Lyatonga Mrema: Shushushu aliyebadili siasa za Tanzania

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Ni mmoja wa Tanzania ambao siasa za Tanzania wanazijua A to Z.

Aliwahi kutoa siku saba kwa majambazi kusalimisha bunduki na majambazi wakasalimisha silaha, silaha zikachomwa kama kuni.

Alipoibua ufisadi wa Singasinga Chavda juu ya mashamba ya mkonge aliyoyapata kwa ufisadi, alijikuta anapewa cheo cha unaibu Waziri Mkuu wakati hakipo kikatiba.

Mwaka 1995 nusura achukue Urais wa JMT, CCM ilinusuruka baada ya hayati JKN kuingilia kati.

N.B ni mmoja wa wazalendo wa Tanzania anayemkubali mzalendo mwenzake JPM

10-9-2008+3-29-49+PM_0137.jpg
 
Mzee wa kiraracha;

Kipindi hicho gari yake inazimwa wafuasi wanaamua kuisukuma, Chadema wakaiga hii kwa kudeki barabara.

Kuedit picha ili kuonesha kuwa mikutano yake inajaa watu; picha zilikuwa zinaungwa na kutengeneza moja itayokuwa published kwenye gazeti. Chadema wakaiga hii kwa kuedit picha na video clips.

Historia ya Upinzani imekuwa ya watu wa aina ile ile tangu inaanza.
 
Sasa hana nguvu tena, hata akili zake ni kama kuna fuse zimekata!

Usnitch una malipo yake mwishoni, unayemshushua na yeye ni lazima atakushushua hata kama ni baada ya kwenda zako huko...

Amebaki na maskio tu!
Hata vikofia vyake havitulii kichwani ...
 
Sasa hana nguvu tena, hata akili zake ni kama kuna fuse zimekata!
Usnitch una malipo yake mwishoni, unayemshushua na yeye ni lazima atakushushua hata kama ni baada ya kwenda zako huko...
Amebaki na maskio tu!
Hata vikofia vyake havitulii kichwani ...
Sasa hivi kachoka kama choo cha magunia

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom