kununulia ndege mpya na hizi zinazotumika kujenga SGR, zingeelekezwa kwenye kuinua sekta ya kilimo, ni wapi Tanzania tungepata manufaa zaidi?.
Tatizo ni Nini?.
Tangu baada ya kuzikwa kwa Azimio la Arusha, Tanzania kama nchi, hatujahi kukaa chini kama taifa kupanga dira na dhima ya taifa, tunataka kujenga taifa la namna gani na vipaumbele vyetu ni vipi. Kila rais anayekuja anakuja na vipaumbele vyake, Kikwete kataka kujenga bandari Bagamoyo, Magufuli kaingia, amesimamisha bandari ya Bagamoyo, yeye anajenga uwanja wa ndege Chato!. Tanzania lazima tufike mahali tuamue vipaumbele vyetu ni nini, tunataka nini, what for?, na tutapataje?, or we keep sitting na kuwategemea tuu hawa political Ph.Ds wetu wa uchumi waki politicise kila kitu hadi uchumi? .
Tanzania Nchi Karimu Kwa Wageni.
Tanzania ni nchi karimu sana kwa wageni, wakati wa ukoloni, tuliwakaribisha wazungu,
tukawakaribisha Wahindi, tumewakaribisha Wachina, na sasa tumewakaribisha Waturuki karibuni sana!.
In fact everybody karibuni sana Tanzania, is the land of plenty and endless opportunities!.
Welcome one
Welcome all.
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali.