Licha ya Mkoa wa Mara kutoa IGP, CAG na JAJI MKUU bado hatuna Waziri hata moja kwenye Baraza la Mawaziri! Wana Mara tusifanye makosa October

Econometrician

JF-Expert Member
Oct 25, 2013
15,797
28,461
Kwa utangulizi tu ni kuwa tumetoa watu muhimu katika serikali hii ya awamu ya 5, Jaji MKuu wa Tanzania Mr. Ibrahim Hamis Juma ni mzaliwa wa Musoma Mjini pale Mukendo, IGP Mr. Simon Sirro yeye ni wa Kiabakari, na CAG Mr. Charles Kichere yeye ni wa pale Kuruya-Rorya-Tarime.

Hamna asiyepinga kuwa hawa watu ni wakubwa katika Serikali but sio watu wa kusaidia kuleta maendeleo ya moja kwa moja kutokana na nyadhifa zao.

Tunahitaji Wawaziri au Manaibu Waziri watakaofanya hivyo, Ukingalia Mkoa wa Mara tuna Majimbo 10 ya uchaguzi Bunda Mjini alipo Mh.Esta Bulaya,Bunda Vijijini Mh.Boniphance Mwita Getere, Mwibara-Mh Kangi Lugola, Msoma Mjini Mh.Vedastus Mathayo, Musoma Vijijini Mh.Sospeter Muhongo, Butiama Mh. NImrod Mkono, Tarime Mjini Mh Esther Matiko, Tarime Vijijini Mh John Heche, Rorya Mh Lameck Airo na Serengeti Marwa Chacha.

Katika haya Majimbo 10 ni majimbo 3 pekee Bunda Mjini, Tarime Mjini na Tarime Vijijini huko kwa Wakurya Original ndipo yapo Upinzani Chadema, mengine yote 7 yapo CCM but hatuna Waziri wala Naibu Waziri-Hapa wa kualumiwa ni Sisi wana mara kwa machaguo mabovu ya Viongozi wetu.

Ninajua fika Mh Rais naweza kupata wakati mgumu nani ampe Uwaziri kutoka Mkoa wa Mara maana wengi hawana sifa stahiki ukimtoa Profesa Muhongwa aliyetumbuliwa nadhani sababu ya Ujuaji Mwingi,

Nimrod Mkono hata ingekuwa wewe huwezi mpa uwaziri maana ukiachana na uzee wake hana talanta ya kuongea yeye ni mzee wa noti, uje kwa Mr. Getere Mwalimu mstaafu baada ya kustaafu akaamua ajitose kwenye siasa ni wazi akili imeshachoka, Mr Mathayo ana Lameck Airo wazee wangu wa darasa la 7A hawa wamebebwa na katiba kile kipengele cha kujua kusoma na kuandika dtill kama kiongozi huwezi mteua kuwa waziri na huyo Chacha Marwa alikuwa Mwalimu kama sikosei nadhani wa Sekondari.

Ukiangalia sifa za hao wabunge wetu wa CCM wa mkoa wa Mara ukimtoa Prof Muhongo ni Kangi Lugola Pekee ndio alikuwa na sifa za kuchaguliwa kuwa Mbunge, sasa ndio hivyo kitumbua kimeingia mchanga.

Faida ya kuwa na Waziri katika Mkoa ni rahisi kumshawishi WaziriMwenzako, Urahisi wa kushawishi NGO`s mbalimbali kukuletea baadhi ya Miradi hata ushawishi ndani ya Cabinet.

Nawasihi wana Mara tuchague Viongozi Imara kichwani na walio tulia wasio na Mapepe tusichague watu kwa kigezo cha hela zao maana mwisho wa siku hawezi akatatua matatizo ya jimbo zima kwa kutumia pesa zake tunahitaji viongozi watakaoshirikisha bongo zao kutafuta ufumbuzi wa changamoto tunazokaliana nazo.
 
Mna ongeza mmoja ya muhimili na nyinyi ndio wakaguzi Bado una lala mika???

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwa utangulizi tu ni kuwa tumetoa watu muhimu katika serikali hii ya awamu ya 5, Jaji MKuu wa Tanzania Mr. Ibrahim Hamis Juma ni mzaliwa wa Musoma Mjini pale Mukendo, IGP Mr. Simon Sirro yeye ni wa Kiabakari, na CAG Mr. Charles Kichere yeye ni wa pale Kuruya-Rorya-Tarime.

Nawasihi wana Mara tuchague Viongozi Imara kichwani na walio tulia wasio na Mapepe tusichague watu kwa kigezo cha hela zao maana mwisho wa siku hawezi akatatua matatizo ya jimbo zima kwa kutumia pesa zake tunahitaji viongozi watakaoshirikisha bongo zao kutafuta ufumbuzi wa changamoto tunazokaliana nazo.
Tanzania tuna makabila zaidi ya 120, sasa kama kila mtu atataka mtu wa kabila lake apewe uwaziri, tutakuwa na mawaziri wangapi?.
Kama tayari mnae CJ, IGP na CAG, na bado unalalamika, jee wasio na mtu kabisa popote wao watasemaje?.
P
 
Kwa utangulizi tu ni kuwa tumetoa watu muhimu katika serikali hii ya awamu ya 5, Jaji MKuu wa Tanzania Mr. Ibrahim Hamis Juma ni mzaliwa wa Musoma Mjini pale Mukendo, IGP Mr. Simon Sirro yeye ni wa Kiabakari, na CAG Mr. Charles Kichere yeye ni wa pale Kuruya-Rorya-Tarime.

Hamna asiyepinga kuwa hawa watu ni wakubwa katika Serikali but sio watu wa kusaidia kuleta maendeleo ya moja kwa moja kutokana na nyadhifa zao.

Tunahitaji Wawaziri au Manaibu Waziri watakaofanya hivyo, Ukingalia Mkoa wa Mara tuna Majimbo 10 ya uchaguzi Bunda Mjini alipo Mh.Esta Bulaya,Bunda Vijijini Mh.Boniphance Mwita Getere, Mwibara-Mh Kangi Lugola, Msoma Mjini Mh.Vedastus Mathayo, Musoma Vijijini Mh.Sospeter Muhongo, Butiama Mh. NImrod Mkono, Tarime Mjini Mh Esther Matiko, Tarime Vijijini Mh John Heche, Rorya Mh Lameck Airo na Serengeti Marwa Chacha.

Katika haya Majimbo 10 ni majimbo 3 pekee Bunda Mjini, Tarime Mjini na Tarime Vijijini huko kwa Wakurya Original ndipo yapo Upinzani Chadema, mengine yote 7 yapo CCM but hatuna Waziri wala Naibu Waziri-Hapa wa kualumiwa ni Sisi wana mara kwa machaguo mabovu ya Viongozi wetu.

Ninajua fika Mh Rais naweza kupata wakati mgumu nani ampe Uwaziri kutoka Mkoa wa Mara maana wengi hawana sifa stahiki ukimtoa Profesa Muhongwa aliyetumbuliwa nadhani sababu ya Ujuaji Mwingi,

Nimrod Mkono hata ingekuwa wewe huwezi mpa uwaziri maana ukiachana na uzee wake hana talanta ya kuongea yeye ni mzee wa noti, uje kwa Mr. Getere Mwalimu mstaafu baada ya kustaafu akaamua ajitose kwenye siasa ni wazi akili imeshachoka, Mr Mathayo ana Lameck Airo wazee wangu wa darasa la 7A hawa wamebebwa na katiba kile kipengele cha kujua kusoma na kuandika dtill kama kiongozi huwezi mteua kuwa waziri na huyo Chacha Marwa alikuwa Mwalimu kama sikosei nadhani wa Sekondari.

Ukiangalia sifa za hao wabunge wetu wa CCM wa mkoa wa Mara ukimtoa Prof Muhongo ni Kangi Lugola Pekee ndio alikuwa na sifa za kuchaguliwa kuwa Mbunge, sasa ndio hivyo kitumbua kimeingia mchanga.

Faida ya kuwa na Waziri katika Mkoa ni rahisi kumshawishi WaziriMwenzako, Urahisi wa kushawishi NGO`s mbalimbali kukuletea baadhi ya Miradi hata ushawishi ndani ya Cabinet.

Nawasihi wana Mara tuchague Viongozi Imara kichwani na walio tulia wasio na Mapepe tusichague watu kwa kigezo cha hela zao maana mwisho wa siku hawezi akatatua matatizo ya jimbo zima kwa kutumia pesa zake tunahitaji viongozi watakaoshirikisha bongo zao kutafuta ufumbuzi wa changamoto tunazokaliana nazo.
Kwani Mwita Waitara kwao wapi?
 
Back
Top Bottom