Zamani nilikuwa nikihisi kuwapa vijana nyadhifa za juu kutasukuma maendeleo kwa kasi, kumbe nilijidanganya

ngebe

JF-Expert Member
Jun 8, 2020
625
1,000
Enzi zile nilikua napenda nione vijana wanawekwa kwenye vyeo vya ukuu wa wilaya/mkoa ana hata uwaziri, nilikua nikiamini vijana watasaidia pakubwa kusukuma maendeleo haraka nikipenda wazee wapishe vijana kwenue hizo nafasi.

Lakini mpaka sasaivi nikiangalia mifano ya hawa vijana waliopo naona kumbe nilikua najidanganya ni heri waendelee wazee tu.

Vijana ni utupolo mtupu, kujipendekeza, kutafuta kiki na kupenda sifa za kijinga halafu ubunifu zero!

Nalog out
 

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Dec 8, 2019
1,395
2,000
Enzi zile nilikua napenda nione vijana wanawekwa kwenye vyeo vya ukuu wa wilaya/mkoa ana hata uwaziri, nilikua nikiamini vijana watasaidia pakubwa kusukuma maendeleo haraka nikipenda wazee wapishe vijana kwenue hizo nafasi...
Sure wazee kwenye uongonzi wametupiga gap Sana vijana ,uongonzi wetu ni wamatukio,kutafuta sifa,hatuapply skill zozote kwenye uongozi
 

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
3,835
2,000
Enzi zile nilikua napenda nione vijana wanawekwa kwenye vyeo vya ukuu wa wilaya/mkoa ana hata uwaziri, nilikua nikiamini vijana watasaidia pakubwa kusukuma maendeleo haraka nikipenda wazee wapishe vijana kwenue hizo nafasi...
Ukiangalia utofauti uliopo kati ya kunenge na makunda hapa dar utaona vijana hawawezi kufikisha popote . Makonda alikuwa anakurupuka na kutoa kila aina za viroja.

Kunenge ametulia tulia na mambo yanakwenda poa kabisa. Kwenye msiba wa ruge makonda alikuwa kama muhuni fulani wakati wa kutoa mwili airport hadi clouds aibu tupu
 

ngebe

JF-Expert Member
Jun 8, 2020
625
1,000
Ukiangalia utofauti uliopo kati ya kunenge na makunda hapa dar utaona vijana hawawezi kufikisha popote . Makonda alikuwa anakurupuka na kutoa kila aina za viroja. Kunenge ametulia tulia na mambo yanakwenda poa kabisa. Kwenye msiba wa ruge makonda alikuwa kama muhuni fulani wakati wa kutoa mwili airport hadi clouds aibu tupu
sifa za kijinga zinawapoteza watu kama akina sabaya
 

Ezekiel Mbaga

Verified Member
May 28, 2018
7,202
2,000
Mungu akupi kila kitu, anaweza kukunyima hata akili.

Makonda alivyokuwa anafanya mambo yake mlimsifia, lkn DC wa Arusha bc mnamuona hafai.
 

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
80,356
2,000
Enzi zile nilikua napenda nione vijana wanawekwa kwenye vyeo vya ukuu wa wilaya/mkoa ana hata uwaziri, nilikua nikiamini vijana watasaidia pakubwa kusukuma maendeleo haraka nikipenda wazee wapishe vijana kwenue hizo nafasi...
Bahati mbaya vijana wanaopewa vyeo ni wale waliokulia maisha ya dhiki mno !
 

Valuhwanoswela

JF-Expert Member
Jun 27, 2019
1,070
2,000
Enzi zile nilikua napenda nione vijana wanawekwa kwenye vyeo vya ukuu wa wilaya/mkoa ana hata uwaziri, nilikua nikiamini vijana watasaidia pakubwa kusukuma maendeleo haraka nikipenda wazee wapishe vijana kwenue hizo nafasi....
Siyo vibaya kuwapa Vijana madaraka lakini Ujana pekee usiwe ndo sifa ya mtu kuajiriwa bali ujuzi, uwezo na uzoefu wa kazi husika ziwe ndo sifa muhimu.

Hivi sasa Vijana makada wa CCM wanatolewa vijiweni na Awamu ya Tano na kuteuliwa kazi za madaraka makubwa matokeo wanakuwa wamefanikiwa tu kuhamishia vijiwe kwenye Ofisi muhimu za Serikali na kuwaongezea wananchi matatizo badala ya kuyatatua.

Wanakuwa na viburi wakifanya kazi za Magufuli aliyewateua badala ya kazi zao za Ukuu wa Mikoa, Wilaya au Tarafa nk ambazo hawazijui wala hawana uwezo wa kujifunza haraka wanabaki kungoja maagizo toka juu wayapeleke kwa wananchi wakifuatana na vyombo vyote vya dola wakitoa vitisho vikali. Kazi wanayojua ni kuchapa watu viboko kuwatia adabu!
 

antimatter

JF-Expert Member
Feb 26, 2017
4,161
2,000
Enzi zile nilikua napenda nione vijana wanawekwa kwenye vyeo vya ukuu wa wilaya/mkoa ana hata uwaziri, nilikua nikiamini vijana watasaidia pakubwa kusukuma maendeleo haraka nikipenda wazee wapishe vijana kwenue hizo nafasi...
Tatizo ni chama husika
 

Maneno Meier

JF-Expert Member
May 12, 2013
1,966
2,000
Enzi zile nilikua napenda nione vijana wanawekwa kwenye vyeo vya ukuu wa wilaya/mkoa ana hata uwaziri, nilikua nikiamini vijana watasaidia pakubwa kusukuma maendeleo haraka nikipenda wazee wapishe vijana kwenue hizo nafasi..
Nionyeshe mzee mwenye Vision so far na amefanya nini?

Angalia wizara ya ujenzi ilivyo fanya . Si imeongozwa na mzee!
 

UmkhontoweSizwe

JF-Expert Member
Dec 19, 2008
4,393
2,000
VIJANA WA CCM NI AIBU KWA TAIFA...
Hata huku kwetu kwenye chama kikuu cha upingaji wazee waling'atuka wakatuachia kijana, pamoja na kupata ruzuku za mabilioni, kwa karibu miaka 20 sasa ya uongozi wake lakini hakuna hata kiwanja cha kujenga kiofisi cha makao makuu 😢
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom