Mojawapo ya masharti ya STATUS ya Lissu nchini Ubelgiji

Jerusalem2006

Member
Apr 19, 2020
70
236
Wasichokijua watu wengi kuhusu Status ya ukimbizi aliyoomba Lissu zamu hii hata kabla ya kufika Ubelgiji ni kutojihusisha na masuala ya kisiasa au uanaharakati akiwa nchini humo.

Ni kwamba Lissu ni assylum seeker na bado haja-qualify kupewa permanent resident status mpaka ashinde kesi yake, approve kwamba kweli kuna threat nchini mwake. Baadae ndio atakubaliwa kuwa mkimbizi halali na akifuata masharti anaweza kupewa uraia wa Belgium. Ila SHARTI mojawapo hatakiwi kujihusisha na SIASA zozote zile akiwa humo. Ndo maana Amsterdam kauchuna ghafla.

Na hamtamsikia Lissu akiongelea Siasa tena akiwa Belgium sababu ya status yake ya kuomba hifadhi kama mkimbizi.

Kabla ya Julai 2020,Lissu alikuwa na jeuri Belgium maana aliishi kama mgonjwa ndio maana alikuwa akijirekodi na kurusha video hovyo, akienda US, Uk etc. Baada ya uchaguzi ni story tofauti kabisa maana kaondoka Kama mkimbizi.

Soma kidogo chini uelewe..

For
BELGIUM
- Those living in refugee reception centers or with refugee status receive a weekly spending allowance of 7.40 euros per adult. Some can also carry out paid work at the center, receiving up to 185 euros per month. After six months, people can apply for a work permit.

- Work permit issued once asylum application is approved; immediate family members can then also come to Belgium.

Mara nyingi watu wanasema humu Lissu ana akili nyingi za darasani Ila Elimu ya Dunia ni SUFURI kichwani mwake. Hakuyajua yote haya ndo maana aliporudi tu Belgium akaanza harakati zake. Balozi wa Belgium TZ aliyemsaidia kuondoka nchini akamkumbusha STATUS yake hairuhusu tena harakati za kisiasa akiwa Belgium. Akamzuia hata kuhojiwa tena na BBC,VOA,DW etc kuwa zitamharibia maombi yake ya kukaa huko. Ikabidi na story za Amsterdam na ICC ziishie hapo.

Sasa hivi amebaki Kama debe tupu. Kurudi hawezi, hata kupost JF hawezi. Amebakia kupokea Tuzo hewa na kufura tu akiwa chumbani kwake. Kwa status ya ukimbizi hata kazi ya uanasheria au yoyote official hawezi fanya hadi awe approved na at least miezi sita iishe. Kisiasa ndo KWISHA habari yake.

Hata cheo chake cha CHADEMA haruhusiwi kukiongelea popote kwa status yake ya ukimbizi akiwa Belgium kinamharibia kukubaliwa kuishi huko. Kule hawamtambui Kama Lissu au sijui makamu mwenyekiti wa CDM.. Kule ni sawa na mrwanda,mrundi au msomali aliyekimbia vita kwao.
 
Dah.....ungeuchuna,...Sasa ushamchoma..!!! Ndo mana ghafla amemute..kumbe ukiwa mkimbizi unapata HAKI ZAKE stahiki lakini ni Lazima utimize WAJIBU wa kuwa MUTE na kutojihusisha na siasa...atajutia igizo lake.. Bora arudi mzee Magu atampa kibarua chochote....!!
 
Jerusalem wewe na Lissu nani ana mchango wowote nchi hii ?!. Huna lolote la faida na nchi hii , piga debe huenda ukakumbukwa.

Lissu amefanya yake na history itamkumbuka. Je wewe ?!. Sababu zinazosababisha watu wazikimbie nchi zao si za kujivunia kama taifa bali ni aibu yetu .
 
Dah.....ungeuchuna,...Sasa ushamchoma..!!! Ndo mana ghafla amemute..kumbe ukiwa mkimbizi unapata HAKI ZAKO stahiki lakini ni Lazima utimize wajibu wa kuwa MUTE na kutojihusisha na siasa...atajutia igizo lake.. Bora arudi mzee Magu atampa kibarua chochote....!!
Mkuu Belgium wapo kibao toka Rwanda, Burundi, Sudan etc tena waliokuwa na vyeo vikubwa kwao mpaka ma IGP, wakuu wa majeshi etc. Ila ukiingia Kama mkimbizi una MUTE.

Ukileta ujuaji unarudishwa kwenu unaambiwa kumbe wewe msumbufu ndo maana umekimbia. Bongo ndo mnamjua ni nani!?, kule Belgium hawajui hata Lissu ni mdudu gani duniani.
 
Lema ni hivyo hivyo, tofauti ya Lema ni kuwa Canada ni taifa kubwa zaidi Kuna benefits za wakimbizi za kufa mtu. Na ndani ya wiki chache ni Kama mwezi anaweza kuanza kupiga kazi za kuingiza hata milioni 6 kwa mwezi na nyumba ya kuishi kubwa bure. Na baada ya miezi 6 ndo benefits zinaongezeka sana. Tofauti na Belgium. Ni Kama ufaransa, wakongo walishaharibu kitambo so, wakimbizi walishapunguziwa marupurupu kitambo.
 
Ama kweli mwenda tezi na omo marejeo ni ngamani'!! Ipo siku tutaenda Julius Nyerere I'NT AIRPORT kumpokea kama tulivyofanya wakati ule alipokuja kushiriki uchaguzi!
 
Ila nimegundua Lissu ana kipaji kingine cha uigizaji. Wewe huwezi kupiga kampeni nchi nzima ukijibweda na chopa, Halafu umemaliza kampeni unakimbilia balozi za Germany 'eti' wanataka kuniua. Sasa kama ni kweli kile kichopa si wangekinasisha kwenye miti huko huko angani ..! Akirudi nashauri apelekwe ...tena kinguvu TASUBA Bagamoyoooo..! kuongeza ujuzi na cheti cha sanaa akabidhiwe.
 
Nadhani tuwe tunasoma japo kwa kugoogle itatusaidia kufungua fikra zetu, naangalia alichoweka mtoa mada Kama citation na zuio lakisiasa nakosa connection.

Tujifunze kujua nani mwomba hifadhi? Nani mkimbizi? Je, Lisu nimkimbizi? Ni muomba hifadhi?

Tukipata majibu ndipo tujadili ana haki gani na anakosa haki gani? Ila pia wakati tunajadili tutafute watu wenye sifa za akina Lissu wanapata benefits gani tofauti na Mimi na wewe?

Kinacholindwa na Dunia ni uhai wa mtu ( haki ya kuishi) na uhuru wakutoa maoni, Dunia ya leo haifungi watu fikra na mawazo yao. Ukimbizi si kifungo Cha fikra na uwezo wa mtu kutenda au kukosoa Bali Ni sifa yakukufanya uishi salama nje ya eneo ambalo uasalma wako upo hatarini.
 
Tujifunze kujua nani mwomba hifadhi? Nani mkimbizi? Je, Lisu nimkimbizi? Ni muomba hifadhi?
Refugees are people who have fled war, violence, conflict or persecution and have crossed an ... Refugees are defined and protected in international law.

Lissu ameomba status ya ukimbizi na bado hajakubaliwa kapewa hifadhi huku madai yake yakichunguzwa Kama ni kweli. Kakimbia kwasababu za kisiasa, haruhusiwi kujihusisha na Siasa za nchi aliyotoka akiwa uhamishoni (Belgium) amepewa hifadhi kwa muda usiojulikana.
 
36 Reactions
Reply
Back
Top Bottom