Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Tanga, Mhashamu Anthony Banzi ameitaka jamii kuiheshimu miili ya marehemu kwa kuwapa maziko ya heshima badala ya kuwafunga kwenye viroba na kuwatupa kwenye maji...
MAMBO YA SIKU 100 ZA KWANZA Ndani ya siku 100
tangu siku ya kuapishwa kwa Rais na Wabunge, watakaokuwa wamechaguliwa, Serikali ya Chadema itafanya taratibu zinazohusika ili kuhakikisha yafuatayo...
Enzi zile nilikua napenda nione vijana wanawekwa kwenye vyeo vya ukuu wa wilaya/mkoa ana hata uwaziri, nilikua nikiamini vijana watasaidia pakubwa kusukuma maendeleo haraka nikipenda wazee...
Having regard to credible reports by multiple sources on the ill-treatment, intimidation, violence directed against CHADEMA leaders, candidates and members before, during and after the October...
Salaam Wana JF.
Wakati wa kipindi cha kampeni Rais wa sasa wa Zanzibar aliongelea kwa kina maono yake na mtazamo wake juu ya uchumi wa baharini yaani "blue Economy" bila shaka hii ilikuwa ni...
Kipenzi changu gazeti la rai, nimekukosea nini? Kiboko cha makala zilizo jaa ukosoaji, leo umejikunyata mkia, vipi? Rai ya Jenerali Ulimwengu, Rai ya Johnson Mbwambo Kidee, kulikoni siku hizi...
First, I believe Tanzania lacks a purposeful elite. I don’t mean that the Tanzanian elite doesn’t have a purpose for its existence.
Like elites everywhere, Tanzania’s top dogs are interested in...
Na: Mh Tundu Lissu
Pesa za mifuko ya hifadhi ya jamii hazitajenga kiwanda chochote. Ni siasa tu. Pesa za mifuko ya hifadhi ya umma sio pesa za serikali, ni pesa za wafanyakazi. Zinatokana na...
Baada ya sheria mpya kupitishwa iliyofuta FAO LA KUJITOA na kuja na mbadala wake wafanyakazi wengi hususani katika sekta binafsi walionja na wanaendelea kuonja joto la jiwe kutokana na...
NDG. LUKUVI, SIO LAZIMA KISHERIA JINA LA MKE NA MME KUWA KWENYE HATI YA KIWANJA.
Na Bashir Yakub, WAKILI
+255 714 047 241.
Lazima tunapotoa kauli tuwe tunatofautisha matamanio yetu, na kile...
Wasichokijua watu wengi kuhusu Status ya ukimbizi aliyoomba Lissu zamu hii hata kabla ya kufika Ubelgiji ni kutojihusisha na masuala ya kisiasa au uanaharakati akiwa nchini humo.
Ni kwamba Lissu...
Mwelelekeo wa hii Tanzania mpya hii naushangaa sana pamoja na kwamba raia tunakosea lakini makosa yana kila binadamu
Sijafurahishwa kabisa na kitendo cha DC wa Arusha kuwacharaza viboko...
Kwa wale Wahenga mnaokumbuka vizuri ni sababu gani za msingi zilimfanya Daktari huyu wa Falsafa kuamua kujishusha cheo?
Maendeleo hayana vyama!
cc: Pohamba
====
Ana rekodi ya miaka 10 ya...
Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyohoji, napenda kuenda moja kwa moja kwenye mada kama direct kick kwenye football.
Tangu hii nchi iingie kwenye mfumo wa vyama vingi, hivi tulishapata...
Umeme kwa huu mwezi unakatika Sana siku nzima, ukiuliza emergency wanajibu matengenezo, nimetembea mikoa Saba mwezi huu shida Ni hiyo hiyo, huku wengine wanasema mitambo imechakaa , huku wengine...
Kwa aliemsikiliza Jaji warioba atakuwa ameupata ukweli wa hatari inayoikabili Tanzania huko tuelekeako.
Chains au minyororo au tuseme links zile zilizomfanya na kuwafanya CCM waibuke na ushindi...
Habari zenu wakuu,
Kutokana na kusambaa kwa virus vya Coron, Rais wa Jamhuri ya Muungano amepiga marufuku mbio za Mwenge kwa mwaka huu ili kuzuia mikusanyiko isiyo rasmi
Very nice for our caring...
TUME ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imesema uchaguzi mdogo wa nafasi ya uwakilishi jimbo la Pandani mkoa wa kaskazini Pemba utafanyika mwakani, Machi 28.
Taarifa ya Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar...
Jana katika pita pita zangu mitandaoni nimekutana na hii habari kuhusu matamshi ya msemaji wa serikari, sina hakika kama kweli aliongea yeye
"Mimi nilipoteuliwa kuwa Msemaji wa Serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.