Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,980
Stand ya Mbezi nasikia haikukamilika Kama ilivyoelekezwa wakati wa kampeni
Ujenzi wa shule na vituo vya afya unasuasua
Ujenzi huko Dodoma speed si ya kuridhisha
Reli ya kisasa nako nasikia speed si kubwa Kama awali
Je, watendaji na wasimimizi mnasubiri hadi Rais atembelee hii miradi ndio mjue kwamba mambo hayaendi ipasavyo? Kuna nini mbona utekelezaji wa bajeti iliyopitishwa mwezi Julai unasuasua?